Kanisa kuzidiwa na Uchawi (Giza)

Kanisa kuzidiwa na Uchawi (Giza)

Anza na fumbo hili

Msingi wa Ukristo siku hizi ni kifo cha msalaba cha bwana Yesu a.s. Mayahudi na Wakristo wanadhani kwamba Bwana Yesu alifariki juu ya msalaba, kifo cha laana.

A. Mayahudi walidhani hivi kwa sababu ya kupata nafasi ya kumkataa Bwana Yesu, kuwa wa kweli, maana Torati inasema kwamba “Aliyetundikwa amelaaniwa na Mungu, (Kumbukumbu la Torati 21:23).

Kwahiyo Mayahudi walitaka sana kumfisha Yesu msalabani ili athibitike kuwa mlaaniwa na mlaaniwa hawezi kuwa Nabii wa Mungu.

B. Wakristo walikubali kwamba Yesu alikufa msalabani kwa sababu waliambiwa kwamba Yesu amebeba dhambi za watu kwa kufa msalabani. Hivi wavivu wote ambao hawataki kufuata sheria ya Mungu, mara moja walikubali kwamba damu ya Yesu imetuokoa. (Wagalatia 3:13).

Nitaeleza hapa hoja za Biblia moja baada ya moja, zinazothibitisha kwamba Bwana Yesu hakufia msalabani kabisa.
1. Kwani aliyetundikwa amelaaniwa na Mungu. (Kumb. 21:23, Wagalatia 3:13). Basi mtu ambaye anafariki juu ya mti wa msalaba ndiye maluuni na maluuni anakuwa mbali na Mungu hawezi kuwa karibu na Mungu. Na mtu ambaye yu mbali na Mungu hawezi kuwa Nabii wa Mwenyezi Mungu.

Tunaamini kwamba sawa na Qur'ani na Biblia Bwana Yesu alikuwa Nabii wa Mungu, tena kachanguliwa na kubarikiwa. Kwahiyo haiwezikani kwamba Bwana Yesu afe kifo cha laana cha msalaba.
Ulitaka afe kifo cha heshima sindio ??? 😂😂😅
 
Kwani wewe ulitaka afe kifo cha laana , asiingie kwenye ufalme wa mungu ?
ipo sababu kwanini kafa kifo hicho, msalaba una maana yake pia, Alitukanwa kuna sababu kwanini alitukanwa, na Torati ikamuhukumia kuwa kalaaniwa, (Torati ya mkono wa Musa) ipo sababu 😁
 
wala halikutumika neno Muujiza bali ni ishara.

Mathayo 16:4
Kizazi kibaya na cha zinaa chataka ishara; wala hakitapewa ishara, isipokuwa ishara ya Yona. Akawaacha, akaenda zake.

Yaani wewe ubishe tu

GOD'S WORD Translation

Mathew 16: 4 "Evil and unfaithful people look for a miraculous sign. But the only sign they will be given is that of Jonah." Then he left them standing there and went away.

New Century Version

4 Evil and sinful people ask for a miracle as a sign, but they will not be given any sign, except the sign of Jonah." Then Jesus left them and went away.

Read Matthew (NCV)

New International Reader's Version

4 An evil and unfaithful people look for a miraculous sign. But none will be given to them except the sign of Jonah." Then Jesus left them and went away.

Read Matthew (NIRV)

New Revised Standard w/ Apocrypha

4 An evil and adulterous generation asks for a sign, but no sign will be given to it except the sign of Jonah." Then he left them and went away.
 
Kwani Yona hakuendelea na uzima na uhai katika hali ngumu ?

😅😅😁 kuna kitu kidogo hujaelewa na hapa.

YESU KAMA YONA

Yesu pia, baada ya dhiki aliyodaiwa kupitia, alipaswa kufa. Kama alikufa, hilo halingekuwa muujiza. Lakini kama aliishi, kama alivyojitabiria mwenyewe, na kuthibitisha "kulingana na maandiko", hilo lingekuwa "ishara" — MUUJIZA! Na haya ndiyo maneno yake:

"... Kama Yona alivyo kuwa ..." (Kiingereza), "Want soos Jonah ..." (Kiafrikaans), "Ngokubanjengo Jonah ..." (Kizulu).
"Kama vile Yona alivyokaa siku tatu mchana na usiku katika tumbo la samaki mkubwa, ndivyo Mwana wa Adamu atakavyokuwa ..."

— (Mathayo 12:40).

Je, Yona alikuwaje katika tumbo la samaki huyo kwa siku tatu mchana na usiku — Amefariki au Hai? Waislamu, Wakristo na Wayahudi wanatoa hukumu ya pamoja — A-L-I-K-U-W-A H-A-I!

Na Yesu je, alikuwaje kaburini kwa muda huo huo — Amefariki au Hai?

Zaidi ya Wakristo bilioni moja, kutoka katika kila dhehebu au madhehebu wanatoa hukumu ya pamoja — A-M-E-F-A!

Je, hilo ni sawa na Yona au TOFAUTI na Yona katika lugha yako?

Na kila mtu ambaye akili yake haijachanganyikiwa, atasema kuwa hilo ni TOFAUTI KABISA na Yona. Yesu alisema kuwa atakuwa "KAMA YONA", lakini wafuasi wake waliovurugwa wanasema alikuwa "TOFAUTI NA YONA!"

Nani anasema uongo — Yesu au wafuasi wake?

Nakuachia jibu wewe!

BIASHARA KUBWA

Lakini dini ni biashara nzuri. Kwa jina la Kristo wanapata pesa nyingi mno. Wainjilisti wanasema tumekosea kabisa. Wanasema lilikuwa ni jambo la muda ambalo Yesu alikuwa anatabiri, na siyo kama atakuwa Amefariki au Hai.
Wanasema, "Huwezi kuona kuwa alikuwa anasisitiza kipengele cha muda? Anarudia neno 'tatu' mara nne."

Hawa ni watu wanaozama wanaoshika majani; hata wanawake wanaozama hufanya hivyo hivyo!

Yesu alisema nini?

"Kama vile Yona alivyokaa siku TATU na usiku TATU katika tumbo la samaki; ndivyo Mwana wa Adamu atakavyokuwa siku TATU na usiku TATU katika moyo wa dunia."

(BIBLIA TAKATIFU) Mathayo 12:40

Yesu hakuwa karibu na "moyo wa dunia"; alisemekana kuwa katika kaburi, ambalo liko juu ya ardhi. Labda alikuwa anazungumza kwa mafumbo.

Tatu na tatu kwa hakika zimerudiwa mara nne, lakini hakuna cha kimiujiza kuhusu kipengele cha muda. Wayahudi walikuwa wanamwomba Yesu "ishara" — muujiza, na hakuna jambo la kimiujiza kuhusu siku TATU, au wiki TATU au miezi TATU.

Mara ya kwanza niliposafiri kutoka Durban kwenda Cape Town, miaka thelathini iliyopita, nilisafiri kwa treni, na treni ilichukua siku TATU na usiku TATU kufika huko.

Hoorey! Ni Muujiza!

Upuuzi, utasema, na nakubaliana nawe.

Lakini si rahisi kwa Mkristo kukubaliana kwa sababu wokovu wake unaning'inia kwa uzi mwembamba. Hivyo, analazimika kushikilia kwa nguvu.

Sisi tunaweza kumvumilia kwa wema. Hivyo, hebu tumfurahishe!

Basi, je ilikuwa ni kipengele cha muda ambacho Yesu alikusudia kutimiza?

"Ndiyo!" anasema Mkristo.

Yesu alisulubiwa lini?

Sehemu kubwa ya Ukristo inaamini kwamba ilikuwa ni Ijumaa jioni miaka elfu mbili iliyopita.

ipo sababu kwanini kafa kifo hicho, msalaba una maana yake pia, Alitukanwa kuna sababu kwanini alitukanwa, na Torati ikamuhukumia kuwa kalaaniwa, (Torati ya mkono wa Musa) ipo sababu 😁

CHUKUA HATUA. UKWELI WAANGAZA

Hebu nikupatie muhtasari wa hoja tulizojadili hadi sasa, tukihitimisha kwamba Yesu Kristo hakuuawa wala hakusulubiwa, kama wanavyodai Wakristo na Wayahudi, bali alikuwa HAI!

  1. YESU HAKUTAKA KUFARIKI!
    Alipanga mkakati wa kujilinda dhidi ya Wayahudi kwa sababu alitaka kubaki HAI!
  2. ALIMWOMBA MUNGU KWA BIDII.
    Kwa kilio kikubwa na machozi, alimwomba Mungu Mwenyezi amwokoe na kumweka HAI!
  3. MUNGU ALISIKIA MAOMBI YAKE
    Hii ina maana kuwa Mungu alikubali maombi yake ya kubaki HAI!
  4. MALAIKA WA MUNGU ALIKUJA KUMTIA NGUVU:
    Kwa tumaini na imani kuwa Mungu atamwokoa na kumweka HAI!
  5. PILATO HAKUONA HATIA KWA YESU!
    Sababu nzuri ya kumwacha Yesu HAI!
  6. MKE WA PILATO ALIONYESHWA NDOTO AKIAMBIA —
    “Asifanyiwe madhara mtu huyu mwadilifu.” Kwa maneno mengine, aokolewe HAI!
  7. ALIKUWA MSALABANI KWA MASAA MATATU TU.
    Kulingana na desturi ya wakati huo, hakuna mtu aliyekuwa akifa kwa kusulubiwa kwa muda mfupi hivyo. Hii inaonyesha kuwa hata kama alisulubiwa — alikuwa HAI!
  8. WALE WENGINE WAWILI WALIOSULUBIWA PAMOJA NAYE WALIKUWA HAI.
    Basi Yesu pia, kwa kipindi hicho hicho, lazima alikuwa HAI!
  9. ENCYCLOPEDIA BIBLICA KIFUNGU "MSALABA" — SAFU YA 960 inasema:
    “Wakati mkuki ulipodungwa — Yesu alikuwa HAI!
  10. DAMU NA MAJI VILITOKA MARA MOJA:
    “Kutoka mara moja” ni ishara ya uhakika kuwa Yesu alikuwa HAI!
  11. HAKUVUNJWA MIGUU — KUTIMIZA UNABII.
    Miguu haina maana yoyote kama mtu amekufa. Hii ina maana Yesu alikuwa HAI!
  12. KULIKUWA NA THORUBA, TETEMEKO LA ARDHI NA GIZA NDANI YA MASAA 3!
    Ili kuwatawanya wale waliokuwa wakifurahia mateso yake na kuwapa nafasi wafuasi wake wa siri kumsaidia, ambae alikuwa HAI!
  13. WAYAHUDI WALITILIA SHAKA KIFO CHAKE:
    Walihisi kuwa aliepuka kifo msalabani — kwamba alikuwa HAI!
  14. PILATO ALISHANGAA KUSIKIA KUWA YESU AMEKUFA.
    Alijua kwa uzoefu wake kuwa mtu hawezi kufa haraka kwa kusulubiwa. Alidhani Yesu alikuwa HAI!
  15. CHUMBA KIKUBWA KILICHOKUWA KARIBU:
    Kilikuwa kikubwa na chenye hewa ya kutosha ili watu waje kumsaidia. Mpango wa Kimungu ulikuwa kumweka HAI!
  16. JIWE NA SHEETS ZA MAZISHI ILIBIDI ZIONDOLEWE:
    Haingekuwa lazima kama Yesu hakuwa HAI!
  17. RIPOTI JUU YA SHEETS ZA MAZISHI:
    Wanasayansi wa Kijerumani waliopima "Shroud of Turin" walisema moyo wa Yesu haukusimama — alikuwa HAI!
  18. ALIKUWA AKIJIFICHA KILA WAKATI!
    Kujificha hakungekuwa na maana kama alikuwa amefufuka. Ila tu kama alikuwa HAI!
  19. ALIMKATAZA MARIAMU MAGDALENA KUMGUZA:
    “Usiniguse” kwa sababu ingemuumiza; alikuwa HAI!
  20. “SIJAPANDA KWENDA KWA BABA YANGU BADO”
    Kwa lugha ya Kiyahudi, alikuwa anasema, “Sijafa bado” — kwa maneno mengine, niko HAI!
  21. MARIAMU MAGDALENA HAKUOGOPA ALIPOMTAMBUA YESU:
    Kwa sababu alikuwa ameona dalili za uhai kabla. Alikuwa anamtafuta Yesu ambaye alikuwa HAI!
  22. WANAFUNZI WALISHANGAA KUMUONA YESU CHUMBANI:
    Maelezo yote waliyokuwa nayo kuhusu kusulubiwa yalikuwa ya kusikia tu, hivyo hawakuweza kuamini kuwa Yesu alikuwa HAI!
  23. ALIKULA MARA KWA MARA BAADA YA “KUSULUBIWA”.
    Chakula kinahitajika tu kama mtu yuko HAI!
  24. HAKUJIWONYESHA KWA MAADUI ZAKE.
    Kwa sababu alikuwa ameepuka kifo kwa tundu la sindano. Alikuwa HAI!
  25. ALISAFIRI SAFARI FUPI TU.
    Kwa sababu hakuwa amefufuka wala kuwa roho — alikuwa HAI!
  26. USHUHUDA WA WATU KARIBU NA KABURI:
    “Mbona mnamtafuta aliye hai kati ya wafu?” — (Luka 24:4-5): Yeye si mfu, bali HAI!
  27. USHUHUDA WA MALAIKA:
    “...malaika waliosema kwamba alikuwa HAI!” — Luka 24:23.
    Hawakusema "amefufuka", bali walisema HAI!
  28. MARIAMU MAGDALENA ALITHIBITISHA —
    “...waliposikia kwamba alikuwa HAI, na ameonekana naye, hawakuamini.” — (Marko 16:11):
    Mariamu hakushuhudia juu ya kivuli au roho ya Yesu, bali Yesu ALIYE HAI!

Ni rahisi sana mtu akisolve swali fulani la hesabu gumuu, likamshinda kupata jibu

Ni rahisi kusema swali limekosewa.
 
Ni rahisi sana mtu akisolve swali fulani ka hesabu gumuu, likamshinda kupata jibu

Ni rahisi kusema swali limekosewa.
Nakushukuru hujanipinga au kutoa makosa chochote katika maelezo yangu
 
UNAANDIKA KAMA UMEKUNYWA MBEGE ? HUNA USHAHIDI WA CHOCHOTE .
Nimekunywa mbege ndiyo, ulijuaje? Tatizo lako wewe bwana Mdogo Jagina ni kwamba hupendi kusoma, ni kama kilaza fulani hivi, uwe na desturi ya kusoma upate kuelimika....usiishi tu kukariri vitu na kuwa mpuuzi. Wewe ukiambiwa ukweli tu kuhusu Muddy unakuja juu na kutishia kujilipua mabomu mwilini, je hutaki kuusikia huo ukweli, unataka kuishi kwa kujiaminisha uwongo na ujinga tu? Jirekebishe bwana mdogo.
 
Kujibizana na mlevi , unapiga ngumi ukuta
 
Sitaweka vifungu vya biblia lakini kwa atakayetaka apewe na vifungu wapi imeandikwa Tutampa.

Mada ni Taifa la Mungu Israel na Taifa la Mungu Tanzania.

Ushindani kati ya nguvu ya Uchawi (giza) na nguvu ya Nuru umeanza tangu Binadamu alipoumbwa hapa duniani.

Na sehemu nyingi kuonekana Nguvu ya uchawi Kutawala sana Ardhi na Mataifa mengi kuliko Nguvu ya Nuru (Mema).

Mifano ni Mingi,
1. Israel kumuacha Mungu na kufata ibada za sanamu kwenye milima.

2. Elia Kukimbia nchi yake kisa Manabii wa uwongo kutawala na Mfalme.

3. Yesu kusurubiwa na wayahudi

4. Unamkumbuka Nabii Elia na Manabii wa bahali kutoka kwa mfalme?

5. Kipindi Mungu anatoa adhabu kwa taifa la Israel kwenda Uamishoni, Mfalme wa babeli akaja akateka taifa zima Likapelekwa utumwani na mfalme wao akatekwa.
Kosa ni kumsahau Mungu wao.

Ndipo kina Daniel wanakuwa wasomi katika utawala wa kitumwa, mbele ya Mfalme Nebukadneza.

Mfalme Nebukadneza alikuwa Mpagani na Miungu wengi, Lakini Mungu alimpa kazi ya Kuchapa fimbo taifa lake la Israel.

Giza ni Kama siku zote uonesha dalili za kuitawala Nuru kwa miaka mingiiii

Ibada ya Sanamu.
Kwanini ibada ya Sanamu inawashawishi wengi, kwasababu inatoa Mwanya wa kuonea watu wengine (Wivu)
Kwanini Mungu akupe wewe mimi asinipe ? Wizi na kuwafanya wengine mateka kwa ushawishi wa Ujinga na shetani.

Kwahiyo naweza tumia uchawi kuiba ulichonacho wewe kama hutokua makini.

Ni vita yetu hii ya siku zote.

Sasa Utagundua Kanisa kama Viongozi wa kidini Wengi Huonekana Kutekwa na Nguvu ya Giza na kulipoza Kanisa.

Kujua msingi wa imani yako ni funguo ya kwanza, Lakini fungua ya geti la pili huna ? basi mpaka wa Maisha yako ni kwenda Mbinguni. Lakini hujui huishi vipi hapa duniani na utaishi Miaka mingapi.

Mungu humpa Mtu mitihani Migumu kumpima, ndipo ampe ukuu na Mamlaka.

Daudi alitafutwa kuuliwa na Mfalme wa kwanza wa Israel (Sauli), akaishi kama mkimbizi, baadae ndio Akawa Mfalme wa Pili.

Kwahiyo Kipindi au nyakati za Giza kuonekana na nguvu kuliko nuru uwa kipo sana.

Hali ya Makanisa Yetu Tanzania Taifa la Mungu.

Madhehebu yenye watu wengi.

1. Romani Katoliki:
Ingawa ndio kanisa linawaumini wengi, Wameshika imani ya jina lake Mungu, lakini makanisa yao yamejaa Sanamu, na mapokeo Mengi yasio na faida kiroho.

Viongozi wake wawe na maono au wasiwe na Maono lakini Mungu anakwenda Kuwatumia Viongozi wa Kanisa Katoliki, Kuwapa Tanzania Mfalme amtakae Mungu.

2. Kanisa la Kilutheri (KKKT).
Pamoja na kuwa kanisa hili limekua na misingi mizuri na mapokeo yasio kosolewa sana,
Kanisa hili limekuwa na viongozi wasiokuwa waadilifu kumtumikia Mungu, na matokeo yake kumezwa na Mungu Pesa,
Giza likazidi kutanda
Piga mchungaji kondoo watawanyike.

3. Makanisa ya Kipentekoste.
Baada ya Shetani na Giza lake Kutanda kwa Viongozi wa juu,
Kanisa likajaza Wachungaji wengi wahuni na Watumia nguvu za giza.

Pamoja na kwamba walianza vizuri rohoni, sasa wengi wao wameangukia mwilini na Gizani.

4. Wasabato ( SDA )
Mwanzilishi wa dhehubu hili alikua makini sana, Lakini Unafiki na Kiburi ukazidi kulifunika kanisa, na kufanya kanisa kukosa Nguvu, Mwisho ni wafungwa midomo na Jezebeli kama viongozi wa madhehebu mengine.

Ni hayo tu kwa kanisa la Tanzania Taifa teule

Nuru inakuja, Mfalme Daudi atakapokalia kiti

📖 Surat Aal-‘Imran (3:85):

“Na atakayeitaka dini isiyokuwa Uislamu, haitakubaliwa kutoka kwake, na yeye katika Akhera atakuwa miongoni mwa waliopata hasara.”

You wanna thank me ! 😁😁

Na unaweza kupata elimu bila malipo hii

Injili zinarekodi kuwa Yesu alisulubiwa wakati wa Pasaka, na inadaiwa kuwa alifufuka kutoka kwa wafu.

Hata hivyo, hakuna mtu aliyeshuhudia ufufuo wa Yesu, jiwe lilikuwa limeondolewa, haikuwa kufufuka kwa kimiujiza.

Ni wazi kuwa jiwe hilo liliondolewa na mmoja wa wafuasi wa karibu wa Yesu (Luka 10:1). Mashahidi wa kusulubiwa kwa Yesu walikuwa hasa maadui wake. Wanafunzi Maria Magdalene na Maria walitazama kusulubiwa kutoka mbali.

Na wanawake wengi walikuwako huko wakitazama kwa mbali, waliomfuata Yesu kutoka Galilaya, wakimtumikia; miongoni mwao alikuwamo Maria Magdalene, na Maria mama yake Yakobo na Yose, na mama yao wana wa Zebedayo. (Mathayo 27:55-56)

Ukipande huu umesababisha wasomi kuamini kuwa kusulubiwa huko kulikuwa tukio la faragha, lililoshuhudiwa na watu wachache tu.

Ni jambo la kushangaza pia kwamba Yesu alisulubiwa karibu na bustani na kaburi, ambapo kaburi hilo lilimilikiwa na Yusufu wa Arimathaya.
Hili linaonekana kuwa la kupangwa kwa urahisi. Inawezekana kuwa kusulubiwa kwa Yesu kulifanyika kwa faragha?
Labda kwa lengo la kudhibiti mashahidi wa kile kilichokuwa kinatokea?

Luka (23:49) anatufahamisha kuwa umati wa watu waliokuwa wakitazama walikuwa wamesimama kwa mbali. Labda walizuiwa wasikaribie? (Michael Baigent, The Jesus Papers, uk. 130)

Injili zinarekodi kwamba mitume 12 “walimwacha na kukimbia” kule Gethsemane (Math. 26:56), walitoweka katika simulizi la Injili na hawakushuhudia kusulubiwa.

Hakuna hata mmoja wa wanafunzi aliyesadiki kuwa Yesu alifufuka kutoka kwa wafu (Marko 16:14, Luka 24:11).

Hii inamaanisha kuwa Wakristo wa mwanzo hawakuamini kuwa Yesu alipaswa kufa kwa ajili ya dhambi zao (Zab. 20:6, Math. 16:22).

Iwapo wanafunzi walijua kuwa Yesu alipaswa kufufuka, kwa nini hawakurudi Yerusalemu kushuhudia ufufuo huo? Lakini Injili ziko wazi kwamba hakuna mtu aliyeshuhudia ufufuo wa Yesu. Dhana ya Masihi anayekufa na kufufuka haikujulikana katika Uyahudi:

Yesu hangeweza kutabiri kukataliwa kwake, kifo chake, na kufufuka kwake, kwa kuwa wazo la Masihi au mwana wa Adamu anayeteseka, kufa, na kufufuka halikujulikana katika Uyahudi. (Israel Knohl, The Messiah before Jesus, uk. 2)

Zaidi ya hayo, kusulubiwa hakukufanyika hata Yerusalemu! Kulingana na kitabu cha Ufunuo, Yesu alisulubiwa Rumi:

Na mizoga yao itakuwa katika njia ya mji ule mkubwa, ambao kwa mfano wa roho unaitwa Sodoma na Misri, ambako pia Bwana wao alisulubiwa. (Ufunuo 11:8, KJV)

Wakristo huenda wakadai kuwa “mji mkubwa” unamaanisha Yerusalemu, lakini mtaalamu maarufu wa Biblia John Gill anakataa hilo:

Na mizoga yao itakuwa katika njia ya mji mkubwa... Sio Yerusalemu, uliokuwa umeharibiwa wakati Yohana alipokuwa anaona maono haya, na ambao hautajengwa tena wakati huu; wala haujawahi kuitwa mji mkubwa, ingawa huitwa mji wa Mfalme Mkuu; lakini si katika kitabu hiki, ingawa Yerusalemu mpya inaitwa hivyo, Ufunuo 21:10; lakini hiyo haiwezi kumaanishwa hapa; bali ni mji wa Rumi, au utawala wa Kirumi, himaya yote ya Mpinga Kristo wa Kirumi, ambayo mara nyingi huitwa mji mkubwa katika kitabu hiki; tazama Ufunuo 16:19. (chanzo mtandaoni)

Hivi ndivyo mtaalamu wa Biblia Tom Harper anavyosema:

Katika Ufunuo 11:8, kuna kifungu chenye kuchanganya sana ambapo “mashahidi” wawili wanauawa. “Na mizoga yao itakuwa katika njia ya mji mkubwa, ambao kwa mfano wa kiroho unaitwa Sodoma na Misri, ambako pia Bwana wetu alisulubiwa”, inasema maandiko [msisitizo wangu]. Tena, lazima isisitizwe kuwa mwandishi hakujali kuhusu matukio ya kihistoria... bali alijali kuhusu alama na mafumbo. (The Pagan Christ, uk. 212)

Maelezo pekee ya hali hii ni kuwa Yesu Kristo hakusulubiwa kabisa.

Tuchambue ukweli ufuatao:

  • Yesu alieleza wazi kuwa kusulubiwa hakukuwa kusudi lake (Math. 9:13, 12:7, Marko 1:38, Luka 4:43, 19:10)
  • Mitume hawakuamini kuwa Yesu alifufuka kutoka kwa wafu (Math. 28:17, Marko 16:14, Luka 24:11).
  • Mitume hawakutarajia Yesu afufuke kutoka kwa wafu (Math. 16:22, Marko 9:30-32)
  • Yesu hakutabiri kusulubiwa kwake (Zab. 20:6, 18:50, Math. 26:39)
  • Yesu hakutaka kufa, hakuwa radhi (Marko 14:26, Luka 22:42-43)
  • Mungu aliahidi kumwokoa Masihi (1 Nya. 16:22, 2 Nya. 6:42, Zab. 28:8)
  • Wakristo wanaamini kinyume kabisa na Biblia (Mithali 21:18)
  • Biblia inakataa sadaka za binadamu (Kumb. 12:31, 2 Wafalme 17:17)
 
Nakushukuru hujanipinga au kutoa makosa chochote katika maelezo yangu , hiyo ni step moja kuelekea kuutambua ukweli
Sisi ambao ni wasomi zaidi hatuishii mabishano ya andiko lipi nila kweli na kipi ni uwongo,,

Tunazama na Ulimwengu wa roho kupigana na mpinga Kristo, hii vita haiishii kwenye maneno ni vita ya mwili na rohoni.
Yesu sio tu tunamsoma kwenye vitabu, kajifunua na kwenye macho na jicho letu.

Maybe ni Yesu jini, bila shaka majini ni maswahiba wazuri wa waislamu. 😁
 
Back
Top Bottom