Karafuu imekalishwa na alizeti 2026

Karafuu imekalishwa na alizeti 2026

Kwenye alizeti wamepata mtu aisee ! Mpaka karafuu imekarishwa na alizeti tarehe 06/11/2026 analalia shuka saafii siyo lile la kule kwa kunguni

Britanicca
Alizeti imetiwa shubiri aiseh!ili wasisherehekee vema Arusi yao!Nongwa ya karafuu kushindwa imekula Hadi ndugu wa alizeti!ushindi umetiwa shubiri
 
Kwa tafsiri yangu, 🌻 Mwamba wa Singida ataweza kuwa huru katika siku hio ya tar 6/11/2026. 🌿 Karafuu imepoteza mchezo huu. Just clear no need to add any information 🤔
Kwenye alizeti wamepata mtu aisee ! Mpaka karafuu imekarishwa na alizeti tarehe 06/11/2026 analalia shuka saafii siyo lile la kule kwa kunguni

Britanicca
Utimilifu wa unabii!
Tanganyika ilipata Uhuru Ili iwe huru!
Tanganyika ikasomesha watu wake ili wawe wazalendo kwa Taifa lao.
Tanganyika is coming back just like!
 
Back
Top Bottom