Kapteni Komba: Tundu Lissu aende Jeshini

Kapteni Komba: Tundu Lissu aende Jeshini

Story ya Komba ni kua alikwenda jeshini kujifunza ukakamavu, lakini uzalendo ulipomshinda akaingia kwenye kuimba na kukisifia chama cha Tanu enzi ile ambayo ikaja kua CCM hana ukakamavu wowote na hata kupiga KWATA hawezi hii nimeipata kutoka kwa aliyekua mkuu wake!
 
297146_2385598368042_1104571727_n.jpg
Weee mke wa mtu uyo ondoa mkono huo...
 
Mtu aliyepitia jeshini anashindwa control ya afya yake mpaka anakaa kwenye viti vitatu !!!!

Huyu jamaa kwa macho yangu nimemuona anakata chupa ya konyagi na kilo tatu za kitimoto pekeyake, akimaliza anaingia kwenye gari, tena dereva anamuendesha, energy anayounguza labda ni kuongea.
 
Huyo mwimba kwaya na mcheza ngoma ameongea ukweli gani.INAONYESHA HATA JINSIA YAKO HUITAMBUI.
Hahahaaaaa kwa hiyo mkuu akifika kwenye yale mambo ya kikubwa inabidi acheze kamari kwi kwi kwi kwi kwi....
 
jamani kwani kuna ukapten wa kupewa? au huyu ni km Gadner wa Jide dada yng? ila huyu alikua muimba kwaya maarufu jeshini. jamii foroum ni zaidi ya mitandao jamani yan ni full raha
 
Huyu jamaa kwa macho yangu nimemuona anakata chupa ya konyagi na kilo tatu za kitimoto pekeyake, akimaliza anaingia kwenye gari, tena dereva anamuendesha, energy anayounguza labda ni kuongea.

Halafu wako wengi CCM.......mwingine huyu hapa!....naye ni GAMA toka Songea

SAM_0779.JPG
 
...komba..??? uzalendo..??? ccm..?? uzalendo..?? Eeee Mungu naomba usiziangalia "dhihaka" zetu wanadamu....
Jina lake la mwishi linaendana na tabia yake. Ati Komba!!!!!!
 
List ya wafa maji ni ndefu, Komba, Nkamia, Lusinde, mtu akipata dakika badala ajikite na point anatuletea maneno ya kanga!
 
images


N kushika masaburi ya maCCM
Khaaaa mkuu nimechaka mbaya,jf kweli noma,mcheki komba ilo poz alilopiga na jinsi mkono alivyoiweka na macho yanapoangalia alafu kama vile anatakakushtua vile mwendo wa sebene hahahaaaaaaa Komba ninoma mazee....
 
Ana tani ngapi huyu Komba mpaka kapanga viti vitatu. Wameshiba sasa hawataki kuondoka mezani ndio maana wanaongea utumbo huu. Wangejua kuwa kauri zao zinawachimbia kaburi wasingelifanya wayafanyayo kuendelea kuimba na kucheza nyimbo za mafisadi.
Mchumia tumbo
Hawajali maisha ya watanzania
 
Hii thread na post zake inaweza kuwa kati ya thread za kupasua mbavu zilizowahi kuwekwa humu kwa kipindi kirefu sana.
I just wish huyo mburula Komba angekuwa literate enough aingie humu asome habari zake za leo.

Kila post ni ukweli na inachekesha mno!
Kweli mkuu kati thread ambazo zinachekesha kama sio kuvunja mbavu ni hii,nimecheka mbaya hizo picture na comment kweli jf never bored
 
Back
Top Bottom