Muke ya muarabu
Member
- Apr 5, 2012
- 83
- 23
mnajisumbua bure mwafrica hana dini hivi ni mtume au nabii gani alietumwa kwaajili ya waafrica? sisi tunajipendekeza kwa mambo tusiyoyajua kutokana na dhiki zetu tu hivi nyie mnaohangaika kujadili haya mjiulize ni nani kati yenu aliekuwa katika dini fulani kutokana na kuielewa dini ile? wote mtajikuta mnadini za kurithi yaani wewe ni muislam au mkristo kwasababu wazazi wako wapo kwenye dini hiyo, je uliuluza mzazi wako kwanini yupo kwenye dini hiyo? unaweza kuhangaika kumbe mzazi wako aliingia kwenye dini hiyo kwasababu za kimapenzi yaani alibadili kumfuata mke au mume na wala si imani au uelewa wa dini husika
una akili sana wewe