Kanisa lingine lachomwa moto Vingunguti

Kanisa lingine lachomwa moto Vingunguti

Status
Not open for further replies.
mushi wa ufoo saro na hao wamasai ni binadamu kama sisi hawana utume wowote toka kwa Mungu hvyo hawana budi kubeba silaha kujilinda,Na mtume mohamed je?alikuwa anatangaza kitabu alichoshushiwa na Allah,sasa jambia la nin?neno linaenezwa kwa jambia?mbn yesu hakubeba?amakweli mswalieni mtume maana nae anakaangika kwa ujanja ujanja alioufanya duniani,hana tofauti na wajanja wengne kama kina kibwetere
Wewe uko dunia gani,hata biblia huijui soma kama Yesu hakutumia upanga
Luke 22
36 Naye akawaambia,"Lakini sasa,yule aliye na mfuko wa fedha auchukue;na aliye na mkoba ,hali kadhalika.Na yoyote asiye naupanga auze koti lake anunue mmoja.
38 Nao wakasema ,"Bwana,tazama;hapa kuna panga mbili."Naye akasema,"Basi"
49 Wale wanafunzi wake walipoona hayo,wakasema,"Bwana,tutumie panga zetu?"
50 Na mmoja wao akampiga upanga mtumishi wa Kuhani mkuu,akamkata sikio lake kulia.
 
walichoma kanisa mbagala wameachiwa kwa hiyo message iliyotapakaa ni kwamba its ok kuchima kanisa na ukichima hakuna kitachotokea hata ukikamatwa utaachiwa tu!!! huu ndio utawala wa sheria wa serikali ya 4

Wale wakristo waliochoma misikiti kule mbeya walifuatwa hata kushtakiwa?.
 
ni bora hao wanawake watu wazima wanaogegedwa kwa genye zao,kuliko wale maustadh wanaojaza mimba mabinti wa madrasa na kula iti vitoto ili tu wafanane na muhamad maana muhamad yeye na mabinti ilikuwa damu damu hata wa miaka 9 anamegwa tu.
Wewe hujui kama mimba ya Yesu ilitungwa wakati Mariya ana miaka 12?Sasa hapo jiulize alianza mabo hayo ana umri gani.
 
Kukaa kwako muda mrefu bila cha kufanya ndo ukaona hili linafaa ku-replace u-jobless wako?Ama kweli Idle man is the house of devil.
Khaa! wewe vipi? Kwani hujui mambo kama haya ndiyo huwapa promo wanasiasa/wanaharakati matukio? Galagabaho :A S 39:
 
walichoma kanisa mbagala wameachiwa kwa hiyo message iliyotapakaa ni kwamba its ok kuchima kanisa na ukichima hakuna kitachotokea hata ukikamatwa utaachiwa tu!!! huu ndio utawala wa sheria wa serikali ya 4
suala hapa ni nani hasa ndo kachoma na kwanini kachoma na si kukurupuka kunyoshea watu vidole.
 
walichoma kanisa mbagala wameachiwa kwa hiyo message iliyotapakaa ni kwamba its ok kuchima kanisa na ukichima hakuna kitachotokea hata ukikamatwa utaachiwa tu!!! huu ndio utawala wa sheria wa serikali ya 4
Wewe kweli huna kitu kichwani,hivi wafikiri ukishatakiwa tu,nilazima uwe umetenda kosa,hata kama hakuna ushahidi wa kutosha.Tanzania inafuata utawala wa kisheria,utawala bora.Kama wewe ungekuwa na ushahidi ungepeleka ili watiwe hatiani.Umekaa pembeni huna ushahidi wajiropokea tu.Wewe je mtu akikumata na kukupeleka mahakamani akisema umemuibia,ufungwe tu,bila kuwa na ushahidi?
 
Ukilisoma hilo andiko utaona kuwa huruhusiwi kuacha na kuoa tena lkn hakuna sehemu imekataza KUONGEZA MKE!

Halafu juu ya yote Huu ndio ktk ile michakachuo ya biblia!

We unataka kusema mkeo akiwa hagegedwi lkn ana chezea tu nanihii za njemba wengine! Au anabwia unga kama nyoka! Au analipwa kukata mauno bila kabati! Yoote hayo ayafanye na kumuacha huruhusiwi?

Na wewe na Kakende kako unakubali kuwa haya ni maneno ya mungu??

Ndio maana wale wachungwaji huwa wanawaambia wanakondoo kuwa " ukitaka kusamehewa madhambi basi lazima ugegedwe na mchungwaji"
Na maskini mwanakondoo anainama kwa upoole kabisa!

mchungwaji Akimaliza njenje zake anamwambia " na kesho uje tumalizie hayo madhambi. Ili tuyafute kabisa!

Teh teh teh teh!

Aisee mi kama ni mgalatia basi mke wangu ni marufuku kwenda kanisani just incase mchungaji asije kumsamehe madhambi!!

Teh teh teh teh!

Najua uko gizani, na sikulaumu kwa sababu haujawahi kufikiria logic za Yesu. Naona mnafurahia logic za jamaa yenu alieua watu na koua wake zao. Pia akaoa mke wa mtoto wake wa kufikia. Kama unge tune mind yako angalau kwa masaa 24 ukakubali kumuelewa Yesu ungejua kwanini ulichelewa
 
Inasikitisha sana.. Haya mambo inabidi serikali iwe makini na strict sana..otherwise tunatengeneza bomu ambalo likilipuka litakuwa na madhara yasiyozuilika.. Hatutaki tena kusikia habari za "watu watasakwa na kuchukuliwa hatua za kisheria" ilihali hatuoni action za kukomesha kabisa hii hali.. Inatakiwa watu wasakwe, wakamatwe na adhabu zao ziwe kali hadi wakasimuliane wenyewe...

Madhara ya vitu kama hivi ni kutokea kwa minong'ono ambayo inaweza kuwa-mislead wananchi juu ya nani kafanya haya yote... Minong'ono hii matokeo yake si mazuri as inaweza jenga chuki baina ya wananchi...

Please serikali; ongezeni ukali kwa hawa wahuni wanaochoma nyumba za ibada..
kwa hili Ben tutamkumbuka!!
 
Mkuu acha kuongopea watu bibilia inaposema mwanamke ina maanisha mwanamke na wala sio kanisa, kwa uelewa wenu mdogo wa bibilia ndio maana hata Yesu mnamwita Mungu!!

Basi imejiongopea yenyewe. Ukisoma Ufunuo utaona inaongelea habari ya nyoka mwenye ndimi saba, kila ulimi ukiwaka moto etc,. Sasa kwa akili yako unadhani ni Nyoka kweli?,pia kuna sehemu anasema jiwe walilolikataa washi sasa limekuwa jiwe la msingi, ukiwe goigoi hapo utajua ni jiwe la kawaida, yako mafubo mengi. Ni vigumu kuelewa maana umefichwa. Najua wewe ukisoma ufunuo hakuna hata moja utaambulia, utabakia kusema mwanakondoo kaoa, hata neno Mwanakondoo ni fumbo lakini nashangaa umefanikiwa kutafsiri kuwa wanamaanisha Yesu
 
Sasa we Kakende mbona muongo namna hii??
Hapo juu unatwambia Yesu akitaja mke (wife au wives) ana maana ya kanisa!!

Sasa hebu soma huu mstari hapa chini halafu kila penye mke weka neno KANISA uone sarakasi za ajabu!!

‘For this reason a man will leave his father and mother and be united to his wife,(CHURCH) and the two will become one flesh'[SUP][b][/SUP]? [SUP]6 [/SUP]So they are no longer two, but one flesh. Therefore what God has joined together, let no one separate."
[SUP]7 [/SUP]"Why then," they asked, "did Moses command that a man give his wife(CHURCH) a certificate of divorce and send her away?"
[SUP]8 [/SUP]Jesus replied, "Moses permitted you to divorce your wives(CHURCHES) because your hearts were hard. But it was not this way from the beginning. [SUP]9 [/SUP]I tell you that anyone who divorces his wife, (CHURCH) except for sexual immorality, and marries another woman commits adultery."

teh teh teh teh!
Yaani moses aliruhusu kulipa talaka KANISA?

Aisee mtatuua kwa uongo!!

Teh teh teh teh!

Nenda ukasome kwa umakini. Moja kati ya sifa ya bible ni mafumbo. Ndiyo maana hata wakristu wamegawanyika kimadhehebu kwa kushindwa kuielewa. Ukisoma huo ufunuo utaona kuwa mke aneongelewa hapo ni kanisa, na pia si kanisa bali ni wale wote waliofanya mema duniani na kuhepuka dhambi. Nina uhakika wewe ukienda kusoma ufunuo utachanganyikiwa na kushindwa kujua ulianzia wapi. Maneno ya bible hayachukuliwi direct ki hivyo. Ndiyo maana wakatholic huwezi kuubiri watu kama hujapiga degree za theolojia, wakati mwingine kuielewa bible inabidi uisome kwa lugha mama (Kiebrania). Ndiyo maana Yesu anapomuita Mungu baba, wajinga ufikiria kuwa ni ule ubaba wa kingono, la asha hapo Mungu ni baba yake Yesu Kiroho na Si Kimwili. Najua ni vigumu kuelewa kwa sababu tayari mmefunga mioyo yenu
 
mushi wa ufoo saro na hao wamasai ni binadamu kama sisi hawana utume wowote toka kwa Mungu hvyo hawana budi kubeba silaha kujilinda,Na mtume mohamed je?alikuwa anatangaza kitabu alichoshushiwa na Allah,sasa jambia la nin?neno linaenezwa kwa jambia?mbn yesu hakubeba?amakweli mswalieni mtume maana nae anakaangika kwa ujanja ujanja alioufanya duniani,hana tofauti na wajanja wengne kama kina kibwetere

YESU NAE ALIBEBA JAMBIA

Matthew 10:34 -

Jesus said "I did not come to
bring peace, but a sword."
 
Basi imejiongopea yenyewe. Ukisoma Ufunuo utaona inaongelea habari ya nyoka mwenye ndimi saba, kila ulimi ukiwaka moto etc,. Sasa kwa akili yako unadhani ni Nyoka kweli?,pia kuna sehemu anasema jiwe walilolikataa washi sasa limekuwa jiwe la msingi, ukiwe goigoi hapo utajua ni jiwe la kawaida, yako mafubo mengi. Ni vigumu kuelewa maana umefichwa. Najua wewe ukisoma ufunuo hakuna hata moja utaambulia, utabakia kusema mwanakondoo kaoa, hata neno Mwanakondoo ni fumbo lakini nashangaa umefanikiwa kutafsiri kuwa wanamaanisha Yesu

Kama bibilia haieleweki mbona kazi ipo! Kwahiyo kilichoandikwa sio kinamaanishwa sasa unasemaje tukisema Issac sio mtoto wa I Ibrahim maana bibilia imeandika mtoto wa Ibrahim sisi tuseme mwana wa farao au sio! Na huyo nyoka tumwite samaki(kibua) ili tumle au sio, aliyekufa msalabani tumwite petro unaonaje,ilo jiwe tuite bunduki ili tuue waislam ama vipi..Tukiitafisri bibilia kwakila mmoja ajuavyo tutafika kweli.
 
Nenda ukasome kwa umakini. Moja kati ya sifa ya bible ni mafumbo. Ndiyo maana hata wakristu wamegawanyika kimadhehebu kwa kushindwa kuielewa. Ukisoma huo ufunuo utaona kuwa mke aneongelewa hapo ni kanisa, na pia si kanisa bali ni wale wote waliofanya mema duniani na kuhepuka dhambi. Nina uhakika wewe ukienda kusoma ufunuo utachanganyikiwa na kushindwa kujua ulianzia wapi. Maneno ya bible hayachukuliwi direct ki hivyo. Ndiyo maana wakatholic huwezi kuubiri watu kama hujapiga degree za theolojia, wakati mwingine kuielewa bible inabidi uisome kwa lugha mama (Kiebrania). Ndiyo maana Yesu anapomuita Mungu baba, wajinga ufikiria kuwa ni ule ubaba wa kingono, la asha hapo Mungu ni baba yake Yesu Kiroho na Si Kimwili. Najua ni vigumu kuelewa kwa sababu tayari mmefunga mioyo yenu

Duuh! Mpaka uwe na degree? Sasa wale wasio na degree ni wakimbiza upepo tu, sasa ndio napata picha kwanini siku hizi vikundi vya kwaya vimeongezeka kwasababu watu hawana degree ya bibilia wanaona bora wamuabudu Yesu kwa miziki, ha ha haa eti disco la Mungu!!
 
Nenda ukasome kwa umakini. Moja kati ya sifa ya bible ni mafumbo. Ndiyo maana hata wakristu wamegawanyika kimadhehebu kwa kushindwa kuielewa. Ukisoma huo ufunuo utaona kuwa mke aneongelewa hapo ni kanisa, na pia si kanisa bali ni wale wote waliofanya mema duniani na kuhepuka dhambi. Nina uhakika wewe ukienda kusoma ufunuo utachanganyikiwa na kushindwa kujua ulianzia wapi. Maneno ya bible hayachukuliwi direct ki hivyo. Ndiyo maana wakatholic huwezi kuubiri watu kama hujapiga degree za theolojia, wakati mwingine kuielewa bible inabidi uisome kwa lugha mama (Kiebrania). Ndiyo maana Yesu anapomuita Mungu baba, wajinga ufikiria kuwa ni ule ubaba wa kingono, la asha hapo Mungu ni baba yake Yesu Kiroho na Si Kimwili. Najua ni vigumu kuelewa kwa sababu tayari mmefunga mioyo yenu

Sasa hebu kwa sasa tukubaliane na hilo lako kuwa MKE NI KANISA!
nakuuliza sasa!

Kwa KUTUMIA LUGHA HIO HIO YA KIMAFUMBO YA BIBLIA .tuchukulie BABA YAKO AMEJENGA KANISA ZUURI SANA NA WEWE NDIO UNAMUAGA SASA UNAENDA KANISANI!

Unaweza kumwambia baba yako mzazi" baba ee MKEO ZURI SANA!. NA MIMI NDIO NAMWENDEA HUKO NA LZM NIINGIE NDANI YA HUYO MKEO NA NTAKESHA NDANI YAKE LEO NIKIIMBA KWA FURAHA NA VIGEREGERE! NA NTAHAKIKISHA NAMPAMBA KWA KILA HALI! DUUUH BABA! MKEO SAFI SANA!

We unategemea huyo baba atakuacha salama!?
Teh teh teh teh !
Cc CHAMVIGA Kikwajuni one Elungata
 
Last edited by a moderator:
Kama bibilia haieleweki mbona kazi ipo! Kwahiyo kilichoandikwa sio kinamaanishwa sasa unasemaje tukisema Issac sio mtoto wa I Ibrahim maana bibilia imeandika mtoto wa Ibrahim sisi tuseme mwana wa farao au sio! Na huyo nyoka tumwite samaki(kibua) ili tumle au sio, aliyekufa msalabani tumwite petro unaonaje,ilo jiwe tuite bunduki ili tuue waislam ama vipi..Tukiitafisri bibilia kwakila mmoja ajuavyo tutafika kweli.

Teh teh teh teh!
Mkuu umenivunja mbavu huku!
Yaani biblia iliposema kuleni mkate ili maanisha Kinyesi cha mtoto!
Teh teh teh teh teh!
Jamaa wataniua kwa kucheka leo!
Eti biblia ni maneno ya mafumbo.

Sasa ina tofauti gani na TAARABU?
 
YESU NAE ALIBEBA JAMBIA

Matthew 10:34 -

Jesus said "I did not come to
bring peace, but a sword."

Hapo ndugu yangu Polite huyo Kakende anasema biblia ni lugha ya mafumbo kama vile taarabu!
Waliposema Yesu kaleta panga! Anasema walikuwa na maana ya mapenzi!
Kwa hiyo mkiristo akikwambia "aisee ntakupiga panga! Ana maana ATAKUPIGA BUSU!

Au akisema " leo nimetoka kufanya ngono! Ana maana katoka kuimba kwaya!

eee teh teh teh teh teh!

Haki ya mungu nimecheka mno leo!

Cc Tayeb
 
Last edited by a moderator:
Ajabu sana! Hivi kila kanisa likichomwa basi ni waislamu tu ndiyo tunahusika? Na makanisa yenu ya uchochoroni ambayo kila siku wachungaji/manabii wanafumaniwa guest house bado tu mnaamini adui yenu ni muislam? Poor you! Sijui hiyo elimu yenu mnayojivunia dhidi yetu inawasaidia kwa lipi sasa.
 
Basi imejiongopea yenyewe. Ukisoma Ufunuo utaona inaongelea habari ya nyoka mwenye ndimi saba, kila ulimi ukiwaka moto etc,. Sasa kwa akili yako unadhani ni Nyoka kweli?,pia kuna sehemu anasema jiwe walilolikataa washi sasa limekuwa jiwe la msingi, ukiwe goigoi hapo utajua ni jiwe la kawaida, yako mafubo mengi. Ni vigumu kuelewa maana umefichwa. Najua wewe ukisoma ufunuo hakuna hata moja utaambulia, utabakia kusema mwanakondoo kaoa, hata neno Mwanakondoo ni fumbo lakini nashangaa umefanikiwa kutafsiri kuwa wanamaanisha Yesu

Teh teh teh teh!

Kwa hio Mungu kaifanya biblia kama taarabu! Mafumbo juu ya mafumbo!
Na anaejua hayo mafumbo ni bingwa wa mafumbo kadinali pengo!

Basi huyo jamaa akisikiliza taarabu lzm askie raha sana!
Manake mipasho yoote anaijua!

Teh teh teh teh! Kwi kwi kwi kwi!

Hello mr 2013 help me out here! Kakende is killing me!!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom