Kwani kuna sehemu mimi nilikuambia umesema ukristo ni dini ??Kuna sehemu mimi nimesema Ukristo ni dini ?
Dini yangu hata huijui
Mbona ulisema kila mtu abaki na dini yake , wewe leo huna dini ??
Kwani kuna sehemu mimi nilikuambia umesema ukristo ni dini ??Kuna sehemu mimi nimesema Ukristo ni dini ?
Dini yangu hata huijui
naona unayayatika tu bila kuleta aya yesu kasulubiwa , inaonyesha huna na ukweli wa kuwa hakusulubiwa hutaki kuukubali kwa kiburi cha shetaniNi rahisi sana mtu akisolve swali fulani la hesabu gumuu, likamshinda kupata jibu
Ni rahisi kusema swali limekosewa.
Nilitaka kushangaa bila kutaja kanisa KATOLIKI🤣🤣Sitaweka vifungu vya biblia lakini kwa atakayetaka apewe na vifungu wapi imeandikwa Tutampa.
Mada ni Taifa la Mungu Israel na Taifa la Mungu Tanzania.
Ushindani kati ya nguvu ya Uchawi (giza) na nguvu ya Nuru umeanza tangu Binadamu alipoumbwa hapa duniani.
Na sehemu nyingi kuonekana Nguvu ya uchawi Kutawala sana Ardhi na Mataifa mengi kuliko Nguvu ya Nuru (Mema).
Mifano ni Mingi,
1. Israel kumuacha Mungu na kufata ibada za sanamu kwenye milima.
2. Elia Kukimbia nchi yake kisa Manabii wa uwongo kutawala na Mfalme.
3. Yesu kusurubiwa na wayahudi
4. Unamkumbuka Nabii Elia na Manabii wa bahali kutoka kwa mfalme?
5. Kipindi Mungu anatoa adhabu kwa taifa la Israel kwenda Uamishoni, Mfalme wa babeli akaja akateka taifa zima Likapelekwa utumwani na mfalme wao akatekwa.
Kosa ni kumsahau Mungu wao.
Ndipo kina Daniel wanakuwa wasomi katika utawala wa kitumwa, mbele ya Mfalme Nebukadneza.
Mfalme Nebukadneza alikuwa Mpagani na Miungu wengi, Lakini Mungu alimpa kazi ya Kuchapa fimbo taifa lake la Israel.
Giza ni Kama siku zote uonesha dalili za kuitawala Nuru kwa miaka mingiiii
✓ Ibada ya Sanamu.
Kwanini ibada ya Sanamu inawashawishi wengi, kwasababu inatoa Mwanya wa kuonea watu wengine (Wivu)
Kwanini Mungu akupe wewe mimi asinipe ? Wizi na kuwafanya wengine mateka kwa ushawishi wa Ujinga na shetani.
Kwahiyo naweza tumia uchawi kuiba ulichonacho wewe kama hutokua makini.
Ni vita yetu hii ya siku zote.
Sasa Utagundua Kanisa kama Viongozi wa kidini Wengi Huonekana Kutekwa na Nguvu ya Giza na kulipoza Kanisa.
Kujua msingi wa imani yako ni funguo ya kwanza, Lakini fungua ya geti la pili huna ? basi mpaka wa Maisha yako ni kwenda Mbinguni. Lakini hujui huishi vipi hapa duniani na utaishi Miaka mingapi.
Mungu humpa Mtu mitihani Migumu kumpima, ndipo ampe ukuu na Mamlaka.
Daudi alitafutwa kuuliwa na Mfalme wa kwanza wa Israel (Sauli), akaishi kama mkimbizi, baadae ndio Akawa Mfalme wa Pili.
Kwahiyo Kipindi au nyakati za Giza kuonekana na nguvu kuliko nuru uwa kipo sana.
✓ Hali ya Makanisa Yetu Tanzania Taifa la Mungu.
Madhehebu yenye watu wengi.
1. Romani Katoliki:
Ingawa ndio kanisa linawaumini wengi, Wameshika imani ya jina lake Mungu, lakini makanisa yao yamejaa Sanamu, na mapokeo Mengi yasio na faida kiroho.
Viongozi wake wawe na maono au wasiwe na Maono lakini Mungu anakwenda Kuwatumia Viongozi wa Kanisa Katoliki, Kuwapa Tanzania Mfalme amtakae Mungu.
2. Kanisa la Kilutheri (KKKT).
Pamoja na kuwa kanisa hili limekua na misingi mizuri na mapokeo yasio kosolewa sana,
Kanisa hili limekuwa na viongozi wasiokuwa waadilifu kumtumikia Mungu, na matokeo yake kumezwa na Mungu Pesa,
Giza likazidi kutanda
Piga mchungaji kondoo watawanyike.
3. Makanisa ya Kipentekoste.
Baada ya Shetani na Giza lake Kutanda kwa Viongozi wa juu,
Kanisa likajaza Wachungaji wengi wahuni na Watumia nguvu za giza.
Pamoja na kwamba walianza vizuri rohoni, sasa wengi wao wameangukia mwilini na Gizani.
4. Wasabato ( SDA )
Mwanzilishi wa dhehubu hili alikua makini sana, Lakini Unafiki na Kiburi ukazidi kulifunika kanisa, na kufanya kanisa kukosa Nguvu, Mwisho ni wafungwa midomo na Jezebeli kama viongozi wa madhehebu mengine.
Ni hayo tu kwa kanisa la Tanzania Taifa teule
Nuru inakuja, Mfalme Daudi atakapokalia kiti cha Ufalme.
dini gani ??ninayo dini na mimi
Tusifike mbali Bro, maisha yako yapo mikononi mwako, amua unavyotaka, But huwez kuishi bila watu(system)Maana yake Jenga Kanisa lako.
Misingi ya kumjua Mungu unafikiri ni hadi uende kanisani ?
Ukisali wewe mke wako na watoto kama Ibrahimu na Yakobo unafikiri ni makosa ???
Kuhusu Mada ya huu uzi ni.... kwa kifupi inahusu.Kwahiyo Mungu amekupa Direction ww ya wap kwa kusali?
Na kwa maneno yako. Ni Kuwa Mungu atamuelekeza kila mtu wap akasali?.
Kanisa Kuzidiwa na Uchawi sijaona pia maelezo yake kama Kichwa cha mada kinavyosema.
(Umetaja Sanamu za Cathoric) na mm nikatoa mapokea ya madhehebu mengne ambayo hayana Sanamu na mapokeo yao.)
Mm sijaelewa Tangu mwanzo. Ndio maana nika declare tangu mwanzo. Sijakuelewa na hata kusoma mara ya 3. Bado sijapata nini hasa unataka kusema.
Nakuheshimu Na ndio maana naona mm ndio sijakuelewa.
Ila si umejifunza yale uliyokuwa huyajuwi si ndiyo? Nimekufungua akili ila bado unataka jiaminisha ujinga, soma mkuu.Kujibizana na mlevi , unapiga ngumi ukuta
Unaonekana kidogo akili umeanza kurudi , efter weekendIla si umejifunza yale uliyokuwa huyajuwi si ndiyo? Nimekufungua akili ila bado unataka jiaminisha ujinga, soma mkuu.