Kanisa la Kristo Morroco na Magomeni

Kanisa la Kristo Morroco na Magomeni

Wewe mnafiki acha uongo watu wanasali kama kawaida nenda pale utaona ratiba msiwe mnapotosha watu kama hamna kazi za kufanya mrudi vijijini kwenu kuliko kuwa unaandika uongo
mbona povu ndg.
wewe kama ni muumini wa hilo kanisa,tupe hata picha moja inayoonyesha madhari ya ndani ya hilo kanisa wakati wa ibada na waumini.

usipofanya hivo,wewe ni mpuuzi.
 
mbona povu ndg.
wewe kama ni muumini wa hilo kanisa,tupe hata picha moja inayoonyesha madhari ya ndani ya hilo kanisa wakati wa ibada na waumini.

usipofanya hivo,wewe ni mpuuzi.
Kanisa lingine kama hilo lipo mtaani kwangu hapa Ubungo external kama unataka kwenda EPz ukichepuka lipo kushoto....kabisa la watakatifu wa mwisho ....ufafanuzi kidogo ...wao watakatifu wa mwisho ndiyo akina nani?
 
Kanisa lingine kama hilo lipo mtaani kwangu hapa Ubungo external kama unataka kwenda EPz ukichepuka lipo kushoto....kabisa la watakatifu wa mwisho ....ufafanuzi kidogo ...wao watakatifu wa mwisho ndiyo akina nani?
hata mimi niliuliza kuhusu hilo la external.[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
hivi haya makanisa tata kati ya lile la kinondoni marroco na lile la barabara ya mandera-ubungo external hatua chache nyuma ya EPZA,yote yapo chini ya taasisi moja?.

na kwanini yanakuwa na ukimya wa kutisha namna ile?.
 
Ni kanisa la Mormon kinaitwa the church of latter-day saints of Jesus Christ, limekua likihusishwa na secret societies kwa miaka mingi.

9 things you should know about Mormonism

In more than half of the states in the U.S., Mormonism is the fastest-growing religion. Although Mormons consider their church to a restorationist movement within Christianity (they believe the Great Apostasy occurred between the time of the New Testament church and it's restoration under Joseph Smith), Mormonism differs radically from the orthodox Christian teachings and beliefs. Here are nine things you should know about Mormon beliefs:

moroni_291_320_90.jpg


1. In 1838, Joseph Smith claims he was told in a revelation that the church should be called The Church of Jesus Christ of Latter-day Saints. Members of the New Testament church were called “saints” (see Acts 9:32, Ephesians 2:19,Philippians 1:1), which is why Mormons call themselves “Latter-day Saints.” As Gordon B. Hinckley, prior president of the LDS church, explains: “They were former-day Saints. We are the Latter-day Saints. It is that simple.” Hinckley adds that they are often called “Mormons” as a nickname given because they believe in the Book of Mormon as the word of God.
2. Mormonism has four written books of scripture: The Book of Mormon: Another Testament of Jesus Christ(which claims to be a record of God’s dealings with the inhabitants of ancient America from 2000 BC to 400 AD), theDoctrine and Covenants (a collection of “revelations and inspired declarations” given for the establishment and regulation of the Church of Jesus Christ in the last days (1830 AD – 1978 AD)),The Pearl of Great Price (a selection of revelations, translations, and writings of Joseph Smith), and the King James Version of the Bible (“We believe the Bible to be the word of God as far as it is translated correctly; we also believe the Book of Mormon to be the word of God.”)

3. The LDS church teaches that as the Bible has been transmitted over the centuries it has “suffered the loss of many plain and precious parts.” They believe the Bible to be the word of God “as far as it is translated correctly” and that the “most reliable way to measure the accuracy of any biblical passage is not by comparing different texts, but by comparison with the Book of Mormon and modern-day revelations.” The KJV is the LDS church's official English Bible, though it has been foot-noted in a way that interprets the meaning to compliment LDS doctrines.

4. The Book of Mormon teaches that only fools say the Bible is sufficient and that other scripture is not needed (“Thou fool, that shall say: A Bible, we have got a Bible, and we need no more Bible.” (2 Nephi 29:6)). The Book of Mormon contains many linguistic similarities to the King James Bible, including entire passages duplicated word-for-word. For example, the Book of Mormon contains 19 chapters of the King James translation of Isaiah in their entirety.

5. The LDS church subscribes to the doctrine of continual revelation: “We believe all that God has revealed, all that He does now reveal, and we believe that He will yet reveal many great and important things pertaining to the Kingdom of God.” Mormons believe such apostolic revelation is inspired, but not infallible, and can supersede previous revelation, including that found in their scriptures. The only one authorized to bring forth new doctrineis the President of the Church, who, when he does, will declare it as revelation from God, and it will be accepted the church's First Presidency and Quorum of the Twelve Apostles, and then sustained by the body of the church.

6. Unlike Christian Trinitarianism (one God existing in three Persons), Mormons believe that the Father, Son, and Holy Ghost are three separate gods. They also believe the Father and Son each have a “body of flesh and bones as tangible as man’s” but that the Holy Ghost “has not a body of flesh and bones, but is a personage of Spirit.” According to Joseph Smith, when Adam was formed in the image of God, it was a physical image. God the Father was once a mortal who lived on an earth. He died, was resurrected, glorified, and grew into his deified status. (According to Joseph Smith, there is a “God above the Father of our Lord Jesus Christ.”) God the Father is the literal father of all spirit-children, including Jesus and the Holy Ghost, whose divinity is derived from the parent-child relationship. Within Mormonism, Jesus is identified with the Yahweh of the Old Testament.

7. According to Mormonism, everything in the universe — including God —is ultimately governed by eternal transcendent laws and principles. In LDS teaching, all the Father’s children (including humans) possess the same potential to become gods (like the Father, Jesus, and the Holy Ghost) since they are of the same species. Every human spirit once existed as a divine intelligence before becoming the spirit-children of the Father.

8. Prior to creation human spirits were literal children of heavenly parents. Although their spirits were created, the essential “intelligence” of these spirits is considered eternal, and without beginning. At a family council, God the Father told the spirit-children that according to his “plan of salvation” they would have to leave their heavenly home, take on human bodies, and be tested before they could progress to godhood. Satan rejected this plan and wanted to implement one that would have involved loss of moral agency. Jesus opposed Satan and offered an alternative plan in which he would take on human form and live a sinless life so that his spirit brothers and sisters could become gods. When his plan was not accepted, Lucifer is said to have rebelled and taken “the third part” of the hosts of heaven with him to the earth to serve as tempters.

9. Mormons believe in a universal salvation for everyone from death (this is what they refer to when they speak of “salvation by grace alone.”). But after the body is reunited with the spirit, humans go to different places:

Anti christ church

Bashite nasikia katika kutangatanga kwake ameshasali mpaka humo kwa latter days saints mpaka masjid alienda
 
Kanisa lingine kama hilo lipo mtaani kwangu hapa Ubungo external kama unataka kwenda EPz ukichepuka lipo kushoto....kabisa la watakatifu wa mwisho ....ufafanuzi kidogo ...wao watakatifu wa mwisho ndiyo akina nani?

Aha Hilo karibia na TFDA unapita hapo kituo kidogo cha polisi xternal ukilipita mbele kuna lutheran ukienda mbele zaidi Roma makuburi
 
Kwa lile la Morocco sijalifahamu vizuri, ila hili la Kristo kwa ninavyolielewa halina shida yeyote na ni moja kati ya makanisa kongwe sana hapa nchini...lipo karibia mikoa yote ni maarufu kama " KANISA LA KRISTO". Tofauti ni kwamba hawa sio watu wa tikadi kali kama makanisa mengine ya kilokole. Wamebase sana katika kufundisha biblia na ibada zao huwa ni fupi, pia halina waumini wengi. (Utaratibu wao hautofautiani sana na wale Mashahidi wa Yehova).

Shida yetu kanisa la Morocco usiwe kama Makonda hata akiulizwa kutokuwa na mtoto anajibu vita ya madawa ya kulevya
 
Naona hakuna swali zaidi kuhusu kanisa la Kristo, ngoja nilale sasa.

Jihadharini na matapeli wa neno la Mungu. Madhehebu yenu ni sehemu ya utapeli wa neno la Mungu.

Yesu aliacha kanisa moja tu, ndio wanafunzi wake. Waliolipokea mwanza wakafanya yao, ndio tukapata madhehebu. Yameusumbua ulimwengu, na yamekamata wengi kwa ile kutumia jina la Yesu katika mambo yao.

Lakini nawaambia Yesu hawajui hao na madhebu yao. Lengo lake tuwe wana wa Mungu wa kulishika neno lake
 
Hilo kanisa ambalo mwanzilishi wake alioa waumini wake wote wa kike?
He he heeee? Kanisa la Kristo halina mambo hayo. Wewe si uko dsm? Fika uone tofauti ya kumwabudu Mungu. Utajua mengi yakiwemo madhehebu yalivyo badili neno wakaweka swaga zao wenyewe
 
Anadanganya, magomeni unaruhusiwa. Tena kuna masomo ya biblia bure kabisa hudaiwi chochote. Ntaweka ratiba soon, kuna mhusika nimemtumia anitumie ratiba ya wiki
Siku ya jumatano ndo siku ya mafundisho ya biblia. Hukusanyika watu kibao ambao wanataka kujifunza neno lake. Ni 16:00-18:00
 
He he heeee? Kanisa la Kristo halina mambo hayo. Wewe si uko dsm? Fika uone tofauti ya kumwabudu Mungu. Utajua mengi yakiwemo madhehebu yalivyo badili neno wakaweka swaga zao wenyewe
Mkuu nashukuru sana kwa jitihada zako. Wacha tusubiri wa Morocco waje
 
Nilivyokuwa marekani nili sali sana kwenye haya makanisa, wana upendo wa ajabu! Niliwapenda sana system yao ya upendo!
Yapi mkuu? Church of Christ au Jesus Christ Church?
 
Hata mie nimelifahamu kupitia somo la divinity, na leo ni muumini. Ziseme tu, ndo watu watafunguka. Ibada za kanisa la Kristo siyo siri, ni wazi na kama biblia ilivyoagiza.

Ni kweli liko tofauti sana, maana halina kiongozi mkuu. Baraza la wazee lipo, na hakuna anayelipwa mshahara kwa kuwa kiongozi wa kanisa. Ni wito kama Paulo, hakuna kumwelemea mtu labda kama wewe ni missionary, utalipwa posho
Kiongozi mkuu ni Yesu Kristo, Mchungaji ni Yesu na askofu ni Yesu. Sababu ni masharti ya neno la sifa za mtu kuwa askofu, ni ngumu kuzikamikisha na hata kama umezifikisha hakuna atakayethibitisha kama umezifikia hivyo inabaki siri yako na Mungu.

Hivyo kuwa askofu siyo cheo cha kulipwa, bali ni daraja tu la utumishi katika imani
 
Back
Top Bottom