Kanisa la Kristo Morroco na Magomeni

Kanisa la Kristo Morroco na Magomeni

FB_IMG_1541070170892.jpg
 
Nimeona mdau mmoja akiuliza kuhusu Kanisa la Silom na Mimi nikapata wazo la kuuliza kuhusu makanisa mawili niliyotaja hapo juu. Hivi haya makanisa yana waumini kweli maana sijawahi kuona watu wakiingia kuabudu wala kuona magari yamepaki nje pamoja na kuonekana kuwa ni makubwa sana.

Samahani kama nitakuwa nimemkwaza mtu
Miichango ya bwana imezidi
 
KEKO PIA, MLANDIZI, KITUNDA, CHANIKA, MSASANI, MJI MWEMA, TABORA, MOSHI, DODOMA, MOROGORO, MWANZA, SUMBAWANGA, KIGOMA
 
Back
Top Bottom