KING KIGODA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 3,756
- 2,999
Dini ya kweli ni ipi?.Unajuaje kuwa hii ni dini ya kweli na hii ni dini ya uongo?.Unajua asili ya neno dini limetoholewa toka rugha gani?.Unatumia akili zako kufikiri au unatumia akili za watu wengeni kufikiri?.Mimi nimeelewa kwamba uislam ni dini iliyoanzishwa kijanja janja kwa maana nyingine Uislam si dini ya kweli
Sent using Jamii Forums mobile app