Karibu Chuo cha Taifa cha Usafirishaji, Mabibo

Karibu Chuo cha Taifa cha Usafirishaji, Mabibo

kunahi course ya bachelor degree in education with mathematics and information technology mbona haipo kwenye prospetus? na niyamiaka mingapi?

nimeambiwa hii kozi ni mpya hapo chuoni lakin kwan prospectus ya chuo mwaka huu imeshatoka?!
 
hivi mbona hata website ya chuo haifunguki?!
 
wadau mwenye uelewa kuhusu coz ya computer science NIT apo kuhusu upatikanaji wa ajila wadau na changamoto zake.
 
habari zenu wakuu?!
tafadhali naomba msaada maana nimechaguliwa ktk moja ya degree programs hpo chuon lkn naona admission letter zmechelewa na hata website ya chuo haifunguki hivyo cna taarifa zozote na nahtaji kufanya maandalizi mapema!
hivyo naomba kama kuna anayejua direct costs na gharama nyingine/ mahtaji mengine muhimu ya hapo anisaidie tafadhali!
 
Mi nlibahatika tu kuona ada yao ni 1.5mil kwa mwaka...ila ni vzr ukaripot kwanza chuoni wakupe joining instruction coz hiyo ndo kila kitu..chuo kinafunguliwa tar 16 mwez wa 11.ila nenda kwanza ukapewe hiyo joining ili ujipange kwabla masomo hayajaanza coz wanasema usiposajiliwa hata zikapita wiki mbili baada ya kufunguliwa chuo unakanseliwa yan unafutwa kabisa.
 
Kwani unareport kabla ya tarehe 16 ama tarehe hiyo ndio unaaza kureport? Me joining. Instruction ninayo tayari
 
Kwani unareport kabla ya tarehe 16 ama tarehe hiyo ndio unaaza kureport? Me joining. Instruction ninayo tayari

kama hutojali mkuu nisaidie kunitumia kwenye email yang ambayo nitakutumia kwenye pm au nitajie michango na maelekezo muhimu kama nilivyoomba kwenye uzi!
 
Mimi nmechaguliwa niliwaendea hapo chuoni kuchukua joining,pia kuchukuliana inakubalika.
 
Jamani vipi kuhusu ngazi za chet wameshaanza kutoa join instruction? Msaada plz
 
jaman naomba mawasiliano kwa mtu aliyechukua joining instruction hapa chuon ili niweze kumuuliza kwan mi npo mbali na dar
 
Kwa niaba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Chuo cha Usafirishaji cha Taifa kimepewa dhamana ya kuendesha mafunzo ya kozi mbalimbali kuhusu usafiri na usafirishaji pamoja na kozi kuhusu wahudumu wa ndege kuanzia ngazi ya cheti hadi ngazi ya juu.

National-Institute-of-Transport-NIT.jpg


Ukiwa mwanafunzi wa NIT unaweza kuwa sehemu ya kukisaidia chuo kuwa na mafanikio bora. Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti ya Chuo cha Usafirishaji cha Taifa.

======================================
======================================

Tovuti ya Chuo: http://www.nit.ac.tz/

Hivi wana hostel zilizoko ndani ya chuo?
 
Mwenyewe Nimekuwa Selected Hapo Logistic And Transport Management Lakin Profile Yangu Bdo Haijawa Confirmed Je Nifanyaje
 
Back
Top Bottom