Huyu Kapuya atakuwa mjinga kiasi gani kutuma ujumbe kama huu baada ya yote haya?
Kapuya kama kweli unaoutu Watanzania wanao utu zaidi wapo tayari kukusamehe na mambo yakaendelea kama kawaida.
Ushauri wangu ni huu, itisha mkutano na vyombo vya habari pale Habari na Maelezo, usijitetee bali omba msamaha kwamba kweli ulikiuka MAADILI YA UONGOZI hivyo ungependa WATANZANIA WAKUSAMEHE. Huwezi amini utasamehewa hapo hapo, hakuna atakaye kuwa na dharau kwako kuanzia pale MAELEZO.
Believe me!
Kabisa mkuu naona huyu mzee kama amechanganyikiwa.
Sasa naanza kuamini Prof anasingiziwa. kuna mtu anatumia hiyo sim card kumchafua. Lugha gani hiyo ya kihuni hivyo atumie mzee mzima! :frusty:
Prof.Jay hawezi kuandika meseji ya kimavimavi ivo bana. Lugha gani asa hiyo....kama mtoto wa mlugo kabisa!...acheni kumharibia bana. Hata mi siwez kuandika ivo......kitoto kabisa!!!.....acheni mambo yenu bana!..JF wampige ban aliyeweka thread hii....la sivyo kuanzia leo najitoa jf. Kueni na utu bana......acheni upuuzi bana......kapuya imekua kapuya.....acheni upuuzi bana.....pretenda wakubwa!...acheni ushenzi bana.....wazandiki wakubwa....karakabaho...stakafulula.....shwaini....nyambafu kabisa!...futeni ujinga wenu bana...tumechoka kusikia habari za kapuya sie!...acheni ukuda bana!![watunga message sasa ndo wanaonyesha kuchemusha kabisa. nakubaliana na wewe kabisa mheshimiwa. ibaki tu kwamba kapuya kafanya hivyo, ila kw ahizi message. UONGO MKUBWA KABISA]