Karibu Chuo cha Taifa cha Usafirishaji, Mabibo

Karibu Chuo cha Taifa cha Usafirishaji, Mabibo

kuhusu ulipaj wa ada yaan n unalipa kwa awamu 1 au awamu2 na jins ya kujiunga kiujumla
 
Kama kawa tupo likizo now!!?
mkuu nimechaguliwa hapo procurement and logistic management lakini nataka kubadili kwenda transport and logistic management...je kati ya coarse hizi ipi ina soko zaidi? Na utaratibu wa kubadili ukoje?
 
aneijua ba-education with mathematics and information technology ya nit.
 
Hivi nit na mocu wapi wapo. Vizuri kwenye issue za marketing msaada jamani
 
Wanachukua alama gani wale waliomaliza FORM 4
Habari,

Kwa ambae atapenda kuja kusoma NIT, nipo tayar kujibu maswali yenu.

ila cna uelewa mzur na upangaj wa grades za ufaulu za mwaka huu

karibuni.
 
Back
Top Bottom