na wewe hivyo hivyo,sorry nimesema kimoyomoyo hakuna aliyesikia
Hahahahahahahah bana
na wewe hivyo hivyo,sorry nimesema kimoyomoyo hakuna aliyesikia
Kwahiyo tatzo lilianzia hapo?Tofautisha, mzazi
wenzako, mwanamke na MKE. Wife material anaweza kukuzuia hata kuanzisha Akudo saundo, chezea mke wewe!
Prof.Jay hawezi kuandika meseji ya kimavimavi ivo bana. Lugha gani asa hiyo....kama mtoto wa mlugo kabisa!...acheni kumharibia bana. Hata mi siwez kuandika ivo......kitoto kabisa!!!.....acheni mambo yenu bana!..JF wampige ban aliyeweka thread hii....la sivyo kuanzia leo najitoa jf. Kueni na utu bana......acheni upuuzi bana......kapuya imekua kapuya.....acheni upuuzi bana.....pretenda wakubwa!...acheni ushenzi bana.....wazandiki wakubwa....karakabaho...stakafulula.....shwaini....nyambafu kabisa!...futeni ujinga wenu bana...tumechoka kusikia habari za kapuya sie!...acheni ukuda bana!!
Nyani Ngabu, I beg to differ. I only wish you knew...or may be you know, huu utetezi wako kwa huyu mtuhumiwa hakika si wa kawaida. Kuna mchezo unachezwa hivi sasa wa kitoto kabisa; kwa mfano text zinazoendelea kutumwa kwa kutumia namba ya simu inayojulikana wazi ni ya Kapuya kujaribu kuwaaminisha watu kuwa labda Professor anaonewa. It is all a red herring kama ilivyo video ya kipuuzi iliyoletwa humu eti ya binti anayedaiwa kubakwa...bahati nzuri gazeti la Tanzania Daima didn't fall for that, wao wanaripoti walicho na uhakika nacho.Kwa nini hao Tanzania Daima hawamsaidii huyo wanayedai kabakwa aende mahakamani?
Lema alivyobaka uk naye ni mwanaccm kumbe.
Prof.Jay hawezi kuandika meseji ya kimavimavi ivo bana. Lugha gani asa hiyo....kama mtoto wa mlugo kabisa!...acheni kumharibia bana. Hata mi siwez kuandika ivo......kitoto kabisa!!!.....acheni mambo yenu bana!..JF wampige ban aliyeweka thread hii....la sivyo kuanzia leo najitoa jf. Kueni na utu bana......acheni upuuzi bana......kapuya imekua kapuya.....acheni upuuzi bana.....pretenda wakubwa!...acheni ushenzi bana.....wazandiki wakubwa....karakabaho...stakafulula.....shwaini....nyambafu kabisa!...futeni ujinga wenu bana...tumechoka kusikia habari za kapuya sie!...acheni ukuda bana!!
Sasa huyu alhaji kama anaamini kuwa jina lake linachafuliwa ni kwa nini asiwahi mahakamani?
![]()
Nyani Ngabu, I beg to differ. I only wish you knew...or may be you know, huu utetezi wako kwa huyu mtuhumiwa hakika si wa kawaida.
Kuna mchezo unachezwa hivi sasa wa kitoto kabisa;
kwa mfano text zinazoendelea kutumwa kwa kutumia namba ya simu inayojulikana wazi ni ya Kapuya kujaribu kuwaaminisha watu kuwa labda Professor anaonewa.
It is all a red herring kama ilivyo video ya kipuuzi iliyoletwa humu eti ya binti anayedaiwa kubakwa...bahati nzuri gazeti la Tanzania Daima didn't fall for that, wao wanaripoti walicho na uhakika nacho.
Kwa point yako ya huyo binti kwenda mahakamani pia I beg to differ...
ni wazi kuwa jitihada kubwa zimefanyika kujaribu kuzima huu moto ukiwashirikisha watu wazito.
Sehemu pekee iliyobaki ni mahakama ya Umma na hapa ilipofikia ndipo pahala pake...
kama yupo anayedai kachafuliwa na haridhiki na hukumu inayotolewa na Umma, njia nyeupeee, akate rufaa mahakamani.
Mimi sina huruma na wabakaji kwa sababu mimi ni mzazi na kwa tamko la Tanzania Daima leo kuwa haliombi radhi, namshauri Professor asisubiri, afungue kesi haraka.
Nani anaucheza? Wewe, Tanzania Daima na Machadema wenzio humu?...
Hivyo mimi nawashauri wewe na Machadema wenzio mumsaidie huyo anayedaiwa kubakwa kwenda mahakamani ili haki iweze kutendeka.
Nyani Ngabu, one, FYI naichukia CCM na naunga mkono jitihada za Chadema lakini si mwanaChadema. Two, when the acid is too concentrated to handle, dilute it, that's what! Fortunately there is plenty of water all around us, that's the game, got it?![]()
Hivi kapuya anaweza kutumia neno KUSEPA...... Hebu watu wazima tusaidieni hapo... Ilikiwa unaumri sawa na Kapuya au unakaribiana... Unakabiliwa na tatizo tajwa hapa jamvini... Unaweza kutumia neno kusepa??
Prof J. kapuya amejitokeza tena kwa staili ya tofauti ikiwamo kumpigia simu mshtaki wake akiomba wayamalize kiaina.
Akitumia no ilele 0784993039 ambayo awali aliikana, juzi jumamosi alimpigia mshtaki wake na kumwomba wakutane ofisini kwa DPP na aseme kuwa hana haja na kesi.
ujumbe uliotumwa ulisomeka hivi, "Najua kesi ni watu wawili, sasa kwa nini hamkubali? hivi hela nitakayompa akuue si bora nikupe uanze maisha? wakili nimempa hela nyingi, magazeti pia, unaweza kukanusha taarifa hii na kufuta ushahidi halafu mm nikupe hela uende popote, bungeni sifiki na nitafukuzwa nyie mtapata nini? nakupa masaa mpaka saa sita nitakuwa nimeshatuma hela, unachukua paspoti unasepa hakuna kurudi, ukikaidi roho itakwenda kupumzika, unataka kufa kibudu? jiangalie....."
Source; Tanzania Daima Nov 20 13
Honestly, watu waache matani!This baba cant write such sms jamani kha!Kwa hali ilivyo sasa Kapuya hawezi kuandika sms kama hiyo. Naanza kuamini huenda hii kitu yoote imepikwa tu!Prof.Jay hawezi kuandika meseji ya kimavimavi ivo bana. Lugha gani asa hiyo....kama mtoto wa mlugo kabisa!...acheni kumharibia bana. Hata mi siwez kuandika ivo......kitoto kabisa!!!.....acheni mambo yenu bana!..JF wampige ban aliyeweka thread hii....la sivyo kuanzia leo najitoa jf. Kueni na utu bana......acheni upuuzi bana......kapuya imekua kapuya.....acheni upuuzi bana.....pretenda wakubwa!...acheni ushenzi bana.....wazandiki wakubwa....karakabaho...stakafulula.....shwaini....nyambafu kabisa!...futeni ujinga wenu bana...tumechoka kusikia habari za kapuya sie!...acheni ukuda bana!!
ni prof wa kuambukiza vibinti ukimwi.
kwa hali halisi ilivo kwa sasa,mtu mwenye akili timam na uelewa wa kufikiri kwa kina atagundua kuna mchezo hapa.hakuna sms ya kapuya wala nn hapo I.T imetumika kufanya namba ionekane n ya kapuya .nawapa siku 6ukwel utajulikana na mtaona nn kinaendelea na nani ni wahusika wa kumchafua huyu babu.
ni kwel kabisa kwamba alikimega kila kidada poli,lakin hii sms ina iliootoka
umeonaaa eeh...hata kama kuna ukweli hizi sasa chumvi.....yaani Prof afikie hivi?