mmura
Member
- Sep 30, 2010
- 94
- 12
uzalendo haupatikani jeshini, kwani hao waliokula hela za EPA, rada, Richmond na mafisadi wengine hawakwenda jeshini? uzalendo ni zaidi ya jeshini, mfumo ndio unaweza kuwafanya watu wawe wazalendo especially pale rasilimali zikigawanywa sawa, kuwe na utawala wa sheria n.k
sasa sijui yeye anavyolala tu bungeni na kuchukua posho za kwenda kutumia na watoto wadogo km kina LUlu ni uzalendo?
sasa sijui yeye anavyolala tu bungeni na kuchukua posho za kwenda kutumia na watoto wadogo km kina LUlu ni uzalendo?