Karibu Chuo cha Taifa cha Usafirishaji, Mabibo

Karibu Chuo cha Taifa cha Usafirishaji, Mabibo

adinag huo utaratibu haupo ulishafutwa kitambo. Kwa sasa wanaoweza kutumia utaratibu huo Ni wale Wa diploma na certificate tu. pia kuhusu ada Kwa degree Ni million 1.5 na dip Ni million 1. Kwa wale wanaolizia hostel za chuo ukifika utaulizia Kwa dean of students then watakupa form za kuomba then ukibahatika fresh ila kama ukikosa pia zipo hostel za mtaani. karibuni sana.
 
Vip kuhusu course ya udareva wa magreda sifa zake ni zipi mahitaj sana kusoma hiyo koz hapo NIT
 
Ndugu yangu Babo Kwa course za madereva unahitajika uwe tayari umeshajifunza udereva na unamiliki leseni Kwa muda usiopungua mwaka mmoja.
 
Vipi kuna evening program? Nataka nije nisome certificate ya logistics. Na je kama huna lessen ina maana huwez soma kozi yoyote inayohusiana na udereva?
 
Mkagati kwa udereva Ni lazima uwe na leseni yaani kiufupi Ni kwamba hawafundishi beginners . Kuhusu evening Kwa degree na diploma hiyo programme imeanza tangu mwaka jana. So Kwa mantiki hiyo inategemea na demand yenu kama mpo Wa kutosha mnaohitaji evening session watawatekelezea.
 
habari...kwa ambae atapenda kuja kusoma NIT...nipo tayar kujibu maswali yenu...ila cna uelewa mzur na upangaj wa grades za ufaulu za mwaka huu
karibuni

Asante, kuna mdogo wangu anataka kuomba kozi ya Logistics and Transportation Management, vipi kuhusu hii kozi Mkuu?
 
Ni nzuri sana@sword coz Kwa tz nzima na east Africa Ni NIT tu Ndo wanatoa hiyo course
 
National institute of transport chuo kizur sana wadogo zangu wa bachelor karbuni sana mtakutana na mm kaka yenu nikiwa mwaka wa pili hahaha..
 
mzee wa mzumbe na mbwembwe nyingi kumbe na wewe unasomaga kozi izo, umemaliza mwaka huu unadanganya eti ulimaliza mda mrefu. Dah rudi form 5 ukasome combination za kibabe
 
Dah wadau me nliomba iyo course ya logistics and transport management bt dakika za mwisho sielew nin kimetokea kwnye account yang ya TCU nimekuta the first selectn ni procurement and logistics management instead of logstics and transport management. So nimeshindwa kubadili tena mana tayar deadline ndo ishapita swali langu Je...!! Nkichaguliwa ntaweza kubadili kutoka procurement kwenda kwny course nlokua naitaka please naombeni ushauri wenu ndugu zangu......
 
Nyoosha maelezo mkuu au ulikosea code no?
 
Back
Top Bottom