Tetesi: Kanisa la Gwajima kufunguliwa hivi karibuni

Alitoa ushauri .....
Mashauri 4 ikiwemo kufungua kanisa,na Lissu kuachiliwa..,
SS wafanye yote ....
Wakumbuke Leo ni Sept to remember...

Btw, wafungue wasifungue nusu mlingoti uhakika,Mungu Yuko kazini
Nasikia mabishano yalikuwa makali sana kwenye kikao.....wajumbe wengine walitaka waende na yote huku wengine wakitaka waanze na ufunguzi wa kanisa kwanza. Anyway, ngoja tusikilizie huyo mjumbe watakayemtuma atakuja kuongea nini kwenye press conference.
 
Kufuatia Askofu Dr Josephat Gwajima kutoa ultimatum ya siku 10 kwa kanisa lake kufunguliwa, taarifa za chinichini zinasema kwamba serikali, kupitia msajili wa vyama vya kijamii, iko mbioni kuandaa press conference kwa ajili ya kujiokoa na zahma ya bomu atakalolipua Gwajima ikiwa siku zitaisha kabla ya serikali haijafungua kanisa lake. Tukumbuke kuwa katika siku 10 alizotoa zimebaki 4 tu.

Huko serikalini ni patashika nguo kuchanika! Watu wanakimbizana usiku na mchana kuwahi deadline. Mkubwa mmoja amedokeza kwamba vigogo wanatupiana mpira kuhusu nani hasa ajitokeze hadharani kumjibu Gwajima, kuomba radhi na kisha kulifungua kanisa. Hata hivyo, kuna mwanapropaganda mmoja kutoka ndani ya chama na serikali ambaye amependekezwa kufanya hilo jukumu zito linaloogopwa na kila mtu.

"Hakikisha kabla siku hazijaisha kanisa la huyu Askofu liwe limefunguliwa". Alisikika kigogo mmoja akitoa maagizo aliyoyapokea kutoka juu.

MAONI YANGU
Kama kweli serikali ni sikio la kufa wangeacha wasifungue kanisa hili tuone kama bomu la Gwajima lingewaacha salama. Huyu Askofu sio muoga kama Polepole. Ikiwa serikali ingetia nta masikioni, yeye angeliamsha dude na kulipua kitu "paaaa!" bila kumuogopa mtu yeyote. Uzuri mtu anayemuamini na kumtegemea Mungu hana chochote anachokiogopa chini ya jua. Nashukuru serikali imesikia ushauri wa Gwajima na kutilia maanani kilio cha wafuasi wa kanisa la Ufufuo na Uzima wanaotangatanga huku na kule kama makinda ya ndege wakikosa mahali pa kumuabudia Mungu wao. Sasa kilio chao kimesikika na hivi punde watarejea kwenye madhabahu ya Ufufuo na Uzima kumuabudu na kumuimbia Bwana kama ilivyokuwa awali.
​
Ni Jambo zuri na Mungu atawabariki
 
Nasikia mabishano yalikuwa makali sana kwenye kikao.....wajumbe wengine walitaka waende na yote huku wengine wakitaka waanze na ufunguzi wa kanisa kwanza. Anyway, ngoja tusikilizie huyo mjumbe watakayemtuma atakuja kuongea nini kwenye press conference.
Let's wait
Au wanataka tusimsikilize Pole 2?😂

Msaada nje ya mada, VPN ipi nzuri
 
Story za vijiweni mkivuta bangi
Kwa mtu muabudu sanamu ,kama wewe, huwezi kuamini hili jambo. Hata Nuhu alitukanwa sana wakati anajenga safina. Cha ajabu haohao waliokuwa wakimtukana ndio walilia kumuomba awafungulie milango baada ya gharika kuanza kurindima.
 
Kufuatia Askofu Dr Josephat Gwajima kutoa ultimatum ya siku 10 kwa kanisa lake kufunguliwa, taarifa za chinichini zinasema kwamba serikali, kupitia msajili wa vyama vya kijamii, iko mbioni kuandaa press conference kwa ajili ya kujiokoa na zahma ya bomu atakalolipua Gwajima ikiwa siku zitaisha kabla ya serikali haijafungua kanisa lake. Tukumbuke kuwa katika siku 10 alizotoa zimebaki 4 tu.

Huko serikalini ni patashika nguo kuchanika! Watu wanakimbizana usiku na mchana kuwahi deadline. Mkubwa mmoja amedokeza kwamba vigogo wanatupiana mpira kuhusu nani hasa ajitokeze hadharani kumjibu Gwajima, kuomba radhi na kisha kulifungua kanisa. Hata hivyo, kuna mwanapropaganda mmoja kutoka ndani ya chama na serikali ambaye amependekezwa kufanya hilo jukumu zito linaloogopwa na kila mtu.

"Hakikisha kabla siku hazijaisha kanisa la huyu Askofu liwe limefunguliwa". Alisikika kigogo mmoja akitoa maagizo aliyoyapokea kutoka juu.

MAONI YANGU
Kama kweli serikali ni sikio la kufa wangeacha wasifungue kanisa hili tuone kama bomu la Gwajima lingewaacha salama. Huyu Askofu sio muoga kama Polepole. Ikiwa serikali ingetia nta masikioni, yeye angeliamsha dude na kulipua kitu "paaaa!" bila kumuogopa mtu yeyote. Uzuri mtu anayemuamini na kumtegemea Mungu hana chochote anachokiogopa chini ya jua. Nashukuru serikali imesikia ushauri wa Gwajima na kutilia maanani kilio cha wafuasi wa kanisa la Ufufuo na Uzima wanaotangatanga huku na kule kama makinda ya ndege wakikosa mahali pa kumuabudia Mungu wao. Sasa kilio chao kimesikika na hivi punde watarejea kwenye madhabahu ya Ufufuo na Uzima kumuabudu na kumuimbia Bwana kama ilivyokuwa awali.
​
Chai
 
Wasifungue hadi siku kumi itakua poa sana tusikie vya sirini.
 
Gwajima kwenye kuongea ndio kazi yake...
Ana uwezo na utaalamu mkubwa wa kumbadili mtu anavyofikiria, ana uwezo mkubwa pia wa kushawishi watu...
Ni mchungaji mkubwa, na wachungaji ndizo kazi zao...

Yaani kuchafua hali ya hewa ni dakika 0... nadhani anaogopeka kuliko hata Polepole...
 
Whatsover you think; let us wait and see what gona happen in reality. But dont think CCM dynasty is such a bunch of foolish people....they are clever. They've weighed out the repercussion of Gwajima's threat and decided to surrender unconditionally before it is too late.
 
Gwajima kwenye kuongea ndio kazi yake...
Ana uwezo na utaalamu mkubwa wa kumbadili mtu anavyofikiria, ana uwezo mkubwa pia wa kushawishi watu...
Ni mchungaji mkubwa, na wachungaji ndizo kazi zao...

Yaani kuchafua hali ya hewa ni dakika 0... nadhani anaogopeka kuliko hata Polepole...
Upo sahihi mkuu. Gwajima ni balaa kuliko Polepole mara 💯
 
Back
Top Bottom