CONSTRUCTIVE THOUGHT
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 1,158
- 417
- Thread starter
- #101
Hakunijibu anaishi wapi, ye alitukana tu.huyo atakuwa mwanaume wa Dar.!

Ahsante nilisha poa!Haaaa pole kwa kumtongoza mwaume mwwnzako
Jamani hakuna mahari maalumu pakumuona umpendae. Pia hakuna mahali maalumu palipo ainishwa pakuanzishia mausiano, bali sehemu na namna yoyote inaweza faa kuanzisha mausiano ilimradi tu umemuona umpendae.
Hivi karibuni niliona picha (profile picture) ya msichana mrembo katika akaunti ya mmoja kati ya watu waliomo humu JF. Kiukweli ile picha ilinivutia sana, hivyo nikaona ni vyema nimtafute uyo dada ili nimueleze yangu ya moyoni.
Cha kustajabisha niliambulia matusi makubwa makubwa huku akiniuliza kwa lugha ya ukali "We bwege nani kakuambia mimi ni mwanamke? au umetumwa kunifatilia?", "unikom.. mimi ni mwanaume.. sio mwanamke kama unavyofikiria"
Baada ya majibu hayo nilielewa kuwa kumbe ni mwanaume ila ameweka picha ya msichana. Nilimjibu kwa kumuambia picha ulioweka ndio iliosababisha nijue wewe ni mwanamke. Lakini sikuishia hapo nilimuomba samahani!
Jamani katika hilo mimi ninakosa gani mpaka nitukanwe kiasi hicho?
unaweza ukatongoza jini,shauri yakoJamani hakuna mahari maalumu pakumuona umpendae. Pia hakuna mahali maalumu palipo ainishwa pakuanzishia mausiano, bali sehemu na namna yoyote inaweza faa kuanzisha mausiano ilimradi tu umemuona umpendae.
Hivi karibuni niliona picha (profile picture) ya msichana mrembo katika akaunti ya mmoja kati ya watu waliomo humu JF. Kiukweli ile picha ilinivutia sana, hivyo nikaona ni vyema nimtafute uyo dada ili nimueleze yangu ya moyoni.
Cha kustajabisha niliambulia matusi makubwa makubwa huku akiniuliza kwa lugha ya ukali "We bwege nani kakuambia mimi ni mwanamke? au umetumwa kunifatilia?", "unikom.. mimi ni mwanaume.. sio mwanamke kama unavyofikiria"
Baada ya majibu hayo nilielewa kuwa kumbe ni mwanaume ila ameweka picha ya msichana. Nilimjibu kwa kumuambia picha ulioweka ndio iliosababisha nijue wewe ni mwanamke. Lakini sikuishia hapo nilimuomba samahani!
Jamani katika hilo mimi ninakosa gani mpaka nitukanwe kiasi hicho?
hahahahha lol.............Wewe nae mbona nikikujia PM wala hujibu? au ndo walewale mandevu?
Huna kosa achana naye kwanza mimi personally nachukia watu wenye hasira hasira na kutukana maisha yenyewe mafupi sasa yote alikujibu ya nini.angesema tu mimi si unavyonifikiria (picha)Jamani hakuna mahari maalumu pakumuona umpendae. Pia hakuna mahali maalumu palipo ainishwa pakuanzishia mausiano, bali sehemu na namna yoyote inaweza faa kuanzisha mausiano ilimradi tu umemuona umpendae.
Hivi karibuni niliona picha (profile picture) ya msichana mrembo katika akaunti ya mmoja kati ya watu waliomo humu JF. Kiukweli ile picha ilinivutia sana, hivyo nikaona ni vyema nimtafute uyo dada ili nimueleze yangu ya moyoni.
Cha kustajabisha niliambulia matusi makubwa makubwa huku akiniuliza kwa lugha ya ukali "We bwege nani kakuambia mimi ni mwanamke? au umetumwa kunifatilia?", "unikom.. mimi ni mwanaume.. sio mwanamke kama unavyofikiria"
Baada ya majibu hayo nilielewa kuwa kumbe ni mwanaume ila ameweka picha ya msichana. Nilimjibu kwa kumuambia picha ulioweka ndio iliosababisha nijue wewe ni mwanamke. Lakini sikuishia hapo nilimuomba samahani!
Jamani katika hilo mimi ninakosa gani mpaka nitukanwe kiasi hicho?
Kosa unalo tena kubwa tu, kwanini unamtongoza mtu ata bila kufatilia kama ni mke wa mtu au lah, vipi kama ingekua ni account ya your mother /Sister?Jamani hakuna mahari maalumu pakumuona umpendae. Pia hakuna mahali maalumu palipo ainishwa pakuanzishia mausiano, bali sehemu na namna yoyote inaweza faa kuanzisha mausiano ilimradi tu umemuona umpendae.
Hivi karibuni niliona picha (profile picture) ya msichana mrembo katika akaunti ya mmoja kati ya watu waliomo humu JF. Kiukweli ile picha ilinivutia sana, hivyo nikaona ni vyema nimtafute uyo dada ili nimueleze yangu ya moyoni.
Cha kustajabisha niliambulia matusi makubwa makubwa huku akiniuliza kwa lugha ya ukali "We bwege nani kakuambia mimi ni mwanamke? au umetumwa kunifatilia?", "unikom.. mimi ni mwanaume.. sio mwanamke kama unavyofikiria"
Baada ya majibu hayo nilielewa kuwa kumbe ni mwanaume ila ameweka picha ya msichana. Nilimjibu kwa kumuambia picha ulioweka ndio iliosababisha nijue wewe ni mwanamke. Lakini sikuishia hapo nilimuomba samahani!
Jamani katika hilo mimi ninakosa gani mpaka nitukanwe kiasi hicho?
ahahahah nimecheka haya matusi niliyatoa enzi hizo tunakatazwa kusimamishwa njian na mwanaume yeyote au akikwambia nakupenda tu unashuka mvua ya matusi,,,,,,,, utasikia ushindwe na ulegee na pepo lako la ngono, unikome tena ukomae, unaukimwi wew kazi kuambukiza watot wadogo,Hahahah duh,,,,, utafkr kjana wa watu ameshalala Na mim,,,, so uliparamia mtoto asie age yako,.
hahahahahahaha nimecheka saaaaaaana kwakweliHapa mbuzi pia wapo.
Never take JF seriously.
KAJITONGOZESHA MWENYEWE, YYEYE NDO BWEGEJamani hakuna mahari maalumu pakumuona umpendae. Pia hakuna mahali maalumu palipo ainishwa pakuanzishia mausiano, bali sehemu na namna yoyote inaweza faa kuanzisha mausiano ilimradi tu umemuona umpendae.
Hivi karibuni niliona picha (profile picture) ya msichana mrembo katika akaunti ya mmoja kati ya watu waliomo humu JF. Kiukweli ile picha ilinivutia sana, hivyo nikaona ni vyema nimtafute uyo dada ili nimueleze yangu ya moyoni.
Cha kustajabisha niliambulia matusi makubwa makubwa huku akiniuliza kwa lugha ya ukali "We bwege nani kakuambia mimi ni mwanamke? au umetumwa kunifatilia?", "unikom.. mimi ni mwanaume.. sio mwanamke kama unavyofikiria"
Baada ya majibu hayo nilielewa kuwa kumbe ni mwanaume ila ameweka picha ya msichana. Nilimjibu kwa kumuambia picha ulioweka ndio iliosababisha nijue wewe ni mwanamke. Lakini sikuishia hapo nilimuomba samahani!
Jamani katika hilo mimi ninakosa gani mpaka nitukanwe kiasi hicho?
Duuuh umenikumbusha mbal kinoma et ukome na ukomaeahahahah nimecheka haya matusi niliyatoa enzi hizo tunakatazwa kusimamishwa njian na mwanaume yeyote au akikwambia nakupenda tu unashuka mvua ya matusi,,,,,,,, utasikia ushindwe na ulegee na pepo lako la ngono, unikome tena ukomae, unaukimwi wew kazi kuambukiza watot wadogo,Hahahah duh,,,,, utafkr kjana wa watu ameshalala Na mim,,,, so uliparamia mtoto asie age yako,.
Mfano hapo syo vivac....Tambua kuwa c kila pcha humu inaoneasha ndiye muhucka, kuna watu wameweka ndg zao, wake zao... Nk. But infact hii mitandao ya kijamii c salama sana kumpata umpendaye.
hahahaaaa aise angeenda kukutana na gharika duuuu umemaliza kila kitu mdauKuwa makini dogo,afadhali huyo kakuchana laivu kuwa yeye dume.Mwengine angekulia ganzi halafu ungeenda kukutana na gharika!.