Ndugu, ee sikio la kufa, sikia hii dawa!!, CCM wakifanyiwa fujo kwenye mikutano yao, moja kwa moja huishutumu chadema maana mwana ccm hawezi fanya fujo kwenye mikutano ya ccm, Chadema nao ni hivyohvyo wataishutumu CCM, na hua kuna ukweli wa hizi shutuma, simba na yanga wakiwa wanacheza uwanjani na kwa bahati mbaya ikatokea washabiki wa Yanga wamefanyiwa vurugu, basi shutuma zoote watapewa simba, maana mshabiki wa yanga hawezi kufanya fujo kwa washabiki wa yanga wenzie,!! vivyohivo hata kwenye dini, kanisa limechomwa lazima kama sio shoti ya umeme basi ni waisilamu tu ndo watakua wamehusika, halikadhalika hata msikiti ukichomwa watakaolaumiwa ni wakristo tu! sasa nadhani utakua umeanza kunielewa, afu ngoja tu nikushauri ndugu yangu, hivi vitendo linalofanyiwa kanisa kwa muisilamu mwenye mapenzi mema hawezi kuvishabikia na badala yake atavilaani, lakini ninyi mmekua wa kwanza kutururudishia shutuma na kushabikia vitendo hivi!! anyways labda ni misingi ya dini yenu, lakini nakuambia hivi. sisi wakristo Mungu wetu yupo na anaona waja wake tunavyofanyiwa, na anajua atadeal vipi na watu kama ninyi. Sisi hua tunaomba tu, wala hatuingii mtaani!! he's a supreme being we dont fight for him like you guys do, He Fights for his people and nobody can stand his anger!!Sasa mbona mnalalamika si mkae kimya tu Yesu atawajibu. Halafu acheni kutengeneza filamu zenu za kitoto mmesikia mliowasingizia wamechoma moto kanisa mbagala wameachiwa mnataka kusingizia wengine kisa vingunguti kuna waislam wengi! Nyinyi vipi hivi tukiamua kama waislam tuchome kweli si yataisha haya majengo ya Paulo huku uswazi? Tuheshimiane tafuteni lingine tumechoka kutusingizia kila baya
huyo yesu mwenyewe si ndo alianza kuishi kwa kujifichaficha kipindi wanamsaka wamkamate,alikua anaogopa nini kama yeye ndo mungu!
Kama yule aliyedhalilishwa kwa kupigiwa misumali ni Mungu, yule aliyedhalilishwa na kuveshwa kinepi ni Mungu, kama yule aliyepigana na mwanadamu mpaka asubuh akaomba game iahirishwe ni Mungu! Basi sio mja wake hata kidogo. Mungu wangu mimi ni muweza kwa kila kitu, hafi wala hajazaliwa, hali wala kujisaidia, halali wala hapatwi na usingizi, aliyeumba mbingu na ardhi na vilivyomo kati yake.
Umesahau kumalizia kuwa; Mungu wangu ni mdhaifu lazima tumpiganie,ikibidi tuue kwa ajili ya dini yake
wewe ulimkuta?Yesu ni Mungu na kwake kila goti litapigwa!! wewe utabishaa na vijini vyako hivyo ila siku ukifa ndo utaenda kumkuta huko
Mungu wao ni dhaifu ndio maana wanamtetea!, sasa mtume badala ya kuombea watu wake eti watu ndio wanamuombea mtume apewe rehema na mungu!, wakati sisi tunaoamini Yesu ndie mwombezi wetu!!
hayo mambo ya magaidi.iran na saudia.fungua thread tuelimishane juu ya historia ya ugaidi na ulianzia wapi.ugaidi ni nini.
back to the topic.nani anayewaachia kutamba na kuwadekeza kuonyesha ujima wao wa fikra.
xo watu wasiexpress fikra zao wakikuogopa wewe utakasirika.
Nani dhaifu kati ya Mungu wangu na Mungu wako asiyeweza kujitetea mpaka anapigiwa misumali huku ameveshwa nepi?
ndo kusema maria alipata uwezo wa kuzaa toka kwa mungu na akamzaa mungu huyohuyo alomjaza mimba.Yesu ni Mungu na kwake kila goti litapigwa!! wewe utabishaa na vijini vyako hivyo ila siku ukifa ndo utaenda kumkuta huko
Nani dhaifu kati ya Mungu wangu na Mungu wako asiyeweza kujitetea mpaka anapigiwa misumali huku ameveshwa nepi?
ndo kusema maria alipata uwezo wa kuzaa toka kwa mungu na akamzaa mungu huyohuyo alomjaza mimba.
Sikushangai, hivi vitu ni vigumu sana kuelewa, hata nikikueleza haita make sense kwako!!ndo kusema maria alipata uwezo wa kuzaa toka kwa mungu na akamzaa mungu huyohuyo alomjaza mimba.
Huyo mungu wenu aliyevalishwa nepi na kutundikwa msalabani ndiye dhaifu.
Kabla ya kukujibu ilo swali twambie mtume wenu huyo mtoto wa miaka 9 alieoa alimuingiaje, alimbaka au? Mtoto hakupiga kelele kuomba msaada au?
wewe ulimkuta?
ni kutimiza maandiko, kuwa katika wote aliopewa hakupoteza hata mmoja
Mkuu kufuru yangu iko wapi?, mimi nimeandika yaliyo kwenye Quaran, kama hiyo ni kufuru basi kitabu chenyewe ndiyo kinakufuru. Mtu anaekufuru ni yule anaemsingizia mtume, lakini hayo yamo kwenye kitabu kilichodondoka kutoka Allah mwenyewe
Usiseme nakufulu, nenda ukasome kama ni uongo ndiyo úseme nakufuru au nenda ukayafute kwenye Quaran. Usiwe mvivu wa kusoma. Tatizo mmefichwa mno kwa kuambiwa eti hicho kitabu hakitafriwi as if mkifanya hivyo mtapotez original copy. Lazima muwekwe wazi, sisi bible inauzwa hadi barabarani,ipo guest house ukitaka hadi chooni unaletewa, imetafsiriwa hadi kwa kimasai maana hakuna cha kuficha humo. Mwanzoni tulikuwa hatuwajui lakini sasa hivi tunaanza kuwanaujua.
Mnatumia muda mwingi kwenye ibada zenu kujadili kama Yesu ni Mungu au si Mungu badala ya kujadili matendo hatari yaliyofanywa na mtume wenu wakati wa kueneza imani yake, na baada ya hapo sasa mjiulize kama kweli yeyé ni mtume au siyo!
Hahaha, kwa njia ya utandawazi kila kitu tutakijua, mlificha siku nyingi na kutumia mwanya huo kutu challange. Huwa tunawatazama tu kwenye mihadhara yenu mkiwa na vipedo mnavyo angaika kum classify Yesu maana kuzaliwa kwake, kuondoka kwake, miujiza yake inawachanganya. Mkidhani hatuujui uchafu wenu
Mungu dhaifu ni yule anaeelewa lugha moja tu ya kiarabu!, mungu ambaye anategemea watu wake wampiganie, mungu ambaye anaruhusu uuaji kwa ajili ya kueneza dini! huyo ndio Mungu dhaifu!!