Karibu Chuo cha Taifa cha Usafirishaji, Mabibo

Karibu Chuo cha Taifa cha Usafirishaji, Mabibo

Mechanical ni mama wa automobile so mechnicl itabak kua juu, ila kwa nit mechancal ni kwa watu wa diplma 2 maana ni miaka 3

Sasa hivi wanatoa degree kwenye hiyo course,ni kweli hiyo course ilianza kutolewa kwa diploma na haina zaidi ya miaka miwili tokea ianzishwe.
 
jaman et logst & trnsport management vp ajira zake azsumbui?? na unaeza ukafanya kaz sehem gan ??
 
jaman et logst & trnsport management vp ajira zake azsumbui?? na unaeza ukafanya kaz sehem gan ??

Kuhusu ajira zipo nyingi ila hebu jaribu kusoma pia uielewe course inahitaji nini na usikomalie kuajiriwa 2 pia uangalie fursa za kujiajiri kupitia hii course.
 
Sasa hivi wanatoa degree kwenye hiyo course,ni kweli hiyo course ilianza kutolewa kwa diploma na haina zaidi ya miaka miwili tokea ianzishwe.

hiyo mechanical ni miaka mingapi mbona kama niliona ni miaka 3 na engineering zote ni miaka 4
 
Hahahah.... Hv Nit pale makut ndio nn kile kilikua kinaendelea j.moc. mbona wale vjana wa Certificate na Foundation walikosa ustarab ni Freshers gan ile asa... Kila mtu anajifanya yy ndio kiongoz.. ma. MC Kibao Dah... 😁

unauliza ni kiti gani kilikuwa kinaendelea kabla haujajibiwa unasema ni freshers gani ile.... wananit tunasafari ndefu
 
hiyo mechanical ni miaka mingapi mbona kama niliona ni miaka 3 na engineering zote ni miaka 4

Degree ni miaka 4 ila kwa aliyesoma diploma ya engenering atasoma miaka 3,hivyo basi atasoma NTA level 7 mwaka mmoja pamoja na mwaka wa pili badala ya miaka miwili kama wenye A level qualification ambao wanasoma NTA level 7 miaka miwili na NTA level 8 miaka miwili kufanya miaka 4.
 
Ningependa kujua hostel za nje ya chuo ni bei gani, vipi upatikanaji wa huduma ya maji.... my son will be there
 
Ningependa kujua hostel za nje ya chuo ni bei gani, vipi upatikanaji wa huduma ya maji.... my son will be there

Hostel za nje ya chuo ni 50000
per month hapo unapata na Huduma ya maji na pia chumba kimoja wanakaa watu wanne.
 
Kwa uzoef wako kip bora hostel ya nje au kupanga chumba, na ili kuwahi za ndani inakuwaje ni kuwahi kuripoti ama?

Bora kupanga chumba mkaishi hata watu wawili pia mnakuwa huru hata kupika na hata chuo kikifungwa mkawa mnaishi kuliko hostel,kuhusu hostel za nda ni sh 120000 per semester ila inabidi utumie nguvu za ziada.
 
Back
Top Bottom