King Mculture
Member
- Aug 31, 2013
- 98
- 15
Wewe uko dunia gani,hata biblia huijui soma kama Yesu hakutumia upanga
Luke 22
36 Naye akawaambia,"Lakini sasa,yule aliye na mfuko wa fedha auchukue;na aliye na mkoba ,hali kadhalika.Na yoyote asiye naupanga auze koti lake anunue mmoja.
38 Nao wakasema ,"Bwana,tazama;hapa kuna panga mbili."Naye akasema,"Basi"
49 Wale wanafunzi wake walipoona hayo,wakasema,"Bwana,tutumie panga zetu?"
50 Na mmoja wao akampiga upanga mtumishi wa Kuhani mkuu,akamkata sikio lake kulia.
malizia, kisha Yesu akaliunga sikio. Maana yake hataki ugomvi