gnassingbe
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 4,826
- 3,585
Mi nishampigia kura lowasa ila nilikuwa na haraka sijakumbuka kuilinda nina wasiwasi na magambaz wanaweza kufanya yao khaaa!hadi za utafiti mnaiba.
Akaugue tu...cha msingi ccm ing'oke madarakani !!
Mi nishampigia kura lowasa ila nilikuwa na haraka sijakumbuka kuilinda nina wasiwasi na magambaz wanaweza kufanya yao khaaa!hadi za utafiti mnaiba.
Wanajisumbua hao na wengi hapo ni wavuta bangi na wanywa viroba wanaopotisha hilo box
hujajua tu watu wengi sana wanapata bahati ya kuona chopa kwenye mafuriko ya lowasa
Nawaona mnavyoufukuza upepo bila kuuona wala kuukamata Lowasa kuingia ikulu kwa kura za wanachi hilo msahahu kwasababu wananchi sasa hv wameamka washajua kwanza fisadi pili mgonjwa
Wanajisumbua hao na wengi hapo ni wavuta bangi na wanywa viroba wanaopotisha hilo box
Matokeo ya Wafanya biashara kkoo leo yalianza kama utani, wakaweka mabox mawili ya Lowassa na Magufuli... wakisema wazi TWAWEZA HAIAMINIKI, NGOJA NA WAO WAFANYE TAFITI YA WAZI ZAIDI....
Na kumpa kila mpita njia apige maoni yake, watu 781 wamepiga kura... baada ya kuhesabu... haya ndio majibu... lol
1: Lowassa... 766..sawa na 98%
2: Magufuli.... 15..... sawa na 2%
Hakuna kura zilizoharibika... it was live..!!
Aiseeeee, hii tafiti iko wazi, na ya kweli KULIKO YA TWAWEZA...
Yaani... hii kali..!!!
Tehe tehe FaizaFoxy
utahaha na kuangahika sana .... Mara utafiti kwenye mtandao...mara utafiti kwa wauza nyanya... Mara tafiti wa wauza supu ya makongoro....... Tafiti hufanywa kwa sampuli halisi zinazowakilisha watanzania.... Pole sana!! Fungua azam tv usikie kilio cha cuf!!!1matokeo ya wafanya biashara kkoo leo yalianza kama utani, wakaweka mabox mawili ya lowassa na magufuli... Wakisema wazi twaweza haiaminiki, ngoja na wao wafanye tafiti ya wazi zaidi....
Na kumpa kila mpita njia apige maoni yake, watu 781 wamepiga kura... Baada ya kuhesabu... Haya ndio majibu... Lol
1: Lowassa... 766..sawa na 98%
2: Magufuli.... 15..... Sawa na 2%
hakuna kura zilizoharibika... It was live..!!
Aiseeeee, hii tafiti iko wazi, na ya kweli kuliko ya twaweza...
Yaani... Hii kali..!!!