Application deadline ni lini?
haya we usiulize ubora wa chuo kwani kwa mm nionavyo umuhimu wa iko chuo n mkubwa kam unatak kujua kawaulize madereva kama YESSAR ata kwambiaWakuu salama ?
Naombeni ushauri wenu juu ya Ubora wa chuo cha NIT kitaaluma hasa katika michepuo ya Biashara kwani nataka kuomba nisome Post Graduate Diploma in Procurement and SUPPLY Chain Management katika chuo hicho.
karibuni wadau mnisaidie kimawazo.
Nataka kuja kusoma any post graduate ktk "school of Aviation" fee ikoje...na zipo course gani...yule DR. S.LUSHAKUZ mtahalam wa transport marketing bado yupo...anafundisha au yuko bisy consultation nyingine.....?
Mkuu vip kuhusu hostel?
Pamoja sana mkuu kama wakinipokea ntakutafta kwan natarajia kuomba undergraduat
dr lushakuz yupo na bado anafundsha ila sio sana...ada kwa bachelor ndo imepanda mwaka huu kufikia mil 1 na km laki mbili hv...karibu
Mkuu vipi kozi ya "Logistic andTransport management" kwa ngazi ya degree soko lake la ajira lipo vipi? Pia mtu akimaliza anaweza kufanya kazi gani na maeneo gani?
Mpaka sasa tuna wizara ya uchukuzi,
tuna chombo maalum cha kusimamia usafiri wa majini na nchi kavu, SUMATRA,
Tuna kitu kinaitwa IATA- international air transport Association,
tuna kitu kinaitwa CILT- chartered institute of logistics and transport, UK, ukisoma hii na ukawa registered, basi shughuli za logistics hazikusumbui..
Kwa kifupi ni kamba mkuu, logistics ni multi-purpose, hakuna sehemu unayoweza kukosa kazi kwa sababu, course hii kwa kifupi ina-deal na production from point of extraction to consumption..
Kama kampuni ina magari na aina zozote za carriers, basi logistician ndie atakuwa responsible kusimamia hivi vitu;
mfano, fuel management, fleet availability, usability, fleet control nk.
Kuna sehemu mbalimbali za upatikanaji wa ajira, mfano tu nimeonesha hapo juu..
ila kwa kuongezea, logistician anaweza fanya kazi jeshini (hawa wanatakiwa sana tu kwa sababu historia ya logistics imemezwa sana na mambo ya vita),
Logistician anahusika sana na Umoja wa mataifa, UN. hii ni kwa ajili ya kupanga supply ya misaada kwa wakimbizi na watu wenye uhitaji.. UN na mashirika yake itakuhitaji sana katika kusimamia magari yake na mizigo inayosafirisha..
Bandari zote duniani zinahitaji watu wa logistics-- Imagine planning za shughuli za bandari kama hujui logistics utakuwa na efficiency ndogo sana nakwambia..
Viwanda vingi sana vinahitaji watu wa material handling... Logisticians are considered.
Mkuu, ukitoka kwa hii course ni rahisi pia kujiajiri, elimu inayotolewa NIT si ya kitoto, njoo usome.
Mpaka sasa, kuna wanafunzi zaidi ya 50 wameshafukuzwa chuo kwa sababu ya kufanya upumbavu (cheatings), we dont care about your 1.5 million, we are ''excellenting logistics''.
KARIBU NIT.
mkuu unadhani kila anaeenda shule anaenda kucheza makopo?Hakuna kitu hapo....
mkuu unadhani kila anaeenda shule anaenda kucheza makopo?