Kanisa la Rumi (Roman Catholic) Lilianzisha Uislam ili kuendelelea kuitawala na kuihadaa Dunia

Kila kitu unachokisikia kuhusu dini/dhehebu lako, kifanyie kazi. Watu wengi tupo kwenye hizi Imani kwa kuzaliwa , na siyo kwa kujifunza na kuchagua. Na haitatokea zoote zikawa sahihi. Na kwenye familia zetu wanaamini wako sahihi , unapojaribu kuachana na dini ya familia utakiona cha mtema kuni, watakutenga.
Kwa mfano hizi habari za uislam kuanzishwa na Roman catholic zinasikika sana. Tuzifanyie utafiti tujue ukweli na mengine mengi tuyachunguze. Tatizo tunawaamini sana viongozi wetu. Kwanini tusiamini biblia inachosema/korani. Biblia/koran inaweza kuwa inasema kivingine na viongozi wetu wakasema kivingine, na sisi tunawaamini wao na blahblah zao.

Waefeso 4:5 ''Bwana mmoja, imani moja, ubatizo mmoja''

Mtu yeyote yule ambae leo hii ni Muislamu na anaisoma na kuielewa Qur'an halafu akiamua kusoma Biblia na kulinganisha hivyo vitabu viwili hawezi kuendelea kuwa Muislamu.
Ukitaka kuthibitisha ukweli huu chunguza uone kama mtoto wa Kiislamu (anaetokea kwenye familia ya Kiislamu hasa) anaweza kushika Biblia (e.g. ukimuomba akushikie). Nchi kama Pakistan, Afghanistan, Iran, Saudi Arabia na Indonesia kuonekana umeshika Biblia hadharani ni kosa la jinai.
 
jinga sana yaani Ukristo ndio uzae Islam, Uislam ni unyenyekevu yaani kumnyenyeke Mungu hivyo kuanzia Adam hadi Yesu walikuwa Waislam. Muhammad kaleta iman tu kwa walimwengu yaani kuwafanya waamini kwa dhati.
 
we huujuwi uislam so usilazimishe unachokijuwa ndicho kiwe sahihi, ukristo kaanzisha paulo baada ya Yesu kutoweka duniani. tena neno kristo ni Jina la KUPANGA tu lililotumiwaa na WAPAGANI wa Antokya wakimaanisha wafuasi wa YESU. Je mwenyewe Yesu alikuwa na imani/dini gani-JIBU=islam
We kweli umerogwa na waarabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna kitu hujakijuwa mkuu laiti ungejuwa kilichomo ndani ya Quran wewe mwenyewe ungeshakuwa Muislam. waaislam wanapinga bible ila wanakubali uwepo wa Injili, Torati na Zaburi lakini kilichomo ndani ya bible ni ujanjaujanja uliohaririwa na wachache. kama bible ni maneno ya mungu y binadam ahariri kwani agano jipya litofautiane na la kale.
biblia is man made book hivyo kinahaririwa ili kuendana na wakati uliopo kwa mfano wakati wa utumwa biblia ilihalalisha utumwa. tunakoe;lekea pia itahalilisha ushoga coz ndicho mzungu alichokitaka kuhalilsha mambo yake kupitia bible.
kifupi waislam hatuiamini bible 100% imejaaa uongo.
hao wanaoingia huko waanafuata wepesi maana islam is strict usile nguruwe mana yake usile, ila bible inasema hivyohivyo ila viongozi watakwambia kula kidogo hicho ndicho kinachowapeleka huko

Mtu yeyote yule ambae leo hii ni Muislamu na anaisoma na kuielewa Qur'an halafu akiamua kusoma Biblia na kulinganisha hivyo vitabu viwili hawezi kuendelea kuwa Muislamu.
Ukitaka kuthibitisha ukweli huu chunguza uone kama mtoto wa Kiislamu (anaetokea kwenye familia ya Kiislamu hasa) anaweza kushika Biblia (e.g. ukimuomba akushikie). Nchi kama Pakistan, Afghanistan, Iran, Saudi Arabia na Indonesia kuonekana umeshika Biblia hadharani ni kosa la jinai.
 
Kila kitu unachokisikia kuhusu dini/dhehebu lako, kifanyie kazi. Watu wengi tupo kwenye hizi Imani kwa kuzaliwa , na siyo kwa kujifunza na kuchagua. Na haitatokea zoote zikawa sahihi. Na kwenye familia zetu wanaamini wako sahihi , unapojaribu kuachana na dini ya familia utakiona cha mtema kuni, watakutenga.
Kwa mfano hizi habari za uislam kuanzishwa na Roman catholic zinasikika sana. Tuzifanyie utafiti tujue ukweli na mengine mengi tuyachunguze. Tatizo tunawaamini sana viongozi wetu. Kwanini tusiamini biblia inachosema/korani. Biblia/koran inaweza kuwa inasema kivingine na viongozi wetu wakasema kivingine, na sisi tunawaamini wao na blahblah zao.

Waefeso 4:5 ''Bwana mmoja, imani moja, ubatizo mmoja''
Roma haiwezi anzisha Islam kwa kuwa Islam ni ya mwanzo, Mungu baada ya kumshusha Adam na Familia yakenaliwapa muongozo wa namna ya kuishi, nini ale na kipi asile huo mwongozo unaitwa Islam hivyo basi Adam hadi Yesu wote walifuata mwongozo huu na anaeufuata ataitwa Muislam.
Wakristo wengi wanaamini kuwa Muhammad ndio kaanzisha Uislam jibu ni no, yeye kaukuta na kauboresha kwa kuongeza machahe.
Yesu ni muuslam 100% kama unabisha lete hapa dalili yoyota ya ukristo wake
 
Aya hizo hapo chini Muhamad akidai ni muislam wa kwanza

Say: Shall I choose for a protecting friend other than Allah, the Originator of the heavens and the earth, Who feedeth and is never fed? Say: I am ordered to be the first to surrender [aslama] (unto Him). And be not thou (O Muhammad) of the idolaters. S. 6:14 Pickthall
Say, verily my Lord hath directed me into a right way, a true religion, the sect of Abraham the orthodox; and he was no idolater. Say, verily my prayers, and my worship, and my life, and my death are dedicated unto God, the Lord of all creatures: He hath no companion. This have I been commanded: I am the first Moslem (Wa 'Ana 'Awwalu Al-Muslimin). S. 6:161-163 Sale
He hath no associate. This am I commanded, and I am the first of the Muslims. S. 6:163 Rodwell
Say (O Muhammad): Lo! I am commanded to worship Allah, making religion pure for Him (only). And I am commanded to be the first of those who are muslims (surrender unto Him). S. 39:11-12 Pickthall
 
Luka 4:16-17 ''Basi, Yesu alikwenda Nazareti, mahali alipolelewa, na siku ya Sabato, aliingia katika sunagogi, kama ilivyokuwa desturi yake. Akasimama ili asome Maandiko Matakatifu kwa sauti. 17Akapokea kitabu cha nabii Isaya, akakifungua na akakuta mahali palipoandikwa''
Waislam ndo mnasali siku ya sabato au ni Wakristo?
 
kuna kitu hujakijuwa mkuu laiti ungejuwa kilichomo ndani ya Quran wewe mwenyewe ungeshakuwa Muislam. waaislam wanapinga bible ila wanakubali uwepo wa Injili, Torati na Zaburi lakini kilichomo ndani ya bible ni ujanjaujanja uliohaririwa na wachache. kama bible ni maneno ya mungu y binadam ahariri kwani agano jipya litofautiane na la kale.
biblia is man made book hivyo kinahaririwa ili kuendana na wakati uliopo kwa mfano wakati wa utumwa biblia ilihalalisha utumwa. tunakoe;lekea pia itahalilisha ushoga coz ndicho mzungu alichokitaka kuhalilsha mambo yake kupitia bible.
kifupi waislam hatuiamini bible 100% imejaaa uongo.
hao wanaoingia huko waanafuata wepesi maana islam is strict usile nguruwe mana yake usile, ila bible inasema hivyohivyo ila viongozi watakwambia kula kidogo hicho ndicho kinachowapeleka huko

Nina imani na najua kuwa wewe (kama wengi wa waislamu) hujui Biblia ni nini. NA PIA HUIJUI QUR'AN.

Proof: Nitajie mstari mmoja tu kutoka kitabu chochote ndani ya Biblia ambao ni wa uongo. Unaruhusiwa kuomba msaada kwa mtu yeyote.
 
Mimi hii kitu kwa mbali naiamini.

Maana sijawah kuona Mungu anasema Hii ni dhambi lakini ikibidi TENDA. How comes M.Muhamad aliwaambia waislam kula ngurue(MDUDU) Ni dhambi ila ikibidi kwenye JANGWA na kama hakuna MSOSI KULENI!!!!!

Halafu mbona uladhambi ya kula ngurue haipo kwenye amri 10 za Mungu ila wanaizingatia sana zaidi ya zile amri 10?

hizo kumi hajapewa Muhammad SAW sie tunafuata kile alichotufundisha kupitia hizo kumi zilikuwa enzi za waliomtangulia ila alipofika yeye akapewa sahihi zaidi
 
Luka 4:16-17 ''Basi, Yesu alikwenda Nazareti, mahali alipolelewa, na siku ya Sabato, aliingia katika sunagogi, kama ilivyokuwa desturi yake. Akasimama ili asome Maandiko Matakatifu kwa sauti. 17Akapokea kitabu cha nabii Isaya, akakifungua na akakuta mahali palipoandikwa''
Waislam ndo mnasali siku ya sabato au ni Wakristo?
tunaswali kila siku nani kakwambia Jumamosi waislam hatuendi msikitini?.
hivi sinagogi ni jumba la ibada laa dini gani?
 
Aya hizo hapo chini Muhamad akidai ni muislam wa kwanza

Say: Shall I choose for a protecting friend other than Allah, the Originator of the heavens and the earth, Who feedeth and is never fed? Say: I am ordered to be the first to surrender [aslama] (unto Him). And be not thou (O Muhammad) of the idolaters. S. 6:14 Pickthall
Say, verily my Lord hath directed me into a right way, a true religion, the sect of Abraham the orthodox; and he was no idolater. Say, verily my prayers, and my worship, and my life, and my death are dedicated unto God, the Lord of all creatures: He hath no companion. This have I been commanded: I am the first Moslem (Wa 'Ana 'Awwalu Al-Muslimin). S. 6:161-163 Sale
He hath no associate. This am I commanded, and I am the first of the Muslims. S. 6:163 Rodwell
Say (O Muhammad): Lo! I am commanded to worship Allah, making religion pure for Him (only). And I am commanded to be the first of those who are muslims (surrender unto Him). S. 39:11-12 Pickthall
daah mkuu safi sana kwa kuleta hayo machache Muhammad alizaliwa katika jamii zinazoaabudu masanamu na miungu ya kila aina ndipo baadae M/mungu akampa umessenger ili awajulisha watu kuwa kuna Mungu wa kweli na sio masanamu hayo. hii inamana yeye ni wa kwanza katika jamii ya Makkah kuwa Muislam baada ya kuujuwa uislam akawaafundisha wengine.
kama Muhammad ni mtu wa kwanza kuwa muislam anaeonekana kwa macho je yale masinagogi ya Palestina enzi za Yesu nani alikuwa anaabudu.(bible:sinagogi ni msikiti)
KARIBU elimu haina mwisho
 
Una ubishi wa kitoto. Mi nilifikiri unahitaji kujua. Kama ni kubishana mimi simo
kwahiyo Yesu alienda msikitini Jumamosi maana neno Sabato linatokana na neno la kiarabu SABATH ikimaanisha jumamosi, je huyo aliyenda sabato huyo aliingia ktk jumba gani msikitini au kanisani ili tujuwe haya tutafute maana ya sinagogi hapo ndipo utajuwa Yesu alikuwa anaabudu wapi.
 
Truly, I say to you, kthe tax collectors and lthe prostitutes go into mthe kingdom of God before you. Matayo 21:31

Nina imani na najua kuwa wewe (kama wengi wa waislamu) hujui Biblia ni nini. NA PIA HUIJUI QUR'AN.

Proof: Nitajie mstari mmoja tu kutoka kitabu chochote ndani ya Biblia ambao ni wa uongo. Unaruhusiwa kuomba msaada kwa mtu yeyote.

Nina imani na najua kuwa wewe (kama wengi wa waislamu) hujui Biblia ni nini. NA PIA HUIJUI QUR'AN.

Proof: Nitajie mstari mmoja tu kutoka kitabu chochote ndani ya Biblia ambao ni wa uongo. Unaruhusiwa kuomba msaada kwa mtu yeyote.
 
daah mkuu safi sana kwa kuleta hayo machache Muhammad alizaliwa katika jamii zinazoaabudu masanamu na miungu ya kila aina ndipo baadae M/mungu akampa umessenger ili awajulisha watu kuwa kuna Mungu wa kweli na sio masanamu hayo. hii inamana yeye ni wa kwanza katika jamii ya Makkah kuwa Muislam baada ya kuujuwa uislam akawaafundisha wengine.
kama Muhammad ni mtu wa kwanza kuwa muislam anaeonekana kwa macho je yale masinagogi ya Palestina enzi za Yesu nani alikuwa anaabudu.(bible:sinagogi ni msikiti)
KARIBU elimu haina mwisho
Walikuwa wanatumia muongozo upi, kama tujuavyo Mudi ndo alikuwa wa kwanza kupewa aya mbalimbali za koran
 
Heri ya mwaka mpya Mungu azidi kuwabariki na kuwapa mibaraka yake ktk mwaka 2017

Nafahamu nimegusa imani zenu Waislam na Roman Catholic mtanisamehe sina lengo la kuwakwaza nikushirikishana ili kila mmoja wetu ajue Ukweli katika imani yake na kweli hutuweka huru.

Nitaeleza kwa uchache na kile nilichokifahamu na kujua jinsi hizi imani zetu Si matakwa ya Mwenyezi Mungu Bali ni matakwa ya ibirisi kupotosha kweli iliyopo.

Nitaelezea kwa uchache na kila nitakapo pata mda nitaendelea.

[}}Uislam ni Iman iliyoanzishwa na mtume Muhammad saw miaka zaidi ya 600 baada ya kifo cha Yesu Kristo Mwana wa Mungu.

}}Uislam ulianzishwa na kanisa la Rumi (Roman Catholic) hii ni baada ya wa Rumi kuua watakatifu wengi ktk kanisa moja (Catholic) la Yesu na wakafanikiwa kubadiri ibada za kumtukuza Mungu na kuanzisha ibada za masanamu ya miungu yao kama tuonavyo yalivyo pambwa sehemu mbalimbali za kuabudia.

}}Mtume Muhammad asiye fahamu kusoma wala kuandika alianzishaje Uislam?

Baada ya warumi kuharibu kanisa la Mungu kuna baadhi ya waamini waliendelea kuwa na Iman thabiti ya mafundisho sahihi ya Yesu Kristo vugu vugu la kulitenga kanisa la Rumi lilikuwa kubwa na hapo wa Rumi ndipo walitafta njia ya kukabiliana na na hali hii kwa njia nyingine bila kujulikana.

Waliwatafta watu vijana wengi wa kiarabu katika Saudia na wakawatengenezea muongozo uliotengenezwa kutokana na baadhi ya vitabu Biblia agano la Kale (Vitabu vya Torati) na kutengeneza Qur'an na aya zake kama walivyoona inafaa.
Na kiongozi aliyepewa jukumu ni kijana shupavu, hodari, mchangamfu aliye itwa Muhammad ingawa alikuwa hakusoma lakini alikuwa mwelevu wa hali ya juu kwa chochote alicho ulizwa.
(hizi scientific katika Quran watunzi ni Rumi kwa msaada wa Torati)

Muhammad alipewa nguvu za Mungu Jupiter, Sun ili awe na nguvu na ushawishi kwa kulieneneza Neno alilotumwa na alifanikiwa kuteka sehemu kubwa ya Dunia warumi wakafanikiwa ktk azima yao kuawala Dunia.

Hadi Leo hii ma billion ya wafuasi hawajui chochote juu ya hili wamekuwa wafia Dini laiti wangejua nini kipo nyuma ya pazia.

Muhammad alitimiza azima ya wa Rumi na kuwa mtu maarufu no.2 baada ya yesu na akaabadili baadhi ya sheria kwa kuwa alikuwa na nguvu nyingi kufanya alichotaka akawa na wafuasi wengi na akajitoa kwa wa Rumi na kuhararisha kama imani aliyopokea kutoka kwa Mungu lakini hili haliondoi Ukweli kuwa Uislam ni tawi la Rumi.

Nia ya Rumi kuanzisha Uislam ilikuwa ni kutaka waendelee kuwa na ushawishi ianzishwe Dini iliyo kinyume wao waonekane wapo sawa ktk wale waliojitenga na ibada za kishetani

Kila nitakapo pata muda nitaendelea kuweka sawa ukweli ujulikane utuweke huru.

Ndugu zangu Wa Roman na Muslim nisamehe kama nita wakwaza Ukweli unauma na Nina fahamu wengi ni waumini hamjui chochote.

Karibuni
Mtoa uzi bado yupo hai??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom