Kanitukana sana kisa nimemtongozea JF

Kanitukana sana kisa nimemtongozea JF

Hivi utawekaje picha ya KE ili hali we ME? Unaficha nini uhalisia wako then ukiombwa unaleta ukali so what ndooroboo we mkuu mlete tumchane live aache ujinga
 
Hivi utawekaje picha ya KE ili hali we ME? Unaficha nini uhalisia wako then ukiombwa unaleta ukali so what ndooroboo we mkuu mlete tumchane live aache ujinga
Huyo atakuwa ni bwabwa mkuu hivyo huenda anatamani angezaliwa mwanamke
 
Tambua kuwa c kila pcha humu inaoneasha ndiye muhucka, kuna watu wameweka ndg zao, wake zao... Nk. But infact hii mitandao ya kijamii c salama sana kumpata umpendaye.
 
Dalili za ushoga hiyo, dume kwanini ujimimic demu?
 
Achana naye atakuwa bonge la mjinga hajastarabika hata chembe potezea wala usimwaze kabisa.
 
Huna kosa, huyo atakuwa shoga ungemwambia vizuri angekubali tu....!
 
hata mimi wakati namtokea huyu niliyenae hapa hapa jukwaani nilikutana na seleka kama lako. Lakini nilivyomkazia na kuwa king'ang'anizi amekubali na mpaka leo tunasongesha life
 
Jamani hakuna mahari maalumu pakumuona umpendae. Pia hakuna mahali maalumu palipo ainishwa pakuanzishia mausiano, bali sehemu na namna yoyote inaweza faa kuanzisha mausiano ilimradi tu umemuona umpendae.

Hivi karibuni niliona picha (profile picture) ya msichana mrembo katika akaunti ya mmoja kati ya watu waliomo humu JF. Kiukweli ile picha ilinivutia sana, hivyo nikaona ni vyema nimtafute uyo dada ili nimueleze yangu ya moyoni.

Cha kustajabisha niliambulia matusi makubwa makubwa huku akiniuliza kwa lugha ya ukali "We bwege nani kakuambia mimi ni mwanamke? au umetumwa kunifatilia?", "unikom.. mimi ni mwanaume.. sio mwanamke kama unavyofikiria"

Baada ya majibu hayo nilielewa kuwa kumbe ni mwanaume ila ameweka picha ya msichana. Nilimjibu kwa kumuambia picha ulioweka ndio iliosababisha nijue wewe ni mwanamke. Lakini sikuishia hapo nilimuomba samahani!

Jamani katika hilo mimi ninakosa gani mpaka nitukanwe kiasi hicho?
Msamehe bure, mwache aendelee kutongozwa ataiondoa hiyo picha mwenyewe.
 
Mkuu,kumbuka kila mtu humu JF amelelewa na malezi yake sasa usitegeme sana positive response kutoka kwa wengine,
Na hayo matusi usidhani anakutukana wewe anatukana maisha yake na kukujulisha kua hana peace of mind...
Hana ugomvi na wewe hata kidogo anaugomnvii na maisha yake,msamehe bure na usijibishane nae..
Wewe nae mbona nikikujia PM wala hujibu? au ndo walewale mandevu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom