mbona majina mengine hayapo na tcu wameonyesha tupo nit plzzzzz nisaidien ata celew nfanye nn
sor cjakuelewa luno g naomba unifafanulie vzur
yan mm since nmeaply chuo cjafanya marekebsho yoyote yale na tcu wameonesha npo nit na nmechaguliwa bachelor degree ya logistics and transport management mbona jnalangu alipa na mengine yashatoka sasa apo mdo celew inakuaje nsaidien
Habari,
Kwa ambae atapenda kuja kusoma NIT, nipo tayar kujibu maswali yenu.
ila cna uelewa mzur na upangaj wa grades za ufaulu za mwaka huu
karibuni.
Habari,
Kwa ambae atapenda kuja kusoma NIT, nipo tayar kujibu maswali yenu.
ila cna uelewa mzur na upangaj wa grades za ufaulu za mwaka huu
karibuni.
Ni nzuri sana@sword coz Kwa tz nzima na east Africa Ni NIT tu Ndo wanatoa hiyo course
"Nimemaliza form four mwaka 2013, nitawezaje kujiunga na chuo cha usafirishaji katika kozi za procure and logistic log an transpo na nyingine kuanzia ngazi ya cheti na ni muda gani