Tetesi: Kanisa la Gwajima kufunguliwa hivi karibuni

Kufuatia Askofu Dr Josephat Gwajima kutoa ultimatum ya siku 10 kwa kanisa lake kufunguliwa, taarifa za chinichini zinasema kwamba serikali, kupitia msajili wa vyama vya kijamii, iko mbioni kuandaa press conference kwa ajili ya kujiokoa na zahma ya bomu atakalolipua Gwajima ikiwa siku zitaisha kabla ya serikali haijafungua kanisa lake. Tukumbuke kuwa katika siku 10 alizotoa zimebaki 4 tu.

Huko serikalini ni patashika nguo kuchanika! Watu wanakimbizana usiku na mchana kuwahi deadline. Mkubwa mmoja amedokeza kwamba vigogo wanatupiana mpira kuhusu nani hasa ajitokeze hadharani kumjibu Gwajima, kuomba radhi na kisha kulifungua kanisa. Hata hivyo, kuna mwanapropaganda mmoja kutoka ndani ya chama na serikali ambaye amependekezwa kufanya hilo jukumu zito linaloogopwa na kila mtu.

"Hakikisha kabla siku hazijaisha kanisa la huyu Askofu liwe limefunguliwa". Alisikika kigogo mmoja akitoa maagizo aliyoyapokea kutoka juu.

MAONI YANGU
Kama kweli serikali ni sikio la kufa wangeacha wasifungue kanisa hili tuone kama bomu la Gwajima lingewaacha salama. Huyu Askofu sio muoga kama Polepole. Ikiwa serikali ingetia nta masikioni, yeye angeliamsha dude na kulipua kitu "paaaa!" bila kumuogopa mtu yeyote. Uzuri mtu anayemuamini na kumtegemea Mungu hana chochote anachokiogopa chini ya jua. Nashukuru serikali imesikia ushauri wa Gwajima na kutilia maanani kilio cha wafuasi wa kanisa la Ufufuo na Uzima wanaotangatanga huku na kule kama makinda ya ndege wakikosa mahali pa kumuabudia Mungu wao. Sasa kilio chao kimesikika na hivi punde watarejea kwenye madhabahu ya Ufufuo na Uzima kumuabudu na kumuimbia Bwana kama ilivyokuwa awali.
​
Kwa hiyo serikali imetangaza kulifungua? au unaota?
 
Pia tusisahau leo ni siku ya 7 kati ya 9 za NOVENA ya Kanisa Katoliki Tanzania 🇹🇿
Amen mkuu. Hapa mama na serikali yake hana pa kuchomokea....amekubali yaishe!
 
Kufuatia Askofu Dr Josephat Gwajima kutoa ultimatum ya siku 10 kwa kanisa lake kufunguliwa, taarifa za chinichini zinasema kwamba serikali, kupitia msajili wa vyama vya kijamii, iko mbioni kuandaa press conference kwa ajili ya kujiokoa na zahma ya bomu atakalolipua Gwajima ikiwa siku zitaisha kabla ya serikali haijafungua kanisa lake. Tukumbuke kuwa katika siku 10 alizotoa zimebaki 4 tu.

Huko serikalini ni patashika nguo kuchanika! Watu wanakimbizana usiku na mchana kuwahi deadline. Mkubwa mmoja amedokeza kwamba vigogo wanatupiana mpira kuhusu nani hasa ajitokeze hadharani kumjibu Gwajima, kuomba radhi na kisha kulifungua kanisa. Hata hivyo, kuna mwanapropaganda mmoja kutoka ndani ya chama na serikali ambaye amependekezwa kufanya hilo jukumu zito linaloogopwa na kila mtu.

"Hakikisha kabla siku hazijaisha kanisa la huyu Askofu liwe limefunguliwa". Alisikika kigogo mmoja akitoa maagizo aliyoyapokea kutoka juu.

MAONI YANGU
Kama kweli serikali ni sikio la kufa wangeacha wasifungue kanisa hili tuone kama bomu la Gwajima lingewaacha salama. Huyu Askofu sio muoga kama Polepole. Ikiwa serikali ingetia nta masikioni, yeye angeliamsha dude na kulipua kitu "paaaa!" bila kumuogopa mtu yeyote. Uzuri mtu anayemuamini na kumtegemea Mungu hana chochote anachokiogopa chini ya jua. Nashukuru serikali imesikia ushauri wa Gwajima na kutilia maanani kilio cha wafuasi wa kanisa la Ufufuo na Uzima wanaotangatanga huku na kule kama makinda ya ndege wakikosa mahali pa kumuabudia Mungu wao. Sasa kilio chao kimesikika na hivi punde watarejea kwenye madhabahu ya Ufufuo na Uzima kumuabudu na kumuimbia Bwana kama ilivyokuwa awali.
​
Hakuna kitu kama hicho lazima wadinde
 
Kwa hiyo Kanisa likifunguliwa hayo madai mengine ndiyo basi tena?
Lissu kuachiwa?
Kukubali kufanya Rerforms ili CDM wakubali kushiriki kwenye uchaguzi?
 
Wanaenda hatua kwa hatua mkuu. Wameona waanze na hili la Gwajima kabla hajawalipua bomu.
 
Kufuatia Askofu Dr Josephat Gwajima kutoa ultimatum ya siku 10 kwa kanisa lake kufunguliwa, taarifa za chinichini zinasema kwamba serikali, kupitia msajili wa vyama vya kijamii, iko mbioni kuandaa press conference kwa ajili ya kujiokoa na zahma ya bomu atakalolipua Gwajima ikiwa siku zitaisha kabla ya serikali haijafungua kanisa lake. Tukumbuke kuwa katika siku 10 alizotoa zimebaki 4 tu.

Huko serikalini ni patashika nguo kuchanika! Watu wanakimbizana usiku na mchana kuwahi deadline. Mkubwa mmoja amedokeza kwamba vigogo wanatupiana mpira kuhusu nani hasa ajitokeze hadharani kumjibu Gwajima, kuomba radhi na kisha kulifungua kanisa. Hata hivyo, kuna mwanapropaganda mmoja kutoka ndani ya chama na serikali ambaye amependekezwa kufanya hilo jukumu zito linaloogopwa na kila mtu.

"Hakikisha kabla siku hazijaisha kanisa la huyu Askofu liwe limefunguliwa". Alisikika kigogo mmoja akitoa maagizo aliyoyapokea kutoka juu.

MAONI YANGU
Kama kweli serikali ni sikio la kufa wangeacha wasifungue kanisa hili tuone kama bomu la Gwajima lingewaacha salama. Huyu Askofu sio muoga kama Polepole. Ikiwa serikali ingetia nta masikioni, yeye angeliamsha dude na kulipua kitu "paaaa!" bila kumuogopa mtu yeyote. Uzuri mtu anayemuamini na kumtegemea Mungu hana chochote anachokiogopa chini ya jua. Nashukuru serikali imesikia ushauri wa Gwajima na kutilia maanani kilio cha wafuasi wa kanisa la Ufufuo na Uzima wanaotangatanga huku na kule kama makinda ya ndege wakikosa mahali pa kumuabudia Mungu wao. Sasa kilio chao kimesikika na hivi punde watarejea kwenye madhabahu ya Ufufuo na Uzima kumuabudu na kumuimbia Bwana kama ilivyokuwa awali.
​
Kufunga makanisa ya ufufuo na uzima lilikuwa ni kosa la kimkakati. Kimsingi huu uamuzi umechelewa sana, ila tunaupongeza. Tujisahihishe
 
Kufunga makanisa ya ufufuo na uzima lilikuwa ni kosa la kimkakati. Kimsingi huu uamuzi umechelewa sana, ila tunauponfeza. Tujisahihishe
Kweli kabisa mkuu. Walipaswa kumfungia Gwajima peke yake sio kanisa lote. Kanisa halikuwa na kosa lolote. By the way, hata Gwajima hana kosa bali kasema ukweli tupu! Serikali inayoabudu sanamu haipendi kuona makanisa yakichanua. Ni shida sana.
 
Wakisikia hawa chiembe Wafuasi wa Rais Tlaatlaah Lucas Mwashambwa October 2pm MamaSamia2025

Pesa waliokula watatoa vinyeo leo ndani ya jengo la CCm mpaka kunuke mavi.
IMG_2194.jpeg
 
Kufuatia Askofu Dr Josephat Gwajima kutoa ultimatum ya siku 10 kwa kanisa lake kufunguliwa, taarifa za chinichini zinasema kwamba serikali, kupitia msajili wa vyama vya kijamii, iko mbioni kuandaa press conference kwa ajili ya kujiokoa na zahma ya bomu atakalolipua Gwajima ikiwa siku zitaisha kabla ya serikali haijafungua kanisa lake. Tukumbuke kuwa katika siku 10 alizotoa zimebaki 4 tu.

Huko serikalini ni patashika nguo kuchanika! Watu wanakimbizana usiku na mchana kuwahi deadline. Mkubwa mmoja amedokeza kwamba vigogo wanatupiana mpira kuhusu nani hasa ajitokeze hadharani kumjibu Gwajima, kuomba radhi na kisha kulifungua kanisa. Hata hivyo, kuna mwanapropaganda mmoja kutoka ndani ya chama na serikali ambaye amependekezwa kufanya hilo jukumu zito linaloogopwa na kila mtu.

"Hakikisha kabla siku hazijaisha kanisa la huyu Askofu liwe limefunguliwa". Alisikika kigogo mmoja akitoa maagizo aliyoyapokea kutoka juu.

MAONI YANGU
Kama kweli serikali ni sikio la kufa wangeacha wasifungue kanisa hili tuone kama bomu la Gwajima lingewaacha salama. Huyu Askofu sio muoga kama Polepole. Ikiwa serikali ingetia nta masikioni, yeye angeliamsha dude na kulipua kitu "paaaa!" bila kumuogopa mtu yeyote. Uzuri mtu anayemuamini na kumtegemea Mungu hana chochote anachokiogopa chini ya jua. Nashukuru serikali imesikia ushauri wa Gwajima na kutilia maanani kilio cha wafuasi wa kanisa la Ufufuo na Uzima wanaotangatanga huku na kule kama makinda ya ndege wakikosa mahali pa kumuabudia Mungu wao. Sasa kilio chao kimesikika na hivi punde watarejea kwenye madhabahu ya Ufufuo na Uzima kumuabudu na kumuimbia Bwana kama ilivyokuwa awali.
​
Hakuna Serikali ya kijinga inayoogoma matamko ya manabii wa Mchongo!
 
Alitoa ushauri .....
Mashauri 4 ikiwemo kufungua kanisa,na Lissu kuachiliwa..,
SS wafanye yote ....
Wakumbuke Leo ni Sept to remember...

Btw, wafungue wasifungue nusu mlingoti uhakika,Mungu Yuko kazini
 
Back
Top Bottom