Kapteni Komba: Tundu Lissu aende Jeshini

Kapteni Komba: Tundu Lissu aende Jeshini

Kwa nini asimshauri LULU aende shule kwanza kuliko kumuharibu?

images

Komba, huu ndi uzalendo wa jeshini??

Huyu ni mzalendo!

Hapa mtasingizia ati mkono ulikosea njia!

Kweli kajitahidi kuliko kusinzia
komba-auchapa-3.jpg

Nafikiria kama bungeni ndo kufanya hivi, 2015 namie nimo!
 
hilo ni jinga captain la jeshi puuzi kabisa,, aende kwa wakina lulu na wake wamuhumini aliowaoa ,,,,bunge la kenya wangemchapa viboko,,,,
na yeye akajifunze tabia njema mzinzi huyo tuu.......
 
Ndio maana Mkami halitaki hili jukwaa maana hakuna kuremba!
 
Komba unastahili sifa kwa kuwa mkweli

Kwa kuwa mkweli? Capt. John Komba kazi yake huwa ni kulala bungeni, obesity inamsumbua...!!! Tunddu Lisu na wenzake ni vijana bado damu inachemka, hawataki mambo ya kura za "ndiyoooooo" ambazo wabunge wa CCM huwa wanapiga bila hata kuangalia kama zina masilahi kwa wapigakura wao au la! Komba kazi yake jeshini ilikuwa ni kuimba kwaya yule, hata kwata hawezi!!! Siku hizi amebaki kunywa bia na nyamachoma tu na kesho yake kulala bungeni...


"Amandla!" .... "Awethu!" "Power!" .... "to the People!"
 
Lissu anauza sura hata Komba nae anaweza kuuza umbo lake nene.
Ni jambo la kutia hasira kuona jitihada kubwa inafanyika kuwaziba wabunge wa upinzani mdomo kufanya kazi yao. Kuelezea uchafu ndani ya serikali ndio uchochezi kwa wabunge wa ccm. Je wanataka lugha gani itumike kuelezea ufisadi na ukiukwaji mkubwa wa maadili na haki za binaadamu unaofanywa na viongozi na watendaji serikali. Labda wabunge wa upinzani watumie ngonjera kaswida au mashairi kuimba hoja zao? Hivi hawa watu wakoje; ukweli wanataka watanzania waelewe ndio uchochezi?
 
Arudishe kwanza Magari yote ya TOT aliyojimilikisha hata kama ( HUYU NI MWENZETU ) , ndiyo aje kujadili huo uzalendo anaousema !
 
Komba ameshauri wabunge wanaochochea vurugu hapa nchini waende jeshini wakajifunze uzalendo waache kuhubiri siasa za ubaguzi. akatolea mfano wa mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni tundu lissu ambaye mara kadhaa amekuwa akiingia katika mgogoro na bunge kwa kusababisha vurugu na kutoweka kwa amani katika chombo hicho cha kutungia sheria za nchi.

Akaenda mbali na kusema kuna wabunge wanapenda kuuza sura na ndio wanahabari wanawapenda sana kuuzia habari zao.

Amevikemea vyombo vya habari kwa kuwa chanzo cha kukosekana kwa amani ya nchi kwa kuandika habari za udaku na vurugu na badala ya kuandika habari za maendeleo.



Jamani sikusudii kuudhi mtu.Kwani uzalendo ni upi hasa? Mbona yeye anasahau kusemea matatizo ya watu wake anauchapa usingizi bungeni? Huo ndo uzalendo? Kupokea malipo ya kazi usizofanya? Ningefarijika kama angeongea mwingine, siyo Komba.
Kwa kifupi mi siyo mfuasi mzuri wa unafiki. Ifikie wakati tuamue kuwa waadilifu, au tuache kuongea kwa kujipendekezapendekeza. When it comes to maslahi ya waTanzania tuache upuuzi wa itikadi tuangalie ukweli. Its a shame kuendelea kukubatia uchafu bila haya then unataka watu wakuheshimu. Its a shame.
 
Kwa nini asimshauri LULU aende shule kwanza kuliko kumuharibu?

images

Komba, huu ndi uzalendo wa jeshini??
kwenye hicho kipande cha gazeti hapo juu ndio wewe komba binadamu au ni komba yule mnyama wa porini?
 
Kwa nini asimshauri LULU aende shule kwanza kuliko kumuharibu?

images

Komba, huu ndi uzalendo wa jeshini??

Hapa ndio ninapoipendeaga JF, ukijifanya unajua tu, watu wanafukua akiba yako toka mafichoni, aidha itakua akiba mbaya au nzuri, big up. Sijui nae hua anapitia hapa? na misimu yake mikubwa mikubwa.
 
komba ukubwa wa mwili wako na heshma ulionao ktk mambo ya kwaya hauendani na hoja ulizotoa wewe,Tundu lisu ni mtu anaerekebisha kanuni bungeni na ndo mana mnamchukia kwa kutafsiri sheria,nenda wewe jesh ukapunguze tumbo hlo,sawa bwana kaka,
 
Back
Top Bottom