Kanisa la Kristo Morroco na Magomeni

Kanisa la Kristo Morroco na Magomeni

Mkuu ungenukuu andiko zima au hata aya husika. Nilipotaja Yesu ni pengi tu. Lakini Yesu ninayemzungumzia ni Yesu Kristo. Na ndiye masihi mwenyewe. Maana neno masihi na neno Kristo yana maana moja. Ni mpakwa mafuta wa Bwana

Hapo ndipo nilipopataka, katika maelezo yako unapotaja Yesu malizia na maneno hayo eidha Kristo, Mpakwa Mafuta, au Masihi, ili ueleweke yupi unayemzungumzia, maana huko Uhispania na Argentina kuna Kina Yesu wengi sana.

Jaribu kufuatilia Makanisa yote pamoja na lako unalojumuika je wanapotaja hilo jina Yesu wanamalizia na moja kati ya maneno haya; Masihi? au Kristo/Kristu? au Mpakwa Mafuta? Kama sivyo jiepushe nalo .
Asomae na afahamu.
Tupo pamoja.
 
Ha ha ha mkuu, YESU watatajwa wengi lakini wakristo ukitaja YESU maana yake KRISTO. Wewe unakusanyika wapi?
 
Nakusanyika Nyumbani na familia yangu.
Yesu Kristo anakuita njoo ukusanyike na wengine. Kwa sababu huwezi kujifundisha Imani kwa kusoma mwenyewe, yafaa utafakari na watu wengine, ndio maana akaamuru siku ya kwanza ya juma kukusanyika kwa ajili ya kufanya ibada(kukumbuka) namna Mungu alivyotukomboa kupitia Yesu Kristo.

Njoo brother
 
Kumbuka kuwa Yesu Kristo alisema " Popote wakusanyikapo wawili watatu kwa jina lake,yeye yupo pamoja nao."
 
Kumbuka kuwa Yesu Kristo alisema " Popote wakusanyikapo wawili watatu kwa jina lake,yeye yupo pamoja nao."
ni sahihi, lakini siyo kila mara itakuwa hivyo. Kwa mfano matukio ya ibada ambayo kila unapokusanyika sharti yafanyike.
1. sala-unafanya/inawe
2. Shule ya jumapili(sunday school) ni bible school, unaweza kufanya lakini si kwa ukamilifu wote
3. Mahubiri. Unaweza kuhubiri sawa.
4. Meza ya bwana(Kumega mkate(mwili wake) na kuinywa mzao wa mzabibu damu yake. Kuna utata hapa
5. Changizo kwa ajili ya watakatifu(kufadhili injili) 1Kor 16:1-3.

haya mambo yanawezekana kwa urahisi ukikusanyika na wenzako. na ni sharti yatimizwe kila ukutanikapo
 
Siku ya kwanza ni kwa mujibu wa Gregorian Calenda ambayo ndiyo inahesabu kabla na baada ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo. hivyo siku ya Kwanza ya Juma ni JUMAPILI. Siku hii ndipo Yesu alifufuka, ndiyo siku Yesu alipaa na wengine wataalamu wa historia wanasema ndiyo Yesu Kristo alizaliwa.

Kwa kuwa neno Ibada ni kukumbuka, tunakusanyika siku ya jumapili kukumbuka matendo makuu ya Mungu.
 
Hata mie nimelifahamu kupitia somo la divinity, na leo ni muumini. Ziseme tu, ndo watu watafunguka. Ibada za kanisa la Kristo siyo siri, ni wazi na kama biblia ilivyoagiza.

Ni kweli liko tofauti sana, maana halina kiongozi mkuu. Baraza la wazee lipo, na hakuna anayelipwa mshahara kwa kuwa kiongozi wa kanisa. Ni wito kama Paulo, hakuna kumwelemea mtu labda kama wewe ni missionary, utalipwa posho

Ungeanza kueleza mnavyo sali, yaani ni lini hua mnasali kama mwanzisha uzi alivyo taka, unaweza pia kuweka ratiba za IBADA zetu zilivyo kwa wiki

Mkuu, hapana bwana, uzi unataka kujua ratiba zao za IBADA na sio namna wanavyo amini.
 
Mkuu nisha eleza mengi sana. halafu jibu lako la kwanza, linatofautiana na jibu lako la pili. Jibu lakwanza umesema nieleze tunavyo sali lkn jibu la pili hutaki kueleza imani uliyoishuhudia.

Anyway, kwa faida yako narudia kukupa ratiba ya wiki nzima, na imerudiwa sana. hii hapa mkuu

Ratiba ya ibada na vipindi vya kanisa, kwa wale walioko dsm, kanisa la Kristo Magomeni ratiba kwa wiki ni hii.

Magomeni CoC- Church of Christ

Ratiba ya Ibada zetu :
Jpili asbh saa tatu - sita mchana,

jioni saa kumi na moja mpaka saa kumi na mbili,

jtano saa kumi na moja mpaka saa kumi na mbili jioni. Mafundisho ya biblia(Bible school)

Karibuni tujifunze neno la Mungu kwa utukufu wake, hautojuta kujifunza neno, bali utajilaumu kwa kuchelewa.
 
Siku ya kwanza ni kwa mujibu wa Gregorian Calenda ambayo ndiyo inahesabu kabla na baada ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo.

Una uhakika gani wa hao Gregorian, ni wacha Mungu kweli?
Na walipewa na nani mamlaka ya kuandika hiyo Kalenda?
 
Una uhakika gani wa hao Gregorian, ni wacha Mungu kweli?
Na walipewa na nani mamlaka ya kuandika hiyo Kalenda?
Elimu ya kalenda haina uhusiano na kumjua Mungu. ni sawa na wale mama Jusi wa mashariki waliokuwa na elimu kuhusu nyota, wakaiona iko tofauti na nyingine wakafuatilia wakahisi kuna kitu cha tofauti kinaambatana na nyota ile.

katika maswala ya kalenda, wamisri walikuwa nazo miaka mingi muno,na ndiyo ilitumika kuitambua siku ya sabato ambapo wayahudi walikuwa wameagizwa kupumzika. Hivyo toka enzi suala la Jumamosi kuwa siku ya saba, na jumapili kuwa siku ya kwanza linafahamika. hakuna jipya hapo
 
Niliwahi kufanya kazi UNHCR-Magharibi mwa Tanzania, katika kambi ya Wakimbizi wa Burundi. Majina ya MUNGU walikuwapo wengi.
Lakini,ukiongelea katika muktadha wa ki-imani, Yesu ni mmoja tu.
 
Ni tofauti na mashahidi. Mashahidi wanaamini kurithi ulimwengu huu, kanisa la kristo huamini ufufuo na uzima wa milele.

Ila ni kweli tunajikita katika mafundisho ya biblia tu, na kufanya kama inavyoelekeza.

Karibu tujifunze neno la Mungu kwa usahihi
Asante
 
Back
Top Bottom