Karibu Chuo cha Taifa cha Usafirishaji, Mabibo

Karibu Chuo cha Taifa cha Usafirishaji, Mabibo

Mechanical eng. UKIKAZA SIO NGUMU, HOSTEL KWA DEGREE HATUPEWI, TUNAPANGA MITAANI
 
pia naomba unijuze mtu wa mechanical anaweza kufanya kaz maeneo gan
 
mkuu ilambo kupata hostel apo nit ni possible ila kwa dili ni pm nikuelekeze
 
vp mkuu utaratibu wa hostel pale n.i.t na joining instruction kwa tunaoenda kuanza degree
 
Jamani nauliza chuo kinafunguliwa lini? na mimi nimechaguliwa hapo in procurement and logistic management
 
Mkuu samahan chuo kinafunguliwa tarehe ngapi?? nimechaguliwa procurement and logistic management..na vp? hi koz iko poa
 
Habari,

Kwa ambae atapenda kuja kusoma NIT, nipo tayar kujibu maswali yenu.

ila cna uelewa mzur na upangaj wa grades za ufaulu za mwaka huu

karibuni.

nlikua napenda kupata msaada kuhusiana na hii facult ya accounting and transporting finance naomba msaada inahusiana na nn kwa sababu ni mpya nit tafadhalini
 
Hiv kwann hio faculty ya aircraft engineering waliitoa tcu? Je hio kozi ipo hapo NIT???
 
Salam mkuu, ebwana kuna dogo lasi kamaliza form six kapangiwa NIT(Bachelor of automobile engineering), sasa nikiangalia mchanganuo wa ulipaji wa ada naona NTAs level nying mpaka ya 8, kwa kuwa una ufaham juu ya mambo hizo, huyo dogo anafit kwenye category gan?

Huyo ni NTA level 7
 
nlikua napenda kupata msaada kuhusiana na hii facult ya accounting and transporting finance naomba msaada inahusiana na nn kwa sababu ni mpya nit tafadhalini

Hiyo course mwisho wa cku unakuwa mhasibu wa kampun especially ya usafirishaji kulingana ninavyoilewa hiyo course coz tunasoma hicho kipengele cha transport finance.
 
Back
Top Bottom