Karibu Chuo cha Taifa cha Usafirishaji, Mabibo

Karibu Chuo cha Taifa cha Usafirishaji, Mabibo

haya we usiulize ubora wa chuo kwani kwa mm nionavyo umuhimu wa iko chuo n mkubwa kam unatak kujua kawaulize madereva kama YESSAR ata kwambia

vp kuhusu course ya bachelor degree in automobile engneering hapo chuo.
 
ningependa kujua kuhusu kozi ya automobile engneering hapo chuo inahusiana na nn katika soko la ajira.
 
Wakubwa Mi Nimekuwa Selected Nit Lakin Profile Yangu Bdo Haijawa Confirmed Na Mda Unakwenda What To Do?
 
unachagua kozi hata hujui kozi inahusika na nini yan ata kazi zake huzijui dah.
 
Wakubwa Mi Nimekuwa Selected Nit Lakin Profile Yangu Bdo Haijawa Confirmed Na Mda Unakwenda What To Do?

Mpaka sasa chuo kimetoa batch 3 pekee so kua mvumilivu tu hata mimi nasubiri kua confirmed nimechaguliwa hapo lolote jipya nikilipata ntakushtua but mwaka wa masomo unaanza tar 16.
 
Samahani wakuu mimi nmekua SELECTED hapo chuoni ila bado chuo hakijatoa majina mengine ukiacha ile batch no.3 na muda wa kuanza masomo ndio huoooo (tar 16) Vipi naweza kwenda chuo kupata admission au mpaka nisubiri watoe majina chuo.
 
Vema ukaenda chuo kujua utaratibu mapema kama upo karibu kuliko kusubiri hadi tarehe 16 mwisho ushindwe kufanya hata registration
 
Back
Top Bottom