Kanisa la Rumi (Roman Catholic) Lilianzisha Uislam ili kuendelelea kuitawala na kuihadaa Dunia

Mimi nimeelewa kwamba uislam ni dini iliyoanzishwa kijanja janja kwa maana nyingine Uislam si dini ya kweli
Dini ya kweli ni ipi?.Unajuaje kuwa hii ni dini ya kweli na hii ni dini ya uongo?.Unajua asili ya neno dini limetoholewa toka rugha gani?.Unatumia akili zako kufikiri au unatumia akili za watu wengeni kufikiri?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Quran imeandikwa kwa msaada wa Rumi (Jesuit ) kutoka na na mkusanyiko wa vifungu ktk Torati na baadhi yalinukuliwa ktk uhalisia wa Dunia Kwa faida ya Kanisa la Rumi (RC)
Umejuaje, ulikuwepo, ulishuhudia.Ulikuwa mmoja wao?.Unaakili wewe?.Akili zako wamekushikia hao JESUIT?.Leta ushahidi toka nje ya JESUITS kama kweli unatumia akili zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa taarifa yako mimi siko kama wewe. Sipiganii dini na wala sina imani katika dini. Imani yangu ni katika Imani. Ukristo siyo dini ni Imani. Na wewe huwezi kuja hapa na mamlaka sonji, kunishurutisha nifanye unachokiamini wewe. Sina imani katika dini. Ninaamini katika nguvu ya Imani. Imani katiak Kristo Yesu. Sijauliza dini ya Kikristo hilo ni la kwako. Nimezungumzia Ukristo. Unaakiwa kupandisha kiwango ili uelewe ndipo ushambulie. Vinginevyo utajikuta unashambulia upepo. Kazi kwako unayeamini katika dini.
Unalijua neno hili DINI wewe?.Neno DINI asili yake ni rugha gani?.Kuna mtu asiyekuwa na DINI?.Au huna unachojua juu ya DINI?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye maisha yangu huwa hakuna suala linalonishangaza na kuniumiza akili kama hili ; Kwa nini watu ni wagumu sana kukubaliana UKWELI ? Kwa nini UKWELI unapingwa zaidi ya jambo au kitu chochote chini ya jua . ?

Mtoa post ni kweli tupu mambo hayo lakini ndiyo hivyo , maana adui mkubwa wa GIZA ni NURU .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kuwa iman ya kiislam ilianzishwa na vaticani kwa siri kwa rengo la kuufuta ukristo wa kweli na kuacha ukatoliki amba ni upagani kwa asili.walimtumia Bi Khadija mjane tajiri kumrubuni muhammad kumfanya mume wake.pia akapewa mafunzo na Askofu Augusto wa Africa kaskzin.
Mafunzo gani mnatapata tuu...toa facts
 
Heri ya mwaka mpya Mungu azidi kuwabariki na kuwapa mibaraka yake ktk mwaka 2017

Nafahamu nimegusa imani zenu Waislam na Roman Catholic mtanisamehe sina lengo la kuwakwaza nikushirikishana ili kila mmoja wetu ajue Ukweli katika imani yake na kweli hutuweka huru.

Nitaeleza kwa uchache na kile nilichokifahamu na kujua jinsi hizi imani zetu Si matakwa ya Mwenyezi Mungu Bali ni matakwa ya ibirisi kupotosha kweli iliyopo.

Nitaelezea kwa uchache na kila nitakapo pata mda nitaendelea.

[}}Uislam ni Iman iliyoanzishwa na mtume Muhammad saw miaka zaidi ya 600 baada ya kifo cha Yesu Kristo Mwana wa Mungu.

}}Uislam ulianzishwa na kanisa la Rumi (Roman Catholic) hii ni baada ya wa Rumi kuua watakatifu wengi ktk kanisa moja (Catholic) la Yesu na wakafanikiwa kubadiri ibada za kumtukuza Mungu na kuanzisha ibada za masanamu ya miungu yao kama tuonavyo yalivyo pambwa sehemu mbalimbali za kuabudia.

}}Mtume Muhammad asiye fahamu kusoma wala kuandika alianzishaje Uislam?

Baada ya warumi kuharibu kanisa la Mungu kuna baadhi ya waamini waliendelea kuwa na Iman thabiti ya mafundisho sahihi ya Yesu Kristo vugu vugu la kulitenga kanisa la Rumi lilikuwa kubwa na hapo wa Rumi ndipo walitafta njia ya kukabiliana na na hali hii kwa njia nyingine bila kujulikana.

Waliwatafta watu vijana wengi wa kiarabu katika Saudia na wakawatengenezea muongozo uliotengenezwa kutokana na baadhi ya vitabu Biblia agano la Kale (Vitabu vya Torati) na kutengeneza Qur'an na aya zake kama walivyoona inafaa.
Na kiongozi aliyepewa jukumu ni kijana shupavu, hodari, mchangamfu aliye itwa Muhammad ingawa alikuwa hakusoma lakini alikuwa mwelevu wa hali ya juu kwa chochote alicho ulizwa.
(hizi scientific katika Quran watunzi ni Rumi kwa msaada wa Torati)

Muhammad alipewa nguvu za Mungu Jupiter, Sun ili awe na nguvu na ushawishi kwa kulieneneza Neno alilotumwa na alifanikiwa kuteka sehemu kubwa ya Dunia warumi wakafanikiwa ktk azima yao kuawala Dunia.

Hadi Leo hii ma billion ya wafuasi hawajui chochote juu ya hili wamekuwa wafia Dini laiti wangejua nini kipo nyuma ya pazia.

Muhammad alitimiza azima ya wa Rumi na kuwa mtu maarufu no.2 baada ya yesu na akaabadili baadhi ya sheria kwa kuwa alikuwa na nguvu nyingi kufanya alichotaka akawa na wafuasi wengi na akajitoa kwa wa Rumi na kuhararisha kama imani aliyopokea kutoka kwa Mungu lakini hili haliondoi Ukweli kuwa Uislam ni tawi la Rumi.

Nia ya Rumi kuanzisha Uislam ilikuwa ni kutaka waendelee kuwa na ushawishi ianzishwe Dini iliyo kinyume wao waonekane wapo sawa ktk wale waliojitenga na ibada za kishetani

Kila nitakapo pata muda nitaendelea kuweka sawa ukweli ujulikane utuweke huru.

Ndugu zangu Wa Roman na Muslim nisamehe kama nita wakwaza Ukweli unauma na Nina fahamu wengi ni waumini hamjui chochote.

Karibuni
Buhahahahahahan

Mjinga ni Mjinga tu

Buhahahahahaha

Nimecheka sana mpaka mawasiliano baina ya akili,pumzi na mbavu,yamekosena

asante kwa urojo Chief

unafaa kutengeneza tamthilia

Dah....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye maisha yangu huwa hakuna suala linalonishangaza na kuniumiza akili kama hili ; Kwa nini watu ni wagumu sana kukubaliana UKWELI ? Kwa nini UKWELI unapingwa zaidi ya jambo au kitu chochote chini ya jua . ?

Mtoa post ni kweli tupu mambo hayo lakini ndiyo hivyo , maana adui mkubwa wa GIZA ni NURU .

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha

Kila anaekuja,anakuja kwa style yake

Kweli kabisa

Adui mkubwa wa Akili na Elimu,ni Ujinga

Hususan Ujinga wa kurithi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye maisha yangu huwa hakuna suala linalonishangaza na kuniumiza akili kama hili ; Kwa nini watu ni wagumu sana kukubaliana UKWELI ? Kwa nini UKWELI unapingwa zaidi ya jambo au kitu chochote chini ya jua . ?

Mtoa post ni kweli tupu mambo hayo lakini ndiyo hivyo , maana adui mkubwa wa GIZA ni NURU .

Sent using Jamii Forums mobile app
Umejuaje kuwa ni kweli?. Ulikuwepo wakati yanafanyika hayo?. Unatumia akili zako kufikiri?.Umeshikiwa akili na hao wanaidai hivyo?.Unauwezo wa kuthibitisha haya madai ni kweli kwa akili zako Mwenyewe?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heri ya mwaka mpya Mungu azidi kuwabariki na kuwapa mibaraka yake ktk mwaka 2017

Nafahamu nimegusa imani zenu Waislam na Roman Catholic mtanisamehe sina lengo la kuwakwaza nikushirikishana ili kila mmoja wetu ajue Ukweli katika imani yake na kweli hutuweka huru.

Nitaeleza kwa uchache na kile nilichokifahamu na kujua jinsi hizi imani zetu Si matakwa ya Mwenyezi Mungu Bali ni matakwa ya ibirisi kupotosha kweli iliyopo.

Nitaelezea kwa uchache na kila nitakapo pata mda nitaendelea.

[}}Uislam ni Iman iliyoanzishwa na mtume Muhammad saw miaka zaidi ya 600 baada ya kifo cha Yesu Kristo Mwana wa Mungu.

}}Uislam ulianzishwa na kanisa la Rumi (Roman Catholic) hii ni baada ya wa Rumi kuua watakatifu wengi ktk kanisa moja (Catholic) la Yesu na wakafanikiwa kubadiri ibada za kumtukuza Mungu na kuanzisha ibada za masanamu ya miungu yao kama tuonavyo yalivyo pambwa sehemu mbalimbali za kuabudia.

}}Mtume Muhammad asiye fahamu kusoma wala kuandika alianzishaje Uislam?

Baada ya warumi kuharibu kanisa la Mungu kuna baadhi ya waamini waliendelea kuwa na Iman thabiti ya mafundisho sahihi ya Yesu Kristo vugu vugu la kulitenga kanisa la Rumi lilikuwa kubwa na hapo wa Rumi ndipo walitafta njia ya kukabiliana na na hali hii kwa njia nyingine bila kujulikana.

Waliwatafta watu vijana wengi wa kiarabu katika Saudia na wakawatengenezea muongozo uliotengenezwa kutokana na baadhi ya vitabu Biblia agano la Kale (Vitabu vya Torati) na kutengeneza Qur'an na aya zake kama walivyoona inafaa.
Na kiongozi aliyepewa jukumu ni kijana shupavu, hodari, mchangamfu aliye itwa Muhammad ingawa alikuwa hakusoma lakini alikuwa mwelevu wa hali ya juu kwa chochote alicho ulizwa.
(hizi scientific katika Quran watunzi ni Rumi kwa msaada wa Torati)

Muhammad alipewa nguvu za Mungu Jupiter, Sun ili awe na nguvu na ushawishi kwa kulieneneza Neno alilotumwa na alifanikiwa kuteka sehemu kubwa ya Dunia warumi wakafanikiwa ktk azima yao kuawala Dunia.

Hadi Leo hii ma billion ya wafuasi hawajui chochote juu ya hili wamekuwa wafia Dini laiti wangejua nini kipo nyuma ya pazia.

Muhammad alitimiza azima ya wa Rumi na kuwa mtu maarufu no.2 baada ya yesu na akaabadili baadhi ya sheria kwa kuwa alikuwa na nguvu nyingi kufanya alichotaka akawa na wafuasi wengi na akajitoa kwa wa Rumi na kuhararisha kama imani aliyopokea kutoka kwa Mungu lakini hili haliondoi Ukweli kuwa Uislam ni tawi la Rumi.

Nia ya Rumi kuanzisha Uislam ilikuwa ni kutaka waendelee kuwa na ushawishi ianzishwe Dini iliyo kinyume wao waonekane wapo sawa ktk wale waliojitenga na ibada za kishetani

Kila nitakapo pata muda nitaendelea kuweka sawa ukweli ujulikane utuweke huru.

Ndugu zangu Wa Roman na Muslim nisamehe kama nita wakwaza Ukweli unauma na Nina fahamu wengi ni waumini hamjui chochote.

Karibuni
Mkiisha kudanganyana huko kanisani mnakuja na huku kwenye mitandao kupotosha
 
Dini tumeletewa tu...tumezipokea.Kabla ya Ukristo na Uislam babu wa babu yako alikuwa anaabudu MUNGU gani?
Niwakumbushe ninyi viumbe wapofu...babu zenu walitambika chini ya mibuyu na maombi yao yalisikilizwa mvua zikanyesha na majanga yakatokomea.Walipofika hao wageni waliona wivu vile mawasiliano ya babu yako na MUNGU yalivyo imara wakaanza kuwavuruga na kuwagawa wewe Mkristo na yule Muislam.Mmeacha kutambika mkiaminishwa ni chukizo kwa MUNGU,lkn mbona aliwasikiliza?
Mmebaki kutambiana tu nani bora na ipi dini ya kweli?
Dini ya kweli Ni matendo yako mema yanayompendeza MUNGU,hakuna maana kama umeukumbatia uislam lakini roho yako imejaa chuki kwa asiye amini uislam.Hakuna maana kuukumbatia ukristo huku matendo yako ni chukizo kwa jamii,familia na MUNGU wako.
Waja mnapambana kuonesha dini ipi bora huku tukisahau kuishi huo ubora wenyewe...
Kama Waislam tuingeishi kwa dhati mafundisho ya Qur'an...wale makafiri mioyo ingelegea tu na kuslim. Na kama Wakristo tungeishi kwenye misingi ya ukristo basi dunia ingekuwa sehemu salama zaidi leo na kesho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
45 Reactions
Reply
Back
Top Bottom