Meli ya mafuta yawaka moto Bandari ya Kigoma

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,124
Reaction score
7,184
Meli inayodaiwa kuwa ya kubeba mafuta imewaka moto katika Bandari ya Kigoma, iliyopo Manispaa ya Kigoma Ujiji Mkoani Kigoma.

Kwa mujibu wa taarifa za awali, moto huo umezuka usiku huu wa Agosti 28, 2026 katika eneo la bandari, huku Jeshi la Zimamoto na Uokoaji likiwa limefika eneo la tukio na kuendelea na jitihada za kuudhibiti na kuuzima.

Hadi sasa, chanzo cha moto huo pamoja na taarifa kuhusu madhara yaliyotokea bado havijawekwa wazi,

Hadi sasa, chanzo cha moto huo pamoja na taarifa kuhusu madhara yaliyotokea bado havijawekwa wazi, endelea kufuatilia kurasa za AyoTV kwa ajili ya taarifa zaidi.
 
Attachments

  • 1000020485.jpg
    1000020485.jpg
    12.1 KB · Views: 11
28 August 2026
Kigoma, Tanzania

MV PACIFIC, JESHI LA ZIMAMOTO LATOA TAARIFA KUTEKETEA KWA MELI, KIFO NA SHEHENA YA MAFUTA KUUNGUA

On August 28, 2026, a Congolese oil tanker named MV Pacific caught fire and was destroyed on Lake Tanganyika

View: https://m.youtube.com/watch?v=v2bhSYd__XU
Meli yaenye usajili wa Congo stater yake yatoa cheche, mamlaka zathibitisha, uwezo lita 160,000 ikipakia mafuta katika bandari ya Kigoma nchini Tanzania.

View: https://m.youtube.com/watch?v=84t-pSWh0aI

More info :
Baadhi ya meli zilizopo Lake Tanganyika mbali ya MV Liemba na MV Mwongozo zilizositisha kazi zikiendelea kufanyiwa ukarabati mkubwa, pia zipo meli 2 zinazofanya kazi ambazo ni :

1. MT Sangara, uwezo kubeba tani 350 sawa na lita 410,000

View: https://m.youtube.com/watch?v=LJGICKf_dYs

2. MV Teza imebuniwa na Chris Simopoulos & Associates ya Ugiriki, na kujengwa na Batralac katika mradi unaosimamiwa na Basil Demeris. Ni meli kamili ya makontena ambayo inaweza kupakia makontena 40 ya meli yenye uniti sawa ya futi ishirini (TEU), 26 ndani ya meli na 14 kwenye sitaha. Ina wafanyakazi crew 16. Ina uwezo wa kubeba hadi lita 77,000 ( imp gal 17,000 ; galoni 20,000 za Marekani ) za mafuta.
 
KUTOKA MAKTABA

23 Julai 2025

TOKA MAKTABA 23 Julai 2025 MELI ILIVYOLIPUKA BANDARINI KIGOMA

Jeshi la Zimamoto mkoani Kigoma lathibitisha moto bandarini Kigoma yatoa sababu ya moto

View: https://m.youtube.com/watch?v=2Ptf_x1r2a0

N.B
Mamlaka ya Bandari ya Kigoma inahitaji kumiliki vifaa na gari la zimamoto, ili kukabiliana na ajali za moto.
 
28 August 2026
Kigoma, Tanzania

MV PACIFIC, JESHI LA ZIMAMOTO LATOA TAARIFA KUTEKETEA KWA MELI, KIFO NA SHEHENA YA MAFUTA KUUNGUA

On August 28, 2026, a Congolese oil tanker named MV Pacific caught fire and was destroyed on Lake Tanganyika

View: https://m.youtube.com/watch?v=v2bhSYd__XU
Meli yaenye usajili wa Congo stater yake yatoa cheche, mamlaka zathibitisha, uwezo lita 160,000 ikipakia mafuta katika bandari ya Kigoma nchini Tanzania.

More info :
Baadhi ya meli zilizopo Lake Tanganyika mbali ya MV Liemba na MV Mwongozo zilizositisha kazi zikiendelea kufanyiwa ukarabati mkubwa, pia zipo meli 2 zinazofanya kazi ambazo ni :

1. MT Sangara, uwezo kubeba tani 350 sawa na lita 410,000

View: https://m.youtube.com/watch?v=LJGICKf_dYs

2. MV Teza imebuniwa na Chris Simopoulos & Associates ya Ugiriki, na kujengwa na Batralac katika mradi unaosimamiwa na Basil Demeris. Ni meli kamili ya makontena ambayo inaweza kupakia makontena 40 ya meli yenye uniti sawa ya futi ishirini (TEU), 26 ndani ya meli na 14 kwenye sitaha. Ina wafanyakazi crew 16. Ina uwezo wa kubeba hadi lita 77,000 ( imp gal 17,000 ; galoni 20,000 za Marekani ) za mafuta.

TOKA MAKTABA
21 JULY 2026
Samia Suluhu Hassan Unveils Kigoma Transport Projects

View: https://m.youtube.com/watch?v=Lcv01EwlFvE
 
Meli inayodaiwa kuwa ya kubeba mafuta imewaka moto katika Bandari ya Kigoma, iliyopo Manispaa ya Kigoma Ujiji Mkoani Kigoma.

Kwa mujibu wa taarifa za awali, moto huo umezuka usiku huu wa Agosti 28, 2026 katika eneo la bandari, huku Jeshi la Zimamoto na Uokoaji likiwa limefika eneo la tukio na kuendelea na jitihada za kuudhibiti na kuuzima.

Hadi sasa, chanzo cha moto huo pamoja na taarifa kuhusu madhara yaliyotokea bado havijawekwa wazi,

Ni meli ya Umma au ya Abdul ?
 
28 August 2026
Kigoma, Tanzania

MV PACIFIC, JESHI LA ZIMAMOTO LATOA TAARIFA KUTEKETEA KWA MELI, KIFO NA SHEHENA YA MAFUTA KUUNGUA

On August 28, 2026, a Congolese oil tanker named MV Pacific caught fire and was destroyed on Lake Tanganyika

View: https://m.youtube.com/watch?v=v2bhSYd__XU
Meli yaenye usajili wa Congo stater yake yatoa cheche, mamlaka zathibitisha, uwezo lita 160,000 ikipakia mafuta katika bandari ya Kigoma nchini Tanzania.

View: https://m.youtube.com/watch?v=84t-pSWh0aI

More info :
Baadhi ya meli zilizopo Lake Tanganyika mbali ya MV Liemba na MV Mwongozo zilizositisha kazi zikiendelea kufanyiwa ukarabati mkubwa, pia zipo meli 2 zinazofanya kazi ambazo ni :

1. MT Sangara, uwezo kubeba tani 350 sawa na lita 410,000

View: https://m.youtube.com/watch?v=LJGICKf_dYs

2. MV Teza imebuniwa na Chris Simopoulos & Associates ya Ugiriki, na kujengwa na Batralac katika mradi unaosimamiwa na Basil Demeris. Ni meli kamili ya makontena ambayo inaweza kupakia makontena 40 ya meli yenye uniti sawa ya futi ishirini (TEU), 26 ndani ya meli na 14 kwenye sitaha. Ina wafanyakazi crew 16. Ina uwezo wa kubeba hadi lita 77,000 ( imp gal 17,000 ; galoni 20,000 za Marekani ) za mafuta.

29 August 2026

TASAC YATOA UFAFANUZI MLIPUKO MKUBWA BANDARI ya KIGOMA! MOTO WAZUKA KWENYE MELI ya MAFUTA..

View: https://m.youtube.com/watch?v=pm0nPnR8PHk
 
Meli inayodaiwa kuwa ya kubeba mafuta imewaka moto katika Bandari ya Kigoma, iliyopo Manispaa ya Kigoma Ujiji Mkoani Kigoma.

Kwa mujibu wa taarifa za awali, moto huo umezuka usiku huu wa Agosti 28, 2026 katika eneo la bandari, huku Jeshi la Zimamoto na Uokoaji likiwa limefika eneo la tukio na kuendelea na jitihada za kuudhibiti na kuuzima.

Hadi sasa, chanzo cha moto huo pamoja na taarifa kuhusu madhara yaliyotokea bado havijawekwa wazi,

Chanzo ni wakati wanaiwasha ilitoa cheche za moto na kusababisha moto kuwaka.inasadikiwa mtu mmoja kapoteza màisha na bado hajatambuliwa.
 
Back
Top Bottom