Kapuya ajatulia kiakili huyu anaweza akapotea inabidi awekwe chini ya uangalizi maalum.
Bro tumia medula oblangata,tangia story hii ianze ingekuwa uzushi lazima Kapuya angeisha tangaza nia ya kulishtaki gazeti for deformation,lakini hajatoa tamko lolote la kushutumu gazeti kwa kutoa habari hizo.Hadithi nyingine za kutunga zinachekesha sana. Watu wana utaalamu wa KUTUNGA uongo.
Wahi milembe!Prof.Jay hawezi kuandika meseji ya kimavimavi ivo bana. Lugha gani asa hiyo....kama mtoto wa mlugo kabisa!...acheni kumharibia bana. Hata mi siwez kuandika ivo......kitoto kabisa!!!.....acheni mambo yenu bana!..JF wampige ban aliyeweka thread hii....la sivyo kuanzia leo najitoa jf. Kueni na utu bana......acheni upuuzi bana......kapuya imekua kapuya.....acheni upuuzi bana.....pretenda wakubwa!...acheni ushenzi bana.....wazandiki wakubwa....karakabaho...stakafulula.....shwaini....nyambafu kabisa!...futeni ujinga wenu bana...tumechoka kusikia habari za kapuya sie!...acheni ukuda bana!!
kaka maisha yamekushinda kwa sasa kapuya yuko hoiii hawezi hata kukuweka kwenye serikali za mitaaa ni bora ukaacha kupiga domo humu ukaenda kwake atakupa kazi nzuri kupika ,kufua,kuosha viombo full house girl siunajua mahouse girl same time wanamiliki nyumba jaribu umaweza ukamiliki gorofa mbezi na masakiProf.Jay hawezi kuandika meseji ya kimavimavi ivo bana. Lugha gani asa hiyo....kama mtoto wa mlugo kabisa!...acheni kumharibia bana. Hata mi siwez kuandika ivo......kitoto kabisa!!!.....acheni mambo yenu bana!..JF wampige ban aliyeweka thread hii....la sivyo kuanzia leo najitoa jf. Kueni na utu bana......acheni upuuzi bana......kapuya imekua kapuya.....acheni upuuzi bana.....pretenda wakubwa!...acheni ushenzi bana.....wazandiki wakubwa....karakabaho...stakafulula.....shwaini....nyambafu kabisa!...futeni ujinga wenu bana...tumechoka kusikia habari za kapuya sie!...acheni ukuda bana!!
Una miaka mingapi?Prof.Jay hawezi kuandika meseji ya kimavimavi ivo bana. Lugha gani asa hiyo....kama mtoto wa mlugo kabisa!...acheni kumharibia bana. Hata mi siwez kuandika ivo......kitoto kabisa!!!.....acheni mambo yenu bana!..JF wampige ban aliyeweka thread hii....la sivyo kuanzia leo najitoa jf. Kueni na utu bana......acheni upuuzi bana......kapuya imekua kapuya.....acheni upuuzi bana.....pretenda wakubwa!...acheni ushenzi bana.....wazandiki wakubwa....karakabaho...stakafulula.....shwaini....nyambafu kabisa!...futeni ujinga wenu bana...tumechoka kusikia habari za kapuya sie!...acheni ukuda bana!!
tumia akili ww tabu lalasa umeona KUSEPA nini neno baya kuliko huyo fisadi fataki kufanya ngono ,Uzinzi wakati anandoa yake mm maamini hata ukijitaidi kumsafisha kiasi gani hasafishiki yuko hoii ben taabani na amekaka kimya nyie wapambe na shida zenu njaa zitawauaHivi kapuya anaweza kutumia neno KUSEPA...... Hebu watu wazima tusaidieni hapo... Ilikiwa unaumri sawa na Kapuya au unakaribiana... Unakabiliwa na tatizo tajwa hapa jamvini... Unaweza kutumia neno kusepa??
Prof.Jay hawezi kuandika meseji ya kimavimavi ivo bana. Lugha gani asa hiyo....kama mtoto wa mlugo kabisa!...acheni kumharibia bana. Hata mi siwez kuandika ivo......kitoto kabisa!!!.....acheni mambo yenu bana!..JF wampige ban aliyeweka thread hii....la sivyo kuanzia leo najitoa jf. Kueni na utu bana......acheni upuuzi bana......kapuya imekua kapuya.....acheni upuuzi bana.....pretenda wakubwa!...acheni ushenzi bana.....wazandiki wakubwa....karakabaho...stakafulula.....shwaini....nyambafu kabisa!...futeni ujinga wenu bana...tumechoka kusikia habari za kapuya sie!...acheni ukuda bana!!
mtoa mada amewekaa source hvo fuatilia hyo source kujua kama ni kweli yaliyoandikwa ameyatoa hukoProf.Jay hawezi kuandika meseji ya kimavimavi ivo bana. Lugha gani asa hiyo....kama mtoto wa mlugo kabisa!...acheni kumharibia bana. Hata mi siwez kuandika ivo......kitoto kabisa!!!.....acheni mambo yenu bana!..JF wampige ban aliyeweka thread hii....la sivyo kuanzia leo najitoa jf. Kueni na utu bana......acheni upuuzi bana......kapuya imekua kapuya.....acheni upuuzi bana.....pretenda wakubwa!...acheni ushenzi bana.....wazandiki wakubwa....karakabaho...stakafulula.....shwaini....nyambafu kabisa!...futeni ujinga wenu bana...tumechoka kusikia habari za kapuya sie!...acheni ukuda bana!!
Sasa naanza kuamini Prof anasingiziwa. kuna mtu anatumia hiyo sim card kumchafua. Lugha gani hiyo ya kihuni hivyo atumie mzee mzima! :frusty:
Sasa naanza kuamini Prof anasingiziwa. kuna mtu anatumia hiyo sim card kumchafua. Lugha gani hiyo ya kihuni hivyo atumie mzee mzima! :frusty:
Sasa naamini Kapuya anaonewa!!!!
romours zikiendelea sana mnaharibu kila kitu,itaonekana kama anaonewa
Umeona eeeh.......