Kapuya; Nihurumieni jamani

Kapuya; Nihurumieni jamani

acheni dola ifanye kazi yake kushabikia tuuma ambazo aijulikani undani wake unafiki
 
chonde chonde ivi huyu mzee hana bastola kweli anaonekana anaugonjwa wa akili anatakiwa awekwe chini ya ulinzi maalum!!!
 
My yaani bado atumie simu ile ile ambayo in kithibitisho naomba Mona na bado atumie njia ile ile ya kutuma ujumbe yaani SMS ilhali anajua Kuwa zinahifadhika!!! Zinaacha traces.... Kwa nini asimpigie simu na kuongea nae?

True that. Hapa naanza kuona uwezekano wa ukweli kutiwa viungo vingi au kuchanganywa na uongo. Ni mtazamo wangu.
 
Kumbe hata huku nako hufikirii ! Huku hakuna kukariri ! ...labda kunamtu ame-swap line ya alhaj au alhaj amechanganyikiwa na kutuma ovyo au anatuma tu kwa makusudi ya kuvuruga upepo , kama wewe unavofikiri sasa.

Kati yangu ambaye nimeuliza swali, na wewe ambaye ume conclude kwamba sifikirii, nani hafikirii?

Swali langu halijanifunga kokote, ingawa wewe unaonekana kwa kurukia umenifunga upande fulani tayari hata bila kunielewa.

Nani hapa hafikirii sasa?
 
Nahisi dalili za r.i.p j kapuya
mungu pitishia mbali ...lakini mshaambiwa aanaumwa nini so huwa zile za laala salama huwa akili ya juu inashuka kidogo inahamia chini sso msameheni tu
la maana mtoto mhusika akapime
ajigionge na matunda na mboa za majani za kumwaga hiyo ndio muhimu zaidi
 
My yaani bado atumie simu ile ile ambayo in kithibitisho naomba Mona na bado atumie njia ile ile ya kutuma ujumbe yaani SMS ilhali anajua Kuwa zinahifadhika!!! Zinaacha traces.... Kwa nini asimpigie simu na kuongea nae?

Hata mimi sasa naanza kuhisi huyu mnyamwezi anaonewa. Mengine sasa ni y
 
Prof.Jay hawezi kuandika meseji ya kimavimavi ivo bana. Lugha gani asa hiyo....kama mtoto wa mlugo kabisa!...acheni kumharibia bana. Hata mi siwez kuandika ivo......kitoto kabisa!!!.....acheni mambo yenu bana!..JF wampige ban aliyeweka thread hii....la sivyo kuanzia leo najitoa jf. Kueni na utu bana......acheni upuuzi bana......kapuya imekua kapuya.....acheni upuuzi bana.....pretenda wakubwa!...acheni ushenzi bana.....wazandiki wakubwa....karakabaho...stakafulula.....shwaini....nyambafu kabisa!...futeni ujinga wenu bana...tumechoka kusikia habari za kapuya sie!...acheni ukuda bana!!

unamteteaje huyu mbakaji kibwege hv? kwani mpaka ambake dada yako ndipo uamini au unasubiri akubake wewe ndipo uache kumtetea huyu m**e wako?
 
Kama ni kweli hivi huyu Kapuya atakuwa na akili kweli? Kwanini atumie incriminating evidence kama hii? Sidhani athee!!!!
 
Kapuya anaweza akaandika upuuzi kama huu?Tanzania Daima acheni kutumiwa na Six

kuandika ndiko hawez kuandika lakini kutembea na mtoto wa miaka 14 anafanya? ikiwa anaweza kuingiza dudu lake kwa kinda mdogo kama huyo atashindwaje kuandika kitoto? hebu jaribu kushughulisha akili yako ndugu yangu.
 
Unajua hili ni jukwaa la great thinkers, hasa nashangaa wanaosema ni uongo. Km ni uongo gazeti la tzdaima c wangelifungia? Achen ushabiki wa kipumbavu huo.
 
umeonaaa eeh...hata kama kuna ukweli hizi sasa chumvi.....yaani Prof afikie hivi?

kwani kaapuyer ni prof au chizi? prof atatembeaje na under 14? i never knew kapuyer is such a twit!
 
Siko upande wowote hapa maana sijui nin cha kuamini,ila kwa hapa naanza kuhisi kuna mchezo mchafu...
Inawezekana ndio Kapuya alifanya vile,lakini baada ya kuvuja katika mitandao sidhan kama andeweza tena kumtumia sms kama hizo huyo binti na kama kweli kafanya ivo basi elimu yake haijamsaidia

si alisema kwamba 'yeye ndiye serikali' na waziri mkuu mtarajiwa, au umesahau? ingekuwa anaogopa serikali, na tayari amemuambukiza ukimwi mtoto wa watu, si angekuwa yupo lupango sasa hivi? we unadhani bado angekuwa anatamba uraiani?
 
Watu wengi waliishadadia hii mada tena wengi waka mhukumu prof wngine binti lakini hii ishu haipaswi kuwa ya kishabiki regardless status za wahusika na historical background kama wewe uliwahi kuiba afu mtu akakusingizia wewe umeiba wakati kweli haujaiba haileti maana watu waka conclude eti wee umeiba kisa siku za nyuma uliiba. Siwafichi hawa tunao wahukumu ni public figures na siajabu tunao waona ni wasafi siajabu ni wachafu kuliko tunao waona wachafu. All in all busara inahitajika katika hii kesi na sio vyombo vya sheria tu pekee. Mara ngapi tunaona mahakama zikitoa hukumu kimakosa. Kama kesi ya papii Kocha na baba yake inaonekana walionea kwanini tuwe na imani asilimia zote kuwa mahakama itatenda haki je hukumu ikimlalia prof akawa na hatia itakuwa ni sahihi hiyo hukumu au huyo dada akishindwa na kuonekana muongo mahakama tutasema pia imetenda haki au la. busara inatakiwa katika suala hili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom