CONSTRUCTIVE THOUGHT
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 1,158
- 417
- Thread starter
- #21
Hizi picha sio kumbe!Kwi kwi kwi uliona profile picture za JF ukaamua kujitutumia kidume ahaahaahaaaaa
Hizi picha sio kumbe!Kwi kwi kwi uliona profile picture za JF ukaamua kujitutumia kidume ahaahaahaaaaa
hahahahaanakujua we ni mpiga punyere kabla ya kugegeda(docta mshauri wa namna ya kupachika mimba zilizoshindikana)
Nilisha msamehe bure! Pia namimi nilimuomba anisamehe bure!Mkuu,kumbuka kila mtu humu JF amelelewa na malezi yake sasa usitegeme sana positive response kutoka kwa wengine,
Na hayo matusi usidhani anakutukana wewe anatukana maisha yake na kukujulisha kua hana peace of mind...
Hana ugomvi na wewe hata kidogo anaugomnvii na maisha yake,msamehe bure na usijibishane nae..
Duh! Ingekuwa ni hatari sana mkuu!ilitakiwa akuache afu mpange muonane, sizani kama hyo siku ungeisahu kwa ambacho angekufanya
Kweli kabisa sio wakukimbilia!SIkiliza nyumbo ya SONGA~ PICHA, itakusaidia kujua hawa misambwanda wa Social Networks sio wakuwapalamia.
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Hizi picha sio kumbe!
angekupiga mpepe mkuuDuh! Ingekuwa ni hatari sana mkuu!
Teh teh amesanda kutia voko kwa pungaAtakuwa punga huyooo
Mmh! Mkuu matusi yalikuwa mazito!!!!Woga wako tu ndivyo walivyo sitaki nataka ungeendelea na sound angepoa nakumpata kiulaiiini.
Yawezekana akawa mdogo!ahahahah nimecheka haya matusi niliyatoa enzi hizo tunakatazwa kusimamishwa njian na mwanaume yeyote au akikwambia nakupenda tu unashuka mvua ya matusi,,,,,,,, utasikia ushindwe na ulegee na pepo lako la ngono, unikome tena ukomae, unaukimwi wew kazi kuambukiza watot wadogo,Hahahah duh,,,,, utafkr kjana wa watu ameshalala Na mim,,,, so uliparamia mtoto asie age yako,.
Mmh!Atakuwa punga huyooo
Inachekesha sana!!!!ha ha haaaa,nimecheka kwa sauti.dah