Kanisa lingine lachomwa moto Vingunguti

Kanisa lingine lachomwa moto Vingunguti

Status
Not open for further replies.
Wewe uko dunia gani,hata biblia huijui soma kama Yesu hakutumia upanga
Luke 22
36 Naye akawaambia,"Lakini sasa,yule aliye na mfuko wa fedha auchukue;na aliye na mkoba ,hali kadhalika.Na yoyote asiye naupanga auze koti lake anunue mmoja.
38 Nao wakasema ,"Bwana,tazama;hapa kuna panga mbili."Naye akasema,"Basi"
49 Wale wanafunzi wake walipoona hayo,wakasema,"Bwana,tutumie panga zetu?"
50 Na mmoja wao akampiga upanga mtumishi wa Kuhani mkuu,akamkata sikio lake kulia.

teh teh!!!!
 
wakristo sisi hatumpiganii kristo, kristo ndie anaetupigania, haina haja ya kuanza kuchoma misikiti, Yesu atakutana nao!

Well said. Mungu wetu haitaji watu wampiganie kwani yeye ni muweza wa yote. Angalia signature yangu. Nashangaa Mungu wa upande ule eti hawezi kujitetea mwenyewe, hii ni kali ya karne. Yesu ni mchungaji mwema.
 
mkuu hapo hajadhihakiwa mungu.al akhy alichofanya ni kukufaanya uchekeche kichwa chako.hivi kweli mungu anaweza kuvaa nepi.

mimi nivae nepi na mungu avae nepi.tena na chooni anaenda.damn it
mungu ametakasika na huo udwanzi.

mungu hafanani na chochote kile.we umepotea xana unaabudu mtu.huo ni ushirikina mkubwa

eeh mola mtazame mja wako huyu akutambui wewe.amemgeuza mja wako kuwa mungu wake.

Hatuwezi kuchekesha watu kwa kumdhihaki Mungu. Neno liko wazi kuwa Mungu hadhihakiwi. Huyu Chamviga post zake zote ni za dhihaka kwa Mungu. Anaweza kudhihaki atakavyo when it comes to politics but he must know where to draw the line when it comes to the Living God our Creator.
 
Huyu anayejiita Chamviga post zake zote ni za dhihaka. Nimemtahadharisha na kisha nikamwombea. Neno la Mungu halibadiliki. Huyu anafanya haya akiwa na akili timamu. Anaweza kumwaga matusi anavyotaka when it comes to politics but he should know where to draw the line when it comes to the Living God. Mungu hadhihakiwi. Full stop.
unadhani vitisho mnavyopeana kwenye imani zenu ili kumaitain dispiline inafanya kazi hadi na kwa wengine?
 
mkuu hapo hajadhihakiwa mungu.al akhy alichofanya ni kukufaanya uchekeche kichwa chako.hivi kweli mungu anaweza kuvaa nepi.

mimi nivae nepi na mungu avae nepi.tena na chooni anaenda.damn it
mungu ametakasika na huo udwanzi.

mungu hafanani na chochote kile.we umepotea xana unaabudu mtu.huo ni ushirikina mkubwa

eeh mola mtazame mja wako huyu akutambui wewe.amemgeuza mja wako kuwa mungu wake.

hekima ya kibinadamu kwa Mungu ni upuuzi na upepo mtupu. Akili yko ni ndogo sana kuweza kuutambua ukuu wa Mungu.
 
Najua uko gizani, na sikulaumu kwa sababu haujawahi kufikiria logic za Yesu. Naona mnafurahia logic za jamaa yenu alieua watu na koua wake zao. Pia akaoa mke wa mtoto wake wa kufikia. Kama unge tune mind yako angalau kwa masaa 24 ukakubali kumuelewa Yesu ungejua kwanini ulichelewa

Hivi yesu alikua mwanaume au mwanamke?
 
Nilikua na sikiliza BBC Swahili muda si mrefu kuja na aliejiunga na alshabaab bila kujua alikua anaeleza!! Alibadili dini na kuanza kusoma ili aujue uislamu wakampeleka Somalia amejifunza hadi ugaidi na ahadi kibao kua akifa anakwenda mbinguni Kama shahidi! Na kua family yake italipwa vzr!! Sasa Yale mafunzo Ndio yalimtisha alikua anaanmbiwa uislam ni mzuri unaraha sasa zile raha Hakuna zaidi ya mafunzo ya kuua watu dogo kwa msaada wa mzee mwingine akatoroka kurudi Kenya!! Waislam muogopeni Mungu kuua watu wasio na hatia Ndio pepo huyo Mungu wenu a nashangaa!!

mbona huongelei ushaga ndani ya kanisa la ANGLIKANA ...BBC walikuwa na mada hiyyo pia
 
si ajabu kwetu mtume aliitwa mwendawazimu,mtunga mashairi.unaiga maneno ya waliokufuru kabla yako.hizo kufuru tushaambiwa kitambo xana ndani ya kitabu kitakatifu quraan

tupe mapya ambayo hayamo kwenye quraan.hizo kufuru tushaambiwa.

Mkuu kufuru yangu iko wapi?, mimi nimeandika yaliyo kwenye Quaran, kama hiyo ni kufuru basi kitabu chenyewe ndiyo kinakufuru. Mtu anaekufuru ni yule anaemsingizia mtume, lakini hayo yamo kwenye kitabu kilichodondoka kutoka Allah mwenyewe

Usiseme nakufulu, nenda ukasome kama ni uongo ndiyo úseme nakufuru au nenda ukayafute kwenye Quaran. Usiwe mvivu wa kusoma. Tatizo mmefichwa mno kwa kuambiwa eti hicho kitabu hakitafriwi as if mkifanya hivyo mtapotez original copy. Lazima muwekwe wazi, sisi bible inauzwa hadi barabarani,ipo guest house ukitaka hadi chooni unaletewa, imetafsiriwa hadi kwa kimasai maana hakuna cha kuficha humo. Mwanzoni tulikuwa hatuwajui lakini sasa hivi tunaanza kuwanaujua.

Mnatumia muda mwingi kwenye ibada zenu kujadili kama Yesu ni Mungu au si Mungu badala ya kujadili matendo hatari yaliyofanywa na mtume wenu wakati wa kueneza imani yake, na baada ya hapo sasa mjiulize kama kweli yeyé ni mtume au siyo!

Hahaha, kwa njia ya utandawazi kila kitu tutakijua, mlificha siku nyingi na kutumia mwanya huo kutu challange. Huwa tunawatazama tu kwenye mihadhara yenu mkiwa na vipedo mnavyo angaika kum classify Yesu maana kuzaliwa kwake, kuondoka kwake, miujiza yake inawachanganya. Mkidhani hatuujui uchafu wenu
 
Hatuwezi kuchekesha watu kwa kumdhihaki Mungu. Neno liko wazi kuwa Mungu hadhihakiwi. Huyu Chamviga post zake zote ni za dhihaka kwa Mungu. Anaweza kudhihaki atakavyo when it comes to politics but he must know where to draw the line when it comes to the Living God our Creator.

Waambie mkuu, kama mungu aliwatokea wanadamu akwa katika hali ya moto atashindwaje kujifanya mwanadamu ili apate muda mwingi wa kukaa nao akawafundisha? Ya Mungu ana majabu makubwa
 
Mkuu kufuru yangu iko wapi?, mimi nimeandika yaliyo kwenye Quaran, kama hiyo ni kufuru basi kitabu chenyewe ndiyo kinakufuru. Mtu anaekufuru ni yule anaemsingizia mtume, lakini hayo yamo kwenye kitabu kilichodondoka kutoka Allah mwenyewe

Usiseme nakufulu, nenda ukasome kama ni uongo ndiyo úseme nakufuru au nenda ukayafute kwenye Quaran. Usiwe mvivu wa kusoma. Tatizo mmefichwa mno kwa kuambiwa eti hicho kitabu hakitafriwi as if mkifanya hivyo mtapotez original copy. Lazima muwekwe wazi, sisi bible inauzwa hadi barabarani,ipo guest house ukitaka hadi chooni unaletewa, imetafsiriwa hadi kwa kimasai maana hakuna cha kuficha humo. Mwanzoni tulikuwa hatuwajui lakini sasa hivi tunaanza kuwanaujua.

Mnatumia muda mwingi kwenye ibada zenu kujadili kama Yesu ni Mungu au si Mungu badala ya kujadili matendo hatari yaliyofanywa na mtume wenu wakati wa kueneza imani yake, na baada ya hapo sasa mjiulize kama kweli yeyé ni mtume au siyo!

Hahaha, kwa njia ya utandawazi kila kitu tutakijua, mlificha siku nyingi na kutumia mwanya huo kutu challange. Huwa tunawatazama tu kwenye mihadhara yenu mnavyo angaika kum classify Yesu maana kuzaliwa kwake, kuondoka kwake, miujiza yake inawachanganya. Mkidhani hatuujui uchafu wenu
wanaochallenge na kubomoa ukristo ni wakristo wenzenu.
 
Waambie mkuu, kama mungu aliwatokea wanadamu akwa katika hali ya moto atashindwaje kujifanya mwanadamu ili apate muda mwingi wa kukaa nao akawafundisha? Ya Mungu ana majabu makubwa
mungu ajifanye mwanadamu ili iweje?Tangu lini mungu kaanza maigizo kama ya kaole?
 
Roho ya Shetani iliyoko ndani mwako ndiyo inayokupa ujasiri wa kishetani wa kumdhihaki Mungu aliyeumba mbingu na nchi. Laiti ungelijua yaliyoko mbele yako ungetubia uovu huu kabla hazijaja siku zilizo mbaya kwako. Unaweza kudhihaki na kutukana unavyotaka ukidhani unawafurahisha watu. Sawa. Unajiona mjanja. Sawa. Kumbuka Mungu hadhihakiwi na kila mtu atavuna apandacho. Naomba rehema ya Mungu iwe juu yako.

Kama yule aliyedhalilishwa kwa kupigiwa misumali ni Mungu, yule aliyedhalilishwa na kuveshwa kinepi ni Mungu, kama yule aliyepigana na mwanadamu mpaka asubuh akaomba game iahirishwe ni Mungu! Basi mimi w sio mja wake wala hajaniumba mimi hata kidogo. Mungu wangu mimi ni muweza kwa kila kitu, hafi wala hajazaliwa, hali wala kujisaidia, halali wala hapatwi na usingizi, aliyeumba mbingu na ardhi na vilivyomo kati yake.
 
Tuwe makini sana na mambo haya ndugu zangu amani ya Tanzania wengi wanaikilia ss hawa wachache wasituharibie tukawa kama libya na kwingineko ambako amani ilikwishatoweka na kwenda zake.
 
Hahahaha, mtachoma makanisa, sijui mtaua wakristu wote kama ilivyotokea uarabuni?, lakini mkiwamaliza wote mtaanza kuuana wenyewe kwa wenyewe kwa kuulizana wewe MSHIA kafri wewe, wengine wewe MSUNI kafri wewe. Sasa hivi tunashuhudia WASUNI na WASHIA wanaripuana uharabuni (living bombs), hahaha mtaangaika sana mpaka pale ambapo mtapokea mafundisho ya upendo ya MFALME WA AMANI ( GREAT JESUS)
 
Well said. Mungu wetu haitaji watu wampiganie kwani yeye ni muweza wa yote. Angalia signature yangu. Nashangaa Mungu wa upande ule eti hawezi kujitetea mwenyewe, hii ni kali ya karne. Yesu ni mchungaji mwema.
Mungu wao ni dhaifu ndio maana wanamtetea!, sasa mtume badala ya kuombea watu wake eti watu ndio wanamuombea mtume apewe rehema na mungu!, wakati sisi tunaoamini Yesu ndie mwombezi wetu!!
 
  • Thanks
Reactions: mij
Mungu wao ni dhaifu ndio maana wanamtetea!, sasa mtume badala ya kuombea watu wake eti watu ndio wanamuombea mtume apewe rehema na mungu!, wakati sisi tunaoamini Yesu ndie mwombezi wetu!!
huyo yesu mwenyewe si ndo alianza kuishi kwa kujifichaficha kipindi wanamsaka wamkamate,alikua anaogopa nini kama yeye ndo mungu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom