Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 54,447
- 101,742
Hii kitu ipo.Kuna kenge kaona avatar yangu kajua mimi mrembo pasina kuangalia profile yangu yote.Nilimjibu kistaarabu kwa sababu balimi hazikuwa kichwani.Wandugu,mjitafakarishe kabla ya kuwaza ngono.Msivagae mambo hovyohovyo mtayavaa majini!