Kapteni Komba: Tundu Lissu aende Jeshini

Kapteni Komba: Tundu Lissu aende Jeshini

Kama ni kweli ni heri ya Tundu lissu mara kumi kuliko wewe une lala na wajukuu zako,shame on you.
ni bora ya Tundu kuliko yake Komba Tumbo na Akili haviendani Inaonekana Mh mvivu kwenda chooni sana
 
komba.jpg

Tazameni anavyo uchungulia uzalendo ha ha ha!
 
Wewe komba umepita Jeshini kipi cha mfano kinaweza kuigwa kwako?bunge la mijadala ya kirafiki kiupole ndilo limifanya Tz Kuwa Nchi tegemezi huku komba akitafuna pesa na vimada kitambi kimemlemea huku bendi yake wanakonda kwa njaa Tundu lisu amewafanya wabunge wazinduke toka usingizini ni mda wa kujitambua na kuwatumikia wana nchi ili bunge lipate heshima zaidi wabunge kama
 
Waongezeke alika Lisu wengine angalau bunge litakuwa na changamoto sio Kuwa akina komba full kilala mjengoni
 
Back
Top Bottom