Kanisa lingine lachomwa moto Vingunguti

Kanisa lingine lachomwa moto Vingunguti

Status
Not open for further replies.
Teh teh teh!
Chimbula wa mbulula!
Hili jinaaa au mitishamba!
Teh teh teh teh!

Don't hate the game boy! Hate the player!

Sisi tunakujueni sana hii michezo yenu ya kuchoma makanisa!
Mbona hatusikii temples za wahindi au za wale bahai! Au za singa singa! Au miskiti!
Basi huo moto na wenyewe unatafuta damu ya bwana au yake madhabahu!?

Nyie watu wabaya sana! Mnakula hizo hela za michango halafu mnachoma ili muongezwe!
Teh teh teh teh! Galatians wana utapeli wa kizamaaani!

Teh...tehee...tihii ..hii ..hii ! Utapeli wa kufufua Misukule !
 
Mkuu makanisa huwa yanalipwa bima, hili jipya kwangu. Unaweza kutwambia kanisa lipi lilipwa tangu yaanze kuchomwa?

Teh teh teh teh!
We jamaa yangu hilo jina lako kila nikiliona mbavu sina!! Kakende !! Yaani kadooogo kama ka paka! Teh teh teh teh!
Kumbe wewe ulikuwa hujui! Sasa nenda kaulize kwa mchungwaji wako" je ! Baba upako hili kanisa letu lina bima?? Utapata jibu.
Halafu mi nakushauri bora ungeitwa kende! Atleast mtu anajua kuwa ni kubwa au la kawaida! Sasa hako Kakende kata kukosesha wachumba!
Teh teh teh teh!
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh!
Chimbula wa mbulula!
Hili jinaaa au mitishamba!
Teh teh teh teh!

Don't hate the game boy! Hate the player!

Sisi tunakujueni sana hii michezo yenu ya kuchoma makanisa!
Mbona hatusikii temples za wahindi au za wale bahai! Au za singa singa! Au miskiti!
Basi huo moto na wenyewe unatafuta damu ya bwana au yake madhabahu!?

Nyie watu wabaya sana! Mnakula hizo hela za michango halafu mnachoma ili muongezwe!
Teh teh teh teh! Galatians wana utapeli wa kizamaaani!

Nishakugundua kwa nini MaxShimba huwa anakuliza, kumbe ndo akili yako ilivyo... poor thing..
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh teh!

Mchome wenyewe! Ili mpate kudai milioni kadhaa insurance halafu mpate sababu ya kufanya ubadhirifu!

Sasa hivi utaskia " NA KULIKUWA NA HELA ZA MICHANGO YA WANAKONDOO NA HELA ZA WAFADHILI MILIONI 120 NAZO PIA ZIMEIBIWA!"

teh teh teh teh teh!

Na hili ni kanisa kama la saba kuchomwa ndani ya miezi sita!

Halafu we mtizame huyo mchungwaji wa hilo kanisa! Baada ya miezi kama minne hivi ataibuka na ki suzuki vitara kipyaa!
Kapakia mwanakondoo mmoja anang'aaa kama taa kwa mkorogo!

Anampeleka kumtoa pepo! Bonga bar!!!

Teh teh teh teh teh!

Cc Tayeb

Hii nidhihaka kubwa sana. Naamini sasa Ma------ was right kuhusu kufikiri kwa kutumia makalio!!
 
Last edited by a moderator:
Sasa tukio limetokea Jumamosi ripoti tunapata leo..Inaweza ikawa ngumu kuamini....
 
Mkuu kuwa na busara japo kidogo tu,udini utakufikisha wapi?

Utanifikisha wapi!?
Huu sio udini bali ni ukweli!
Nimeuliza huko nyuma, mbona hatusikii yale ma temples ya Wahindi au yale ya Bahai au miskiti!
Basi ni makanisa tu?
We machale hayakuchezi hapo!?
Halafu mengi ya haya yanaungua kuanzia ndani!!!!!!

Duhhh hapo tukinyamaza wote hawa jamaa watakuja tuletea majanga siku moja!
 
Khaa!! hata hivyo kulikuwa na utulivu kwa muda mrefu bila ya haya mambo. wengi tulikuwa hatuna kazi ya kufanya :A S 39:
Kukaa kwako muda mrefu bila cha kufanya ndo ukaona hili linafaa ku-replace u-jobless wako?Ama kweli Idle man is the house of devil.
 
hawana jipya lazma ni hawa ndugu zetu wa side"B", Hawajifunzi kwa wenzao libya,afganstn,iraq,SIWAPENDAGI HAWA WATOTO WA NYUMBA NDOGO.
 
Teh teh teh teh!

Mchome wenyewe! Ili mpate kudai milioni kadhaa insurance halafu mpate sababu ya kufanya ubadhirifu!

Sasa hivi utaskia " NA KULIKUWA NA HELA ZA MICHANGO YA WANAKONDOO NA HELA ZA WAFADHILI MILIONI 120 NAZO PIA ZIMEIBIWA!"

teh teh teh teh teh!

Na hili ni kanisa kama la saba kuchomwa ndani ya miezi sita!

Halafu we mtizame huyo mchungwaji wa hilo kanisa! Baada ya miezi kama minne hivi ataibuka na ki suzuki vitara kipyaa!
Kapakia mwanakondoo mmoja anang'aaa kama taa kwa mkorogo!

Anampeleka kumtoa pepo! Bonga bar!!!

Teh teh teh teh teh!

Cc Tayeb

Tatizo sio lako ila upeo wako ndiyo wenye shida.
 
teh teh, mkuu mbavu zangu mie, yaani unafanya utani na imani za watu?
 
Last edited by a moderator:
Watakuwa wanagombania madaraka kati yao. Ila namuonea huruma yule Mungu wao aliyevalishwa chupi pale msalabani kuungua Very sad! Mungu kashindwa kujitetea?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom