Kanisa la Efatha la Mch. Mwingira limejengwa sehemu ambayo nina mashaka nayo

Ndiyo maana watanzania na wapiga kura na usalama huangalia ni nani yupo kwa maslahi ya nchi. Lisu hajafanyiwa hata vetting eti aje awe rais hahahahahahahahahahahahahahahahaha vichekesho vya dunia.

Sawa ,tunajua CCM mtaitawala Milele hii Tanzania hapo je .
 
Pumzi unayopumua leo ni baada ya mama yako kukubali utoa jasho, machozi na maumivu wakati wa kukuzaa. Ni sawa sawa na sisi wafanyakazi ni lazima tukubali kuteseka ili mema ya nchi yaje yawe mfano kwa vizazi vya baadaye.
Kwahiyo mama yenu ana mimba ya miundombinu ili mje mzaliwe.?
 
Siasa za Kenya zina ukabila, yaani muungano wa makabila ndiyo huamua rais, haijalishi sera. Tanzania hatuna ukabila. Wanaoamua nani awe rais ni watanzania. Ndiyo maana wana Kilimanjaro waliomba msamaha baada ya 2015 kutumia kete ya ukabila kushindwa.
Mkuu hebu leta ushahidi wa hao watu wakilimanjaro walio omba msamaha kama hutojali
 
Mimi siyo shabiki wala mfuasi wa Mwingira ila kabla ya October 28 Mch Mwingira ajiandae kwa yafuatayo:
1. Kuulizwa uraia wake
2. Kuulizwa mapato ya kanisa
3. Kuulizwa records zake za ulipaji kodi
4. Usajili wa kanisa lake
5. Kuulizwa bodi ya wadhamini wa kanisa lake
6. Mahusiano yake na waumini wanawake
7. Silaha anayomiliki
8. Uhusuano wake na chadema
9. Kujenga eneo lisilotakiwa
Ambayo yatampaisha tena na kumrudisha kileleni
 
Ka-tortoise alinyooshwa kweri kweri, akanyooka mpaka akapitiliza, sasa ndiye anasifu kuliko aliowakuta kwenye praise team.
Mwingira kasema ukweli ambao unaweza kumgharimu, amejiandaa vipi yeye ndiye anajua na Mungu wake.
eti kartoise alinyooshwa Hadi kawazidi waimba mapambio wenyewe, Ila Africa huwa tunakosea Sana kutokuruhusu kutofautiana mitazamo ndio maana umaskini hauiishi
 
Kwanini usiseme tu kwakuwa sasa Mwingira amesema kwa Tundulisu anaonyesha Mungu yupamoja naye kwa kupona kutoka mautini nakukubalika na Watanzania kiajabu.Ana miaka mingi pale wewe una his I umegundua Leo.
 
Wakati mwingine Njia za Mungu hazichunguziki. Daudi anafahamu fika Sauli ni mpakwa mafuta wa Bwana lakini naye amepakwa mafuta tayari kushika nafasi ya Sauli. Kifupi Sauli (Magu) aanze kuondoka maana Daudi (Lissu) majira haya ni yake na anatakiwa kutangazwa kuwa mfalme.
Aliye wa Mungu hawezi kumkufuru muumba wake.

Lissu hana Mungu, anaunga mkono ushoga hivyo usifananishe mwanga na giza
 
Ile helcopter ya Gwajima pale airport haijalipiwa kodi miaka mitatu sasa chunguzeni pia.
 
Sawa, kuna utofauti wa hizo tawala mbili...ila ukae ukijua upo utawala ambao ni superior kwa mwingine..endeleeni kujitelenya. TUMEWSCHOKA!
Yaani ukiukataa ukweli kwasababu ya kiburi chako haimaanishi kuwa ukweli husika utabadilika kuwa uongo. Mazingira ya siasa za nchi hii kupiga kura ni mchakato wa ushahidi wa demokrasia tu.

Pia, mosi, iangalie Tanzania na ukubwa wake kisha jiulize ni chama gani cha upinzani kinaweza kuwafikia watanzania nchi nzima kwenye kampeni zao? Pili, nani anatunza dafutari la wapigakura? Je, una uhakika gani ka idadi ya wapiga kura 29m kweli hao wote wapo au ni zaidi au pungufu ya hao? Nani anachapisha na kusambaza karatasi za kupigia kura? Nani anasimamia upigaji wa kura na kumtangaza mshindi?

Kuna vigezo vingi sana ikiwemo ukomavu afifu wa kitaasisi wa vyama vya upinzani na sera dhaifu za vyama vya upinzani. Bila kusahau huruka ya Lissu kuchanganya uongo na ukweli ktk kampeni zake na kupinga kila kitu kwa sababu dhaifu sana.
 
Ndiyo maana watanzania na wapiga kura na usalama huangalia ni nani yupo kwa maslahi ya nchi. Lisu hajafanyiwa hata vetting eti aje awe rais hahahahahahahahahahahahahahahahaha vichekesho vya dunia.
Kama vetting hufanywa, waliofanya iliyo muibua magufuli wanatakiwa kunyongwa kabisa.
 
Mimi siyo shabiki wala mfuasi wa Mwingira ila kabla ya October 28 Mch Mwingira ajiandae kwa yafuatayo:
1. Kuulizwa uraia wake
2. Kuulizwa mapato ya kanisa
3. Kuulizwa records zake za ulipaji kodi
4. Usajili wa kanisa lake
5. Kuulizwa bodi ya wadhamini wa kanisa lake
6. Mahusiano yake na waumini wanawake
7. Silaha anayomiliki
8. Uhusuano wake na chadema
9. Kujenga eneo lisilotakiwa
Ukweli mchungu,hawa wafia dini wanajisahau sana kama na wao wana migape kibao.mwenzao gwaji kasoma nyakati,
Sasa subiri nyundo za hao wawili mwingira na yule muhaya kule yule ndo kabis akusanye virago kwenda Burundi huko.
lete safari bariid na kaukau sinema linaanza soon
 
TRA lazima ipige hodi kucheki kama amelipa kodi ndani ya miaka 10 iliyopita pia kucheki kama account zake na zile za kanisa kama hakina pesa chafu!!

Hii ni ndani ya wiki hii...iite hii kuwa ni wiki ya misukosuko kwake na kwa kanisa.
 
Back
Top Bottom