CONSTRUCTIVE THOUGHT
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 1,158
- 417
- Thread starter
- #141
Mkuu ndio nilikuwa naanda mazingira ya kukutana nae ili nishike nyonyo.Wenzio tunaanzaga kushika nyonyo kwanza
Mkuu ndio nilikuwa naanda mazingira ya kukutana nae ili nishike nyonyo.Wenzio tunaanzaga kushika nyonyo kwanza
Ahsante!Hahahaaaaa msionage warembo ,mshaanza penda,pole zako
Kweli kabisa.Chukulia ajali kazini
Kweli kabisa nimeamini.tatizo la huku asilimia zaidi ya 90 ya id ni feki

Sawa mkuu kila la kheri!ebu ngoja na mm nitafute picha nzur nzur nitongoze kama nikipata mitusi nitarudisha feedback....bye
Nimeamini mitandao sio sehemu sahihi ya kutongozea.Ndo utulie sasa, na siku nyingine uwe unatongoza mtu unaeonana nae ana kwa ana, kutongoza kwa mitandao ya kijamii utakuja pigwa changa la macho
ukiona kimya ujue kimeeleweka uko... no mitusiSawa mkuu kila la kheri!
Yaani pasingetosha hapo ndani, ilikuwa ni balaa.Hahahahahaahahahahhahahahahaa sasa imagin angekukubalia alaf day ya kudate unakuta anacho ulicho kua nachoooo maaaninaaa![]()
Sawaukiona kimya ujue kimeeleweka uko... no mitusi
Hahaha umeona avatar jamaa anajiita MHUNI?Jamani hakuna mahari maalumu pakumuona umpendae. Pia hakuna mahali maalumu palipo ainishwa pakuanzishia mausiano, bali sehemu na namna yoyote inaweza faa kuanzisha mausiano ilimradi tu umemuona umpendae.
Hivi karibuni niliona picha (profile picture) ya msichana mrembo katika akaunti ya mmoja kati ya watu waliomo humu JF. Kiukweli ile picha ilinivutia sana, hivyo nikaona ni vyema nimtafute uyo dada ili nimueleze yangu ya moyoni.
Cha kustajabisha niliambulia matusi makubwa makubwa huku akiniuliza kwa lugha ya ukali "We bwege nani kakuambia mimi ni mwanamke? au umetumwa kunifatilia?", "unikom.. mimi ni mwanaume.. sio mwanamke kama unavyofikiria"
Baada ya majibu hayo nilielewa kuwa kumbe ni mwanaume ila ameweka picha ya msichana. Nilimjibu kwa kumuambia picha ulioweka ndio iliosababisha nijue wewe ni mwanamke. Lakini sikuishia hapo nilimuomba samahani!
Jamani katika hilo mimi ninakosa gani mpaka nitukanwe kiasi hicho?
Kwani kutongoza ni uhuni mkuu?Hahaha umeona avatar jamaa anajiita MHUNI?
Nenda taratibu mkuu
Hujanielewa, kuna member hapa jf anajiita MHUNI na avatar yake ameweka picha ya bintiKwani kutongoza ni uhuni mkuu?
Duh! huyo nae ni nomaa sana.Hujanielewa, kuna member hapa jf anajiita MHUNI na avatar yake ameweka picha ya binti
Teh teh teh teh tehHuyo atakuwa amehisi kuwa keshakukubalia na upo tayari unampumulia kisogoni ndio amestuka ghafla na kuanza kukuporomoshea Matusi...
Umezidii khaaa kisa picha? Wee kibokooooJamani hakuna mahari maalumu pakumuona umpendae. Pia hakuna mahali maalumu palipo ainishwa pakuanzishia mausiano, bali sehemu na namna yoyote inaweza faa kuanzisha mausiano ilimradi tu umemuona umpendae.