Kwa Wasabato wote: Siyo kweli Dola ya Rumi ndiyo kubwa kuliko zote na inatawala Dunia yote

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,209
4,706
Wadau hamjamboni nyote?

Kwa Ndugu zangu Wasabato wote

Sio kweli Dola ya Rumi - Roman Empire Ndiyo Dola kubwa kuliko zote Duniani & kuwa inaendelea kutawala Dunia hata sasa

Najua ndiyo Imani yenu kwa mujibu wa Roho ya Unabii kutoka kwa Nabii wenu Helllen G. White lakini hakuna mwenye uwezo wa kuleta ushahidi usio na shaka kuthibitisha Imani hiyo.

Tujadili Kwa kutoa Takwimu kutoka vyanzo rasmi na lugha zisizo na staha hazikubaliki

Niwatakie siku njema.

Takwimu rasmi British empire ndiyo Dola kubwa kuliko zote Duniani
 
Pentecostalism: Hatarini
Bofya: occult in pentecostal church

HII NI HATARI.....

Tunaishi Nyakati za Hatari Sana, ambazo watu Wengi hawachukui tahadhari kwa Mambo ya Kiroho.

Soma ... 2 Timotheo 4:3-4 "Maana utakuja wakati watakapoyakataa mafundisho yenye uzima; ila kwa kuzifuata nia zao wenyewe watajipatia waalimu makundi makundi, kwa kuwa wana masikio ya utafiti; nao watajiepusha wasisikie yaliyo kweli, na kuzigeukia hadithi za uongo."

Kuna Mafuriko ya Mafundisho yanayo onekana yana hekima Ndani yake, Lakini yamebeba Sumu inayoua, ni hatari Sana, hasa kwa wasio Makini Kusimama katika Neno la Kristo na Walio Wachanga Kiroho.

Kuna Fundisho linadai KILA NENO LA KWENYE BIBLIA NI FUMBO, Yaani Kila andiko liko kwenye FUMBO ambalo ni lazima lieleweke kwa Tafsiri ya Rohoni. Maana yake Lazima Upewe Mafunuo ili Uelewe au Upate Tafsiri Sahihi au Maana Sahihi. Huo ndio Mlango Mpana wa roho za Mashetani kuingia na Kupotosha Neno la Mungu.

Neno la Mungu linaweza Kusomwa na Mtu yeyote ili mradi ajue Kusoma na Kupata Msaada wa Kujua Miongozo au Kanuni Sahihi ya Kuisoma na Kuielewa Biblia. Mfano: Vitabu vya INJILI au Nyaraka za Mitume - Ni Ujumbe ulio wazi ambao Umeletwa ili Usomwe na Kila Mtu, hauhitaji MAFUNUO Bali inahitaji Roho Mtakatifu wa Kutuongoza ili Mioyo yetu Iguswe na kulipokea neno.

Hebu Tuangalie Mfano huu Wakati wa Kifo Cha Yesu ...

Mathayo 27:54 "Basi yule akida, na hao waliokuwa pamoja naye wakimlinda Yesu, walipoliona tetemeko la nchi na mambo yaliyofanyika, wakaogopa sana, wakisema, Hakika huyu alikuwa Mwana wa Mungu."

Wana Mafunuo Watakwambia ... Kulinda sio Ulinzi huu tulionao ... Tetemeko utaambiwa sio haya matetemeko yanayotokea n.k. Wanaanza Kutoa hadithi za unajua katika ulimwengu wa robo,deer daliiiii,oOoOO, shakara makabula.......
 
Hizo hadithi za kuunga na kitabu cha ufunuo bahati mbaya sana walokole wengi wanafundishana pia.

Mimi kuna mambo ukianza kufundisha na nina hakika si kweli sikusikilizi kabisa maana najua kama anayenena kinywani kwako ni Roho Mtakatifu angekufunulia na hizo facts maana yeye si kugeugeu.
 
Pentecostalism na fundisho kwamba roho haifi ndiyo msingi wa imani kwamba waliokufa wapo mahali Fulani wanatutazama, tunaweza kuwaendea wakatutatulia shida zetu (umizimu). Hii dhana ya kuwa ‘roho’ yaweza kuishi yenyewe nje ya mwili halipo kabisa katika biblia. Dhana hii ililitwaliwa kutoka kwa wapagani wa kale wanafalsafa wa Kimisri na Wayunani na mwisho likapenyeza katika theolojia ya kipentecost, (wanajiita makanisa ya kiroho).

Hoja ni kwamba Ufufuo wa wafu Yesu atakapokuja unamaana Gani ikiwa kufa ni tiketi ya kwenda mbiguni?
Ni fungu Lipi la biblia linasema Roho zinadumu milele SAWA na Mungu?
Mnapotosha....,....,..........
 
Wadau hamjamboni nyote?

Kwa Ndugu zangu Wasabato wote

Sio kweli Dola ya Rumi - Roman Empire Ndiyo Dola kubwa kuliko zote Duniani & kuwa inaendelea kutawala Dunia hata sasa

Najua ndiyo Imani yenu kwa mujibu wa Roho ya Unabii kutoka kwa Nabii wenu Helllen G. White lakini hakuna mwenye uwezo wa kuleta ushahidi usio na shaka kuthibitisha Imani hiyo.

Tujadili Kwa kutoa Takwimu kutoka vyanzo rasmi na lugha zisizo na staha hazikubaliki

Niwatakie siku njema.

Takwimu rasmi British empire ndiyo Dola kubwa kuliko zote Duniani
Mkuu uko sawa kweli?
 
Pentecostalism: Hatarini
Bofya: occult in pentecostal church

HII NI HATARI.....

Tunaishi Nyakati za Hatari Sana, ambazo watu Wengi hawachukui tahadhari kwa Mambo ya Kiroho.

Soma ... 2 Timotheo 4:3-4 "Maana utakuja wakati watakapoyakataa mafundisho yenye uzima; ila kwa kuzifuata nia zao wenyewe watajipatia waalimu makundi makundi, kwa kuwa wana masikio ya utafiti; nao watajiepusha wasisikie yaliyo kweli, na kuzigeukia hadithi za uongo."

Kuna Mafuriko ya Mafundisho yanayo onekana yana hekima Ndani yake, Lakini yamebeba Sumu inayoua, ni hatari Sana, hasa kwa wasio Makini Kusimama katika Neno la Kristo na Walio Wachanga Kiroho.

Kuna Fundisho linadai KILA NENO LA KWENYE BIBLIA NI FUMBO, Yaani Kila andiko liko kwenye FUMBO ambalo ni lazima lieleweke kwa Tafsiri ya Rohoni. Maana yake Lazima Upewe Mafunuo ili Uelewe au Upate Tafsiri Sahihi au Maana Sahihi. Huo ndio Mlango Mpana wa roho za Mashetani kuingia na Kupotosha Neno la Mungu.

Neno la Mungu linaweza Kusomwa na Mtu yeyote ili mradi ajue Kusoma na Kupata Msaada wa Kujua Miongozo au Kanuni Sahihi ya Kuisoma na Kuielewa Biblia. Mfano: Vitabu vya INJILI au Nyaraka za Mitume - Ni Ujumbe ulio wazi ambao Umeletwa ili Usomwe na Kila Mtu, hauhitaji MAFUNUO Bali inahitaji Roho Mtakatifu wa Kutuongoza ili Mioyo yetu Iguswe na kulipokea neno.

Hebu Tuangalie Mfano huu Wakati wa Kifo Cha Yesu ...

Mathayo 27:54 "Basi yule akida, na hao waliokuwa pamoja naye wakimlinda Yesu, walipoliona tetemeko la nchi na mambo yaliyofanyika, wakaogopa sana, wakisema, Hakika huyu alikuwa Mwana wa Mungu."

Wana Mafunuo Watakwambia ... Kulinda sio Ulinzi huu tulionao ... Tetemeko utaambiwa sio haya matetemeko yanayotokea n.k. Wanaanza Kutoa hadithi za unajua katika ulimwengu wa robo,deer daliiiii,oOoOO, shakara makabula.......
The Scriptures out to be interpreted literally unless otherwise.
Scripture interpretes scripture
Mengine ni bla bla
 
Wadau hamjamboni nyote?

Kwa Ndugu zangu Wasabato wote

Sio kweli Dola ya Rumi - Roman Empire Ndiyo Dola kubwa kuliko zote Duniani & kuwa inaendelea kutawala Dunia hata sasa

Najua ndiyo Imani yenu kwa mujibu wa Roho ya Unabii kutoka kwa Nabii wenu Helllen G. White lakini hakuna mwenye uwezo wa kuleta ushahidi usio na shaka kuthibitisha Imani hiyo.

Tujadili Kwa kutoa Takwimu kutoka vyanzo rasmi na lugha zisizo na staha hazikubaliki

Niwatakie siku njema.

Takwimu rasmi British empire ndiyo Dola kubwa kuliko zote Duniani
Mnagombea dini zilizoletwa na wakoloni?
 
Back
Top Bottom