POMPO
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 6,690
- 2,402
Dah! Inakuwa vipi wale wanaojiita makamanda, kumbe ni wauza sura..Akaenda mbali na kusema kuna wabunge wanapenda kuuza sura na ndio wanahabari wanawapenda sana kuuzia habari zao.
mkono huo vipi
Teh tehteh,heti wanauza sura!,HIVI KOMBA AU WASIRA NAO WANAWEZA KUUZA SURA? Teh tehKomba ameshauri wabunge wanaochochea vurugu hapa nchini waende jeshini wakajifunze uzalendo waache kuhubiri siasa za ubaguzi. akatolea mfano wa mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni tundu lissu ambaye mara kadhaa amekuwa akiingia katika mgogoro na bunge kwa kusababisha vurugu na kutoweka kwa amani katika chombo hicho cha kutungia sheria za nchi.
Akaenda mbali na kusema kuna wabunge wanapenda kuuza sura na ndio wanahabari wanawapenda sana kuuzia habari zao.
Amevikemea vyombo vya habari kwa kuwa chanzo cha kukosekana kwa amani ya nchi kwa kuandika habari za udaku na vurugu na badala ya kuandika habari za maendeleo.
Ningekuwa dk wa komba ninge muandika fomul ya kula asubui maji ya moto mchana desh jion kipande cha muogo,mh, lissu yupo sawa wanataka wafanye makosa anyamaze ndyo maana cdm wanapo ona pesa znaibiwa tembo na rasilimal zetu wamekuwa mali ya mtu mmoja wanasema ukwel na ukwel una uma,na nukuu farisafa ya mh lema Dhambi kubwa na mbaya ni uoga,na uoga huo unatokana nakujua ukwel af hausemi kisa unaogopa,cdm ni jembe.
mkono huo vipi
suez kanali na viti 3 huyu jamaa atakuwa anakilo kama za pembe za ndovu za kinanamkono huo vipi
Wakati fulani Mwalimu alifanya makosa makubwa sana kuwatunuku vyeo vya kijeshi makada wa TANU ili kuhalalisha Party Supremacy!Hiivi KOMBA ni kepteni wa jeshi au ni KEPTEN WA KWAYA NA TAARAB.
Kwa nini asimshauri LULU aende shule kwanza kuliko kumuharibu?
![]()
Sio ajabu kwamba hawa akina Kapten komba ndio wazalendo wanaozalishwa na vituo vyetu vya mafunzo ya kijeshi.
Tena sio ajabu kwa Tanzania yetu mwimba taarabu tu aliyeibukia kwa ukuwadi ndani ya ccm kumshauri msomi na
mzalendo mkaini kama lisu na ushauri wake ukaonekana una make sense kwa baadhi yetu.
Komba ameshauri wabunge wanaochochea vurugu hapa nchini waende jeshini wakajifunze uzalendo waache kuhubiri siasa za ubaguzi. akatolea mfano wa mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni tundu lissu ambaye mara kadhaa amekuwa akiingia katika mgogoro na bunge kwa kusababisha vurugu na kutoweka kwa amani katika chombo hicho cha kutungia sheria za nchi.
Akaenda mbali na kusema kuna wabunge wanapenda kuuza sura na ndio wanahabari wanawapenda sana kuuzia habari zao.
Amevikemea vyombo vya habari kwa kuwa chanzo cha kukosekana kwa amani ya nchi kwa kuandika habari za udaku na vurugu na badala ya kuandika habari za maendeleo.
Madhara ya kutumia kinana asubuhi badala ya chai