Kapuya; Nihurumieni jamani

Kapuya; Nihurumieni jamani

Kutakuwa na watu wana- hack hiyo namba ya simu. Siamini Mzee na msomi wa kiwango cha Kapuya aandike ujumbe wa kijinga namna ile, even me kuna mtu alikuwa anaingia kwenye simu yangu mpk nikaamua kuiacha namba hiyo. Kama ni kweli atakuwa amerukwa na akili kama siyo hao watu wanao hack si waungwana. Siasa za kibongo za kupelekeana picha chafu kutukanana kuaibishana, dalili tosha kabisa hakuna uadilifu kwenye taifa. Utaifa uzalendo hakuna. Huenda kwakuwa taifa halina sera ujamaa na kujitegemea umekufa, tuna fundisha na kulea watoto ili wakamilishe nini ktk taifa lao hakuna. Vyama havina lengo la kukamilisha kama taifa. Twafaaa usanii sijui ndy sera, wizi na ubadhilifu sijui ndy lengo, wabongo wote wamekuwa wajinga wapumbavu wasio na lengo la kukazania kutimiza kitaifa jf ndy usiombe matusi kejeli na ufala majarida yote. Wenzetu wengine katika nchi zingine wana marengo siajabu kabisa ccm kuwa na akina kapuya wengi

mkuu unaongelea MARENGO gani? marengo ya babu & prof mbakaji?
 
no kapuya hatumi hiii movie jamani, sawa slibska na alimpa ukimwi makusud ila hz msg no!
 
sasa naanza kuona hii ni kama tamthilia.
upumba.vu mtupu. kapuya hana akili ndogo kiasi icho ya kuendelea kutuma msg kupitia hiyo namba wakati anajua msg zitasomwa.
huu ni usanii.

na akili ya kucheza na kitoto huku akiwa amekikumbatia mavuzini hiyo anayo, eeh?
 
Mtu mzima kama Kapuya hawezi kufanya ujinga wa kuandika sms hizo. Anaufahamu wa kutosha ni msomi, ngoja kwanza anyamaze mpk chanzo cha hao wanaoingia kwenye namba yake wagundulike nawewe usie jua lolote upate ufahamu. Huwezi kumtukana mtu kwa njia ya mtandao usitiwe hatiani kwa sababu ni ushahidi yeye Kapuya halijui. Ina maana kwa mawazo yako Mh. Lema picha zile niza kweli. Kuna picha ya Rais na Mtoto wa Mkulima ilitangazwa sana macheckbob ilikuwa kweli aombe msamaha kama si kweli aombe vp chukua hatua badilika

na hii picha inayomuonyesha kapuyer amemkubatia mtoto mdogo mavuzini huku akimpima oil kwa nyuma ni ya kugushi? elimika wewe mburula, usimtetee mzinzi mwenzako.
View attachment 122576
 
Prof J. kapuya amejitokeza tena kwa staili ya tofauti ikiwamo kumpigia simu mshtaki wake akiomba wayamalize kiaina.

Akitumia no ilele 0784993039 ambayo awali aliikana, juzi jumamosi alimpigia mshtaki wake na kumwomba wakutane ofisini kwa DPP na aseme kuwa hana haja na kesi.

ujumbe uliotumwa ulisomeka hivi, "Najua kesi ni watu wawili, sasa kwa nini hamkubali? hivi hela nitakayompa akuue si bora nikupe uanze maisha? wakili nimempa hela nyingi, magazeti pia, unaweza kukanusha taarifa hii na kufuta ushahidi halafu mm nikupe hela uende popote, bungeni sifiki na nitafukuzwa nyie mtapata nini? nakupa masaa mpaka saa sita nitakuwa nimeshatuma hela, unachukua paspoti unasepa hakuna kurudi, ukikaidi roho itakwenda kupumzika, unataka kufa kibudu? jiangalie....."


Source; Tanzania Daima Nov 20 13

Ni ngumu kuamini kama huu uandishi ni wa Professor.
 
Watu wengine wanajiamini kupita kiasi kuweza kuandika vitu ambavyo vinawatia hatiani. Huyu jamaa uprofessor wake unatia shaka kubwa sana maana madudu anayoyafanya kupitia hiyo simu yake ni ya kustaajaabisha sana.
 
Tanzania Daima wamepewa shs.ngapi kwa habari hii? Naona kila siku wanakuja na habari hii, tena kiudaku udaku tu. Kila nikisoma hasa ya leo, naona kama huyu mzee anamezeshwa mambo mengine.
 
Prof J. kapuya amejitokeza tena kwa staili ya tofauti ikiwamo kumpigia simu mshtaki wake akiomba wayamalize kiaina.

Akitumia no ilele 0784993039 ambayo awali aliikana, juzi jumamosi alimpigia mshtaki wake na kumwomba wakutane ofisini kwa DPP na aseme kuwa hana haja na kesi.

ujumbe uliotumwa ulisomeka hivi, "Najua kesi ni watu wawili, sasa kwa nini hamkubali? hivi hela nitakayompa akuue si bora nikupe uanze maisha? wakili nimempa hela nyingi, magazeti pia, unaweza kukanusha taarifa hii na kufuta ushahidi halafu mm nikupe hela uende popote, bungeni sifiki na nitafukuzwa nyie mtapata nini? nakupa masaa mpaka saa sita nitakuwa nimeshatuma hela, unachukua paspoti unasepa hakuna kurudi, ukikaidi roho itakwenda kupumzika, unataka kufa kibudu? jiangalie....."


Source; Tanzania Daima Nov 20 13

WAKATI serikali ikisuasua kumfungulia mashitaka waziri wa zamani wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Profesa Juma Kapuya, kwa tuhuma za kubaka na kutishia kumuua mwanafunzi wa sekondari, kiongozi huyo amempigia magoti mshitaki wake akiomba yaishe. Hatua hiyo mpya ya Kapuya inakuja siku chache baada ya kukanusha kutomfahamu binti huyo, huku akidai kwamba namba ya simu inayotumika kufanya mawasiliano na mlalamikaji alikwishaigawa, jana mbunge huyo wa CCM alituma ujumbe mzito akisihi wamalize tatizo hilo kwa majadiliano.
Akitumia namba ileile 0784993039, ambayo awali aliikana, lakini akaitumia juzi Jumamosi katika taarifa yake ya kukanusha tuhuma hizo kwa vyombo vya habari, Kapuya alimwomba binti huyo wakutane ofisini kwa Mwendesha Mashitaka Mkuu wa Serikali (DPP) na huko aseme kuwa hana haja na kesi.
Katika ujumbe uliotumwa kwa binti huyo kupitia namba hiyo, Kapuya amemwahidi msichana huyo kumpa pesa na aende popote nje ya nchi, hivyo kumfanya abaki huru.
Huku akiendeleza vitisho vya kuwaua ikiwa binti huyo hatakubali, katika moja ya ujumbe wake, Kapuya alisema: "Najua kesi ni watu wawili, sasa kwanini hamkubali? Hivi hela nitakayompa mtu akuue si bora nikupe uanze maisha?
"Wakili nimempa hela nyingi, magazeti pia nimewapa, naumia jamani, unaweza kukanusha taarifa hii na kufuta ushahidi halafu mimi nikupe hela uende popote, bungeni sifiki na nitafukuzwa, nyie mtapata nini?
"Nakupa masaa mpaka saa sita nitakuwa nimeshatuma hela, unachukua passport unasepa na hakuna kurudi, ukikaidi roho itakwenda kupumzika, unataka kufa kibudu? Jiangalie.
"Ukienda kwa DPP mwambie kuwa hutaki kesi, mimi niitwe, usipokubali nitakuua, yaani siku si nyingi, na hakuna wa kunifanya lolote, umeshasikia vifo vingapi, unataka kufa wakati huu au kwa ahadi ya Mungu?" alimwandikia ujumbe binti huyo.
Kapuya alizidi kumbembeleza binti huyo akimwomba afikirie namna alivyowasaidia kiasi cha kuwapa gari aina ya Benz, na kwamba hata kama amemwambukiza ukimwi, lakini atambue kuwa maisha hayana spea.
"Sikiliza nawaambieni, kwanini mnatumiwa, maana yake ni kuwa hao watu wa haki za binadamu hawawezi kuwapa hela…hebu tafakari nimetoa Benz, nimekupa ukimwi sawa, maisha hayana spea, mimi nitafungwa, wewe utapata nini? Mimi nina miaka 69 hata nikifa leo, nakubali kwenda popote hata kwa DPP tukae meza moja, najua nitafungwa tu."
Kwa mujibu wa mawasiliano yaliyonaswa na Tanzania Daima Jumatano, Kapuya hata hivyo ameendelea kutishia kumtoa roho binti huyo hasa baada ya kuona ushauri wake unagonga mwamba.
Moja ya ujumbe uliotumwa kutoka katika namba hiyo unasomeka hivi: "Nitakuua tu huwezi kukimbia milele, si hutaki kunisikiliza, kwani kesi ya Mahita ilikuwaje? Mbona anahudumia na hakuna wa kumfanya lolote, kuwa kimya uone, hujachelewa, kama hutaki lazima mimi na Hamis tukuue."
Hata hivyo, pamoja na ushahidi wa waziwazi, katika hali ya kushangaza Jeshi la Polisi limeendelea kushikilia msimamo wake wa kutofungua mashitaka ama hata jalada la uchunguzi dhidi ya Kapuya, kwa madai kwamba lilikuwa likisubiri mlalamikaji afungue kesi.
Juzi akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Seleman Kova, alidai kuwa hawawezi kufungua mashitaka bila ya kuwapo mlalamikaji na kwamba watalifanyia kazi suala hilo pindi binti huyo akifungua jalada.
Hata hivyo wakati Kova akisema hayo, jeshi hilo limewahi kufungua kesi na kuwakamata watuhumiwa kutokana na taarifa zilizoripotiwa na magazeti na mitandao ya kijamii.
Jeshi la Polisi liliharakisha na kumkamata kiongozi wa CHADEMA, Wilfred Lwakatare na kumsafirisha chini ya ulinzi mkali kwa tuhuma za ugaidi na kutishia kuua baada ya kuona picha yake kwenye mtandao wa YOUTUBE.
Aidha, katika tukio jingine, Jeshi la Polisi lilimkamata na kumhoji Evod Justinian, kisha kumfungulia mashitaka baada ya kukaririwa na vyombo vya habari akimwita Mwigulu Nchemba gaidi, bila mlalamikaji kuandikisha maelezo polisi.
Katika tukio linalomkabili Kapuya, uchunguzi umebaini kuwa, binti huyo na dada yake ambaye amekuwa akimsimamia mdogo wake kupata haki, walifikisha suala hilo katika mamlaka za nchi ikiwemo Ofisi ya Bunge.
Taarifa zilizolifikia gazeti hili zinasema kuwa msichana anayedai kufanyiwa kitendo hicho alikuwapo Dodoma bungeni, wakati wa Bunge la Kumi, Mkutano wa Kumi na Tatu na alipewa huduma za usafiri na malazi kutoka kwenye Ofisi ya Bunge.
Habari zinasema msichana huyo pamoja na dada yake waliitwa kujadili suala hilo kwenye Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge chini ya uenyekiti wa Brigedia Jenerali Hassan Ngwilizi, lakini Kapuya hakutokea.
Imedaiwa kuwa kwa kipindi cha wiki mbili jitihada za kuwakutanisha Kapuya na mabinti hao kujadili suala hilo zilikwama, hali iliyosababisha Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Mwigulu Nchemba, kuingilia kati kuwashauri waende Dar es Salaam kuonana na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula.
Emmanuel Mpanda, anayedaiwa kuwa msaidizi wa Katibu wa Bunge, Thomas Kashilila, ndiye anatajwa kuweka utaratibu wa gharama za kuishi na kulala kwa wasichana hao kwa kipindi cha wiki mbili walipokuwa Dodoma, na utaratibu wa kuwapa gari kwa gharama za Bunge lililowasafirisha hadi Dar es Salaam.
Haijafahamika sababu za Kapuya kushindwa kufika mbele ya kamati hiyo ili kama anasingiziwa ukweli uwekwe wazi.
Aidha, Kapuya hadi sasa ameshindwa kukanusha kuitwa na kamati hiyo ya Bunge, badala yake amezidisha vitisho kwa binti huyo na dada yake, na hata kutishia kulifungulia mashitaka gazeti hili na mitandao mingine ya kijamii iliyoandika tuhuma zake.
Hata hivyo wakati polisi wakishikwa na kigugumiza na kuwasaidia wasichana hao kupata ulinzi, uchunguzi umebaini kuwa ushahidi wa meseji zilizotoka katika namba ya Kapuya unatosha kabisa kumfungulia kiongozi huyo mashitaka.
Kwa mujibu wa mtoa taarifa wetu katika Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA), alisema sheria inaruhusu vyombo vya dola kumfungulia mashitaka mtu yeyote anayetumia namba ya simu kutishia maisha ya mwingine.
Tanzania Daima Jumatano mara kadhaa limekuwa likimpigia simu Kapuya ambaye amekuwa hapokei simu, lakini amekuwa akimpigia binti huyo kila wakati akimshauri wasiendeleze jambo hili, na wakati huo huo akimtisha yeye na dada yake ikiwa watazidi kugoma.
Mwenyekiti wa Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, Brigedia Jenerali Ngwililizi, alipotafutwa kueleza namna walivyolimaliza suala hili bungeni hakuweza kupatikana.
Aidha, simu ya Katibu wa Bunge, Kashilila, ilikuwa inaita bila kupokewa.
Siku tatu zilizopita gazeti hili liliwasiliana na Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai, kumuuliza kuhusu ufahamu wake juu ya suala hili, kwanza alimwambia mwandishi wa gazeti hili kuwa hilo suala ni ‘complicated' na kwamba: "Hilo ni suala la mtu binafsi siwezi kulisemea mimi."

  • inShare​
 
Kb52 Matusi hapa si mahala pake, halafu andika kinachoeleweka, bana bana bana ndiyo nini? vilevile source nimeweka pale inaonyesha hujasoma thread la sivyo ungeomba ilifungie gazeti tajwa na mimi kupigwa ban
Upu.uz mtupu na hilo gazeti tumelichoka udaku mtupu.
 
Kapuya tukutane mahakamani
20/11/2013 | Posted by Ansbert Ngurumo | Tahariri | 0 comments | 63 views
KWA wiki nzima sasa gazeti hili limekuwa likiandika habari zinazohusiana na tuhuma nzito za aliyewahi kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Profesa Juma Kapuya. Tuhuma hizi ni zile zilizotolewa na binti mmoja aliyedai kubakwa na kiongozi huyo.

Kuchapishwa kwa tuhuma hizo kuliambatana na maelezo marefu, ya kina na yenye ushahidi anaodaiwa kuwa nao binti huyo anayesimamiwa kwa karibu na dada yake, ambao wote wanadai kuwa yatima.

Hata hivyo, siku tatu baada ya kuandikwa tuhuma hizo, Kapuya alitangaza kuwa ataongea na waandishi wa habari kuhusiana na kile alichosema ‘ukweli' wa sakata hilo.

Hata hivyo, badala yake alimtuma wakili wake, Yasin Memba, aliyeongea na waandishi wa habari wachache kukanusha habari hizo.

Tangu wakati huo, gazeti hili pekee limekuwa likiandika kwa mapana mawasiliano kati ya pande hizo mbili, likitumia ushahidi wa aina kadhaa ukiwamo wa mawasiliano ya simu.

Hatua ya kuanika tuhuma hizo imemsukuma Kapuya kutishia kufungua mashitaka ikiwa hatutamwomba radhi na kukanusha tuhuma zake.

Tunapenda kuweka wazi kwa wasomaji wetu mambo muhimu yafuatayo; kwanza, hatuna masilahi binafsi katika sakata hili. Tunaandika kwa kusukumwa na uzito wa tuhuma hizi, hasa zinapoelekea kumuathiri binti mdogo asiyekuwa na uwezo wa kupambana na wenye nguvu.

Pili, hatuna sababu ya kutumiwa kisiasa kwa sababu hatuna ugomvi binafsi na wala hatujawahi kukwaruzana kwa namna yoyote ile na Profesa Kapuya.

Tatu, tumesimama kuandika habari hizi kwa kuzingatia ushahidi wa kutosha unaodhihirisha kuwa suala hili ni la muda mrefu na limefikishwa mbele ya taasisi sahihi za dola bila kupata ufumbuzi.

Ni wajibu wa vyombo vya habari, bila kujikomba, kuonea ama kumsingizia mtu kusimama imara na kutetea wanyonge wengi ambao kwa sababu moja ama nyingine wananyanyaswa, kuonewa na kudhulumiwa.

Tulifikiri kwa Kapuya badala ya kutoa vitisho, angeungana nasi tangu awali alipotafutwa kufafanua ukweli wa kile anachokijua kuhusiana na tuhuma zinazomkabili.

Badala yake amekuwa akikwepa tangu awali, lakini kibaya zaidi hata akikanusha mambo yaliyo wazi ikiwemo umiliki wa simu iliyosajiliwa kwa jina lake.

Tunapenda kuweka wazi msimamo wetu kuwa hatutaomba radhi na wala hatufikirii kufanya hivyo, badala yake tunamshauri afikirie pale alipojikwaa ajisahihishe.

Kutumia magazeti kupotosha ukweli ama vitisho hakutamsaidia. Ikiwa analolijua, anakaribishwa na atapewa nafasi. La, kama anaona ameonewa, tunamwomba kwa unyenyekevu mkubwa tukutane mahakamani, ambako hatufikirii hata kupoteza fedha za kumweka wakili atutetee, maana ni shauri jepesi kwetu kuthibitisha ukweli wa kile tulichokiandika.

SOURCE; TANZANIA DAIMA
http://freemedia.co.tz/daima/kapuya-tukutane-mahakamani/
 
Upu.uz mtupu na hilo gazeti tumelichoka udaku mtupu.

Tanzania Daima ni gazeti makini na wanajua wanachokiandika. Kama huyo mzinzi mwenzenu kaonewa, si aende mahakani? Acha kushabikia jambo usolijua ndugu yangu. Gazeti haliwezi kuandika habari kwa siku 4 mfululizo bila kuwa na data za kutosha. Usidhani kwamba Tanzania Daima ni kama magazeti mengine ya kidaku kama yale ya Shigongo, utachekuwa mkuu!

Tanzania Daima – Kapuya tukutane mahakamani
 
na hii picha inayomuonyesha kapuyer amemkubatia mtoto mdogo mavuzini huku akimpima oil kwa nyuma ni ya kugushi? elimika wewe mburula, usimtetee mzinzi mwenzako.
View attachment 122576

Eti huyu pussy muhuni ndio waziri mkuu mtarajiwa. huyu muhuni akalie kiti alichokalia kina Sokoine.
Not in this country. kumbe mkiwa Kimboka mnadanganyana sana eeeh
 
Sasa huyu alhaji kama anaamini kuwa jina lake linachafuliwa ni kwa nini asiwahi mahakamani?

DSC_8159.JPG
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom