Kanisa lingine lachomwa moto Vingunguti

Kanisa lingine lachomwa moto Vingunguti

Status
Not open for further replies.
Eeh! Kwahiyo Mungu wenu baadae ataoa? Haa haa haa wakristo mna vituko nyinyi

Mkuu UFUNUO ni moja ya vitabu vigumu. Mstari huo unafahamika. Mke wa mwana kondoo hapo ni Kanisa, tena kanisa la watakatifu, ikimaanisha urafiki kati ya watakatifu na Yesu. Bahati mbaya sina bible ya Kiswahili ya online, soma hapa chini uone series. Maneno ya bible si ya kutafsiri kama vile kijiweni. Hata wanafunzi wa Yesu walishindwa kuelewa mafumbo ya Yesu. Bible haina uchafu huo

lest sudden destruction shall come upon [you]" (D&C 133:14–15). In Revelation 17John sees Babylon, the symbol of Satan's power, spread across the earth. Then, "in one hour" (Revelation 18:19), he witnesses its destruction. Those who have partaken of her sins weep and lament her fall while the righteous rejoice (see vv. 11–24). John then sees the preparation for the long-awaited "marriage of the Lamb," for "his wife [the Church] hath made herself ready" (Revelation 19:7). The Lamb appears as the "King of Kings, and Lord of Lords"
 
ha ha ha ha mimi siwezi kuyafumbua.haya wewe unayekunywa damu ya yesu nifumbulie nielewe.ha ha ha ha ha

Mstari huo unafahamika. Mke wa mwana kondoo hapo ni Kanisa, tena kanisa la watakatifu, ikimaanisha urafiki kati ya watakatifu na Yesu. Bahati mbaya sina bible ya Kiswahili ya online, soma hapa chini uone series. Maneno ya bible si ya kutafsiri kama vile kijiweni. Hata wanafunzi wa Yesu walishindwa kuelewa mafumbo ya Yesu. Bible haina uchafu huo

lest sudden destruction shall come upon [you]“ (D&C 133:14–15). In Revelation 17John sees Babylon, the symbol of Satan’s power, spread across the earth. Then, “in one hour“ (Revelation 18:19), he witnesses its destruction. Those who have partaken of her sins weep and lament her fall while the righteous rejoice (see vv. 11–24). John then sees the preparation for the long-awaited “marriage of the Lamb,” for “his wife [the Church] hath made herself ready” (Revelation 19:7). The Lamb appears as the “King of Kings, and Lord of Lords”
 
Nchi hii kwa unafiki haijambo, watu wanajadili kama wachomaji hawajulikani. Umefika wakati kuwaambia Imetosha, wakristo amkeni na chukueni hatua la sivyo mtageuzwa uwanja wa mazoezi na kupatia thawabu.
 
Kuna watu wanajaribu kusoma Biblia kama wasomavyo maandiko mengine! No! no! no! no! Tafakuri kwanza... Ile siyo paper!
 
Mstari huo unafahamika. Mke wa mwana kondoo hapo ni Kanisa, tena kanisa la watakatifu, ikimaanisha urafiki kati ya watakatifu na Yesu. Bahati mbaya sina bible ya Kiswahili ya online, soma hapa chini uone series. Maneno ya bible si ya kutafsiri kama vile kijiweni. Hata wanafunzi wa Yesu walishindwa kuelewa mafumbo ya Yesu. Bible haina uchafu huo

lest sudden destruction shall come upon [you]“ (D&C 133:14–15). In Revelation 17John sees Babylon, the symbol of Satan’s power, spread across the earth. Then, “in one hour“ (Revelation 18:19), he witnesses its destruction. Those who have partaken of her sins weep and lament her fall while the righteous rejoice (see vv. 11–24). John then sees the preparation for the long-awaited “marriage of the Lamb,” for “his wife [the Church] hath made herself ready” (Revelation 19:7). The Lamb appears as the “King of Kings, and Lord of Lords”

kumbee!kwaiyo yesu ni jinsia gani???
 
Watawatenga na masinagogi; naam,saa yaja atakapodhania kila mtu awauwaye ya kuwa amemtolea Mungu ibada; na hayo watawatenda kwa kuwa hawakumjua Baba wala mimi; Lakini nimewaambia hayo ili makusudi saa ile, itakapokuja myakumbuke ya kuwa mimi niliwambia. Yohana 16:1-4

KIla kitu ki ndani ya Biblia...!
 
Kuna watu wanajaribu kusoma Biblia kama wasomavyo maandiko mengine! No! no! no! no! Tafakuri kwanza... Ile siyo paper!
Basi ni dini ya watu maalumu tu,ikiwa wengine hawaelewi maandiko wengine wanaelewa,ni dini ya ubaguzi.
 
Wale waprotestan na wakatoliki wanaouwana kule Ireland ya Kaskazini,na wale Lord Resistence Army kina Koseph Kony,na Wale wa Sudan ya kusini,wanaouwa watu wasio na hatia walifundishwa na nani,wacha kichwa maji.Akili ni nyele kila mtu ana zake.

Unazungumzia historia ya Ireland!? Kama wangekua wanauana mbona waislam wamejazana huko kuomba hifadhi?! Kony ni muharifu na Ndio maana anasakwa na kwenye bible haturuhusiwi kutoa roho ya binadamu mwenzio ila nyie Ruksa kuua!! Jiulize mwenyewe kipi rahisi kwako kuishi kwenye nchi za kikristo au kuishi kwenye nchi za kiislam!? Badilisheni mtazamo wenu juu ya mauaji hao mahuruleini mnaodanganyiwa huko hawapo!!
 
Teh teh teh!
Chimbula wa mbulula!
Hili jinaaa au mitishamba!
Teh teh teh teh!

Don't hate the game boy! Hate the player!

Sisi tunakujueni sana hii michezo yenu ya kuchoma makanisa!
Mbona hatusikii temples za wahindi au za wale bahai! Au za singa singa! Au miskiti!
Basi huo moto na wenyewe unatafuta damu ya bwana au yake madhabahu!?

Nyie watu wabaya sana! Mnakula hizo hela za michango halafu mnachoma ili muongezwe!
Teh teh teh teh! Galatians wana utapeli wa kizamaaani!

Mchome ya wahindu au wabahai kwani ni tishio kwenu?mnahangaika na hawa hawa mnaowaita wagalatia maana ndo mpo nao mitaani uswahilini kwenu na wamewazidi kwa mbali saaaana,so kuwaonea wivu ni muhimu..kwanza hatushangai ninyi kuwa na roho mbaya maana hata maandiko yenu na roho zenu zinafanana
 
Unazungumzia historia ya Ireland!? Kama wangekua wanauana mbona waislam wamejazana huko kuomba hifadhi?! Kony ni muharifu na Ndio maana anasakwa na kwenye bible haturuhusiwi kutoa roho ya binadamu mwenzio ila nyie Ruksa kuua!! Jiulize mwenyewe kipi rahisi kwako kuishi kwenye nchi za kikristo au kuishi kwenye nchi za kiislam!? Badilisheni mtazamo wenu juu ya mauaji hao mahuruleini mnaodanganyiwa huko hawapo mtamkuta na kiongozi wenu anataabika na moto wa milele maana amewaachia roho chafu! Roho mpenda damu! Hapo ulipo unatamani hata unitupie Jini kwa kukueleza ukweli!! Mnawabadilisha watoto wa wenzenu akili ili mkawatumie kuua watu wasio na hatia mnaua hadi wakina mama wenye mimba Changa! Mnaita jihadi!! Nilikua uturuki kwenye ile museum kubwa ya kiislam nikaona jambia alilokua akitumia mtume wenu nikajiuliza na huyu aliua wangapi? Na kama alikua na jambia Ndio maana wafuasi wake hawawezi kuacha Kubeba maguruneti!! Hata mki choma makanisa ila Kristo yupo ndani yetu Ndio maana hatuna muda wa kulipa visasi!!

mkuu umemaliza kila kitu... Salutiiii! Yesu alhubiri amani, upendo; mwingine kaja kuhubiri chuki, na mauaji; LAKINI JAMBO ZURI NI KWAMBA HATA YEYE ALIEFANYA MAUJI NA KUENEZA CHUKI ANASUBIRI HATMA YAKE KULE KABURINI...
 
Watawatenga na masinagogi; naam,saa yaja atakapodhania kila mtu awauwaye ya kuwa amemtolea Mungu ibada; na hayo watawatenda kwa kuwa hawakumjua Baba wala mimi; Lakini nimewaambia hayo ili makusudi saa ile, itakapokuja myakumbuke ya kuwa mimi niliwambia. Yohana 16:1-4

KIla kitu ki ndani ya Biblia...!

Usaahihi ni
Watu watawatenga ninyi na masunagogi YAO.Tena wkati unakuja ambapo kila atakayewauwa ninyi (wanafunzi wa Yesu).Atadhani ANAMHUDUMIA MUNGU...
7 Lakini,nawaambieni ukweli:afadhali kwenu mimi niende zangu,MAANA NISIPOKWENDA MSAIDIZI HATAKUJA KWENU.LAKINI NIKIENDA ,BASI NITAMTUMA KWENU ...
29 Baso wanafunzi wake wakamwambia ,Aha!sasa unasema waziwazi bila kabisa bila kutumia mafumbo
wanaoambiwa ni wanafunzi wa Yesu ,sio wewe wala yule.Huna Roho Mtakatifu,kuweza kuelewa maandiko.
 
Wakuu haya maeneo ya Buguruni,Vingunguti na Kiwalani ni hatarishi kwa watu wenye imani tofauti na wavaa vipedo. Kama unaye ndugu yako anaishi maeneo haya,mshauri ahame haraka kwasababu Maboko haramu wanatembea mchana bila wasiwasi wowote! Kuna makundi ya jamaa kama Waarabu wana recruit watoto wadogo bila shaka kutumika ktk kazi za Ugaidi!
 
mkuu umemaliza kila kitu... Salutiiii! Yesu alhubiri amani, upendo; mwingine kaja kuhubiri chuki, na mauaji; LAKINI JAMBO ZURI NI KWAMBA HATA YEYE ALIEFANYA MAUJI NA KUENEZA CHUKI ANASUBIRI HATMA YAKE KULE KABURINI...

JESUS SAYS

Do not think that i have come to bring
peace on the earth, i did not come to bring
peace, but a sword.

anamalizia nimekuja kumfitini mtu na babaye na mamaye

Mathew 10:34-36
 
Kuna watu wanajaribu kusoma Biblia kama wasomavyo maandiko mengine! No! no! no! no! Tafakuri kwanza... Ile siyo paper!

NAWE TAFAKURI YAHA
l
Point No.1 - Bible says in Genesis Ch. No. 1
Verses No. 3 and 5,…‘Light was created on the
first day.’ Genesis, Ch., 1 Verses, 14 to 19…
‘The cause of light - stars and the sun, etc. was
created on the fourth day’. How can the cause
of light be created on the 4th day - later than
the light which came into existence on the first
day? - It is unscientific.

Point No.2- Further, the, Bible says Genesis,
Ch. 1, Verses 9 to 13… ‘Earth was created on
the 3rd day. How can you have a night and day
without the earth ? The day depends upon
the rotation of the Earth Without the earth
created, how can you have a night and day?

Point No..3 - Genesis, Ch. No. 1 Verses 9 to 13
says… ‘Earth was created on the third day.’
Genesis Ch. No. 1 Verses 14 to 19 says…‘The
Sun and the Moon were created on the fourth
day.’ Today science tells us… ‘Earth is part of
the parent body… the sun.’ It cannot come
into existence before the sun – It is
unscientific.

Point No. 4 The Bible says in Genesis, Ch.
No.1, Verse No. 11 to 13…‘The vegetation, the
herbs the shrubs, the trees - they were
created on the 3rd day And the Sun, Genesis,
Ch. No. 1, Verses. 14 to 19, was created on the
4th day. How can the vegetation come into
existence without sunlight, and how can they
survive without sunlight ?
 
Uturuki ulikuta jambia limewekwa ukutani au ju ya meza tu umeona nitatizo je haya majambia yaliopo viunoni mwa ndugu zetu wa kimasi huoni tatizi na hizi pisto wanazo beba kina mushi wa ufusaro na masawe alex na papaa msope sio tatizo acha kuropokwa ww pale kanisani azania front palikuwa na vibao vya matangzo vimeandikwa NIMARUFUKU WANAMAOMBI KUINGIA HUMMU kwanini wasiandike WAISLAM NIMARUFUKU KUINGIA HUMU. na usishangae uislam kuwa na hukumu ya kuuwa hata serikali za kidunia tu zinahukumu za kuuwa na zimekuja juzi tu uislam upo tokea nabii adam.na usifananishe nchi za kislam na zisizo kuwa za kiislam tofauti amani yake jiulize kwa hapa kwetu tu tz pima uhalifu wa mara na tanga uhalifu wa mbeya na lindi utapata jibu nenda kachukuwe takwimu za uhalifu kwa ma RPC wa hiyo mikoa utaona tafauti ya kuishi ktk nchi za kiislam na zisizo kuwa zakislam usikurupuke tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom