Smart Contract
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 1,372
- 3,264
Bora kupanga chumba mkaishi hata watu wawili pia mnakuwa huru hata kupika na hata chuo kikifungwa mkawa mnaishi kuliko hostel,kuhusu hostel za nda ni sh 120000 per semester ila inabidi utumie nguvu za ziada.
Uwezekano wa kupata nyumba yenye huduma zote upo, no matter how much it cost.