Kanisa kuzidiwa na Uchawi (Giza)

Kanisa kuzidiwa na Uchawi (Giza)

Biblia ni kitabu cha fantasy, siamini kabisa kama Mungu aliyekataza watu kuuana akageuka na kusaidia jamii fulani kuua, it makes no sense at all. Yaani Mungu anasaidia watu kuua watu fulani au kusema kuwa Israel ndilo taifa lake teule, kwa hiyo sie Waafrika na chi nyingine duniani ni chi za shetani? Ni sawa tu na hadithi za Qur'an, unaona kabisa ni ujinga uliotukuka unapambwa kumtukuza Muddy wakati kila msomi anajuwa kuwa Muddy huyo huyo ni firahuni mkubwa tu, mbakaji, muuwaji, muongo, na mwizi, iweje Mungu amchague kuwa nabii? Nafikiri sie Waafrika tuna matatizo ya kiakili iliyojaa ujinga wa kujitakia......Tuamke jamani kwani tunachezewa sana akili huku tukichekwa.
Mbona na Tanzania ni Taifa la Mungu
 
Mathayo 27:35-37
35 Walipokwisha kumsulibisha, waligawa mavazi yake, wakipiga kura; [ili litimie neno lililonenwa na nabii, Waligawa nguo zangu kati yao, na juu ya vazi langu walipiga kura.]

36 Wakaketi, wakamlinda huko.

37 Wakaweka juu ya kichwa chake mashitaka yake, yaliyoandikwa HUYU NI YESU, MFALME WA WAYAHUDI.

Akiwa msalabani.

Mathayo 27:49-50
49 Wale wengine wakasema, Acha; na tuone kama Eliya anakuja kumwokoa.

50 Naye Yesu akiisha kupaza sauti tena kwa nguvu, akaitoa roho yake.

Shukrani sana ,

Ningalikuomba uniambie huyu aliyeandika hizo aya ulizozileta ni Mathew yupi , au ni nani aliyekuwa akihadithia??

Mathew huyo huyo anatuambia kwenye aya Mathew 26:56 :

56. Lakini haya yote yametokea ili maandiko ya manabii yatimie.” Kisha wanafunzi wote wakamwacha, wakakimbia.

Marko naye anatuambia Mark 14:50

Kisha wote wakamwacha na kukimbia.

Au Mathew mwenyewe ni muongo pamoja na Marko ??
 
Mathayo 27:35-37
35 Walipokwisha kumsulibisha, waligawa mavazi yake, wakipiga kura; [ili litimie neno lililonenwa na nabii, Waligawa nguo zangu kati yao, na juu ya vazi langu walipiga kura.]

36 Wakaketi, wakamlinda huko.

37 Wakaweka juu ya kichwa chake mashitaka yake, yaliyoandikwa HUYU NI YESU, MFALME WA WAYAHUDI.

Akiwa msalabani.

Mathayo 27:49-50
49 Wale wengine wakasema, Acha; na tuone kama Eliya anakuja kumwokoa.

50 Naye Yesu akiisha kupaza sauti tena kwa nguvu, akaitoa roho yake.

HABARI YOTE WALIYOANDIKA ILIKUWA NI YA KUSIKIA TU!

— Maana hakuna hata mmoja wao aliyekuwa hapo kushuhudia kwa macho kile kilichokuwa kikimtokea Yesu pale Golgotha.

Katika wakati muhimu kabisa wa maisha ya Yesu:

"...WOTE WALIMWACHA NA KUKIMBIA." (BIBLIA TAKATIFU) Marko 14:50

  1. "Alisulubiwa": Baadaye, hoja ya “ALISULUBIWA AU ALISULUBISHWA KWA KUIGIZWA” itajadiliwa. Waandishi wa Injili hawakujua matumizi ya alama za nukuu kuonesha kuwa hiki ndicho wengine wanasema, au hiki ndicho “kinachodaiwa”.

  2. Wazi zaidi ni Mathayo: "...Kisha wanafunzi wote wakamwacha, wakakimbia." (Mathayo 26:56)

WALE WANAFUNZI WA KWELI

Marko anazungumzia wale "kumi na wawili" waliochaguliwa. Sio kuhusu wale wa siri waliompenda Yesu kwa dhati kama yule Yohana mwingine aliyemchukua Mariamu mama yake Yesu nyumbani, na Nikodemo pamoja na Yosefu wa Arimathaya na wengine kama hao.

Kwa kuzingatia usaliti mbaya wa wale "kumi na wawili" wengine, ninasitasita kuwaita hawa "wanaume" wanafunzi.

Au je, Marko alikuwa anadanganya? Aliposema “wote,” je, hakumaanisha “wote”?

Hakukuwa na kurejea tena kwa mashujaa hawa.

Mwandishi wa Injili ya nne anataja idadi ya wanawake waliokuwa katika msafara wa Yesu. Miongoni mwao walikuwemo Maria watatu, “na yule mwanafunzi aliyependwa na Yesu.”

Anarudia msemo huu mara kadhaa bila kumtaja waziwazi kuwa ni YOHANA — msaidizi wao kule Yerusalemu.

Kwa nini?

Kama huyo Yohana ndiye mwandishi mwenyewe wa Injili ya nne, basi kwa nini hajisema wazi?

Kwa nini aogope?

Hakuwa na haya alipomwomba Yesu awape yeye na nduguye viti:

“Mmoja mkono wa kuume, na mwingine mkono wa kushoto katika Ufalme wako.” (Marko 10:37)

Sababu ya unyamavu wake ni kuwa "mwanafunzi mpendwa" ni mtu mwenye jina sawa naye — yaani pia anaitwa Yohana! Wale wanafunzi wengine hawakuwapo kabisa wakati ambao Yesu aliwahitaji zaidi. Kama Marko asemavyo: "wote walimwacha na kukimbia!" — (Marko 14:50)
 
Biblia ni kitabu cha fantasy, siamini kabisa kama Mungu aliyekataza watu kuuana akageuka na kusaidia jamii fulani kuua, it makes no sense at all. Yaani Mungu anasaidia watu kuua watu fulani au kusema kuwa Israel ndilo taifa lake teule, kwa hiyo sie Waafrika na chi nyingine duniani ni chi za shetani? Ni sawa tu na hadithi za Qur'an, unaona kabisa ni ujinga uliotukuka unapambwa kumtukuza Muddy wakati kila msomi anajuwa kuwa Muddy huyo huyo ni firahuni mkubwa tu, mbakaji, muuwaji, muongo, na mwizi, iweje Mungu amchague kuwa nabii? Nafikiri sie Waafrika tuna matatizo ya kiakili iliyojaa ujinga wa kujitakia......Tuamke jamani kwani tunachezewa sana akili huku tukichekwa.
UNAANDIKA KAMA UMEKUNYWA MBEGE ? HUNA USHAHIDI WA CHOCHOTE .
 
HABARI YOTE WALIYOANDIKA ILIKUWA NI YA KUSIKIA TU!

— Maana hakuna hata mmoja wao aliyekuwa hapo kushuhudia kwa macho kile kilichokuwa kikimtokea Yesu pale Golgotha.

Katika wakati muhimu kabisa wa maisha ya Yesu:

"...WOTE WALIMWACHA NA KUKIMBIA." (BIBLIA TAKATIFU) Marko 14:50

  1. "Alisulubiwa": Baadaye, hoja ya “ALISULUBIWA AU ALISULUBISHWA KWA KUIGIZWA” itajadiliwa. Waandishi wa Injili hawakujua matumizi ya alama za nukuu kuonesha kuwa hiki ndicho wengine wanasema, au hiki ndicho “kinachodaiwa”.

  2. Wazi zaidi ni Mathayo: "...Kisha wanafunzi wote wakamwacha, wakakimbia." (Mathayo 26:56)

WALE WANAFUNZI WA KWELI

Marko anazungumzia wale "kumi na wawili" waliochaguliwa. Sio kuhusu wale wa siri waliompenda Yesu kwa dhati kama yule Yohana mwingine aliyemchukua Mariamu mama yake Yesu nyumbani, na Nikodemo pamoja na Yosefu wa Arimathaya na wengine kama hao.

Kwa kuzingatia usaliti mbaya wa wale "kumi na wawili" wengine, ninasitasita kuwaita hawa "wanaume" wanafunzi.

Au je, Marko alikuwa anadanganya? Aliposema “wote,” je, hakumaanisha “wote”?

Hakukuwa na kurejea tena kwa mashujaa hawa.

Mwandishi wa Injili ya nne anataja idadi ya wanawake waliokuwa katika msafara wa Yesu. Miongoni mwao walikuwemo Maria watatu, “na yule mwanafunzi aliyependwa na Yesu.”

Anarudia msemo huu mara kadhaa bila kumtaja waziwazi kuwa ni YOHANA — msaidizi wao kule Yerusalemu.

Kwa nini?

Kama huyo Yohana ndiye mwandishi mwenyewe wa Injili ya nne, basi kwa nini hajisema wazi?

Kwa nini aogope?

Hakuwa na haya alipomwomba Yesu awape yeye na nduguye viti:

“Mmoja mkono wa kuume, na mwingine mkono wa kushoto katika Ufalme wako.” (Marko 10:37)

Sababu ya unyamavu wake ni kuwa "mwanafunzi mpendwa" ni mtu mwenye jina sawa naye — yaani pia anaitwa Yohana! Wale wanafunzi wengine hawakuwapo kabisa wakati ambao Yesu aliwahitaji zaidi. Kama Marko asemavyo: "wote walimwacha na kukimbia!" — (Marko 14:50)
Kabla hujaenda huko kwenye kuwakosoa waandishi wa Vitabu vinne vya injili au Maisha ya Yesu kuwa walitofautiana katika maelezo yao,

Naomba nikwambie jambo Moja, Kuna sababu nzuri ya Wao kutofautiana, Kwahiyo kubali kuwa kundi la kutaka kujifunza..

Biblia inasomwa na ma professor na waandishi wazito, usirukie kokosoa cha mwingine kirahis hivo.

Uandishi wa Zaburi au Mithali, haufanani na uandishi wa Injili ya Mathayo, wala haifanani na
Uandishi wa kitabu cha Ufunuo.

Biblia ni pana sana, kuna siri nyingi sana

Kuna kuunganisha neno la Kale na Jipya na kutengeneza tafsiri nyingine, so kuna mengi yakujifunza.
 
Mimi sijamkosoa mwandishi wowote wa hizo injili , ni vizuri ukasoma tena bila jaziba

Sasa hebu na Tuangalie ni nani aliyesulubishwa kwa mujibu wa injili ya MARKO

21 Walipokuwa wakienda kumsulubisha, njiani walikutana na mtu mmoja aitwaye Simoni, raia wa Kirene. Yeye alikuwa baba yao Aleksanda na Rufas. Alikuwa anakuja mjini kutoka shamba. Wakamla zimisha abebe msalaba wa Yesu.

22 Kisha wakampeleka Yesu mpaka mahali palipoitwa Golgota, -yaani Mahali pa Fuvu la Kichwa.

23 Wakampa divai iliyochanganywa na manemane, lakini akaikataa.

24 Basi wakamsulubisha, wakagawana nguo zake kwa kuzipigia kura kuamua kila mtu achukue nini.

25 Ilikuwa yapata saa tatu asubuhi walipomsulubisha.

NINAKUULIZA huyo aliyekuja kubebeshwa msalaba wa yesu , Simon, jee ni wapi alimrudishia mwenyewe Yesu msalaba wake ??
 
Kabla hujaenda huko kwenye kuwakosoa waandishi wa Vitabu vinne vya injili au Maisha ya Yesu kuwa walitofautiana katika maelezo yao,

Naomba nikwambie jambo Moja, Kuna sababu nzuri ya Wao kutofautiana, Kwahiyo kubali kuwa kundi la kutaka kujifunza..

Biblia inasomwa na ma professor na waandishi wazito, usirukie kokosoa cha mwingine kirahis hivo.

Uandishi wa Zaburi au Mithali, haufanani na uandishi wa Injili ya Mathayo, wala haifanani na
Uandishi wa kitabu cha Ufunuo.

Biblia ni pana sana, kuna siri nyingi sana

Kuna kuunganisha neno la Kale na Jipya na kutengeneza tafsiri nyingine, so kuna mengi yakujifunza.

Udanganyifu Mkubwa Katika Luka 24:44-48 Kuhusu "Ufufuo wa Yesu Siku ya Tatu" Ukidai Kuwa Ulibashiriwa Katika Agano la Kale – Lakini Haukuwahi!

Hebu tuangalie Luka 24:44-48 kutoka katika Biblia ya NIV:

Luka 24

44 Akawaambia, “Hili ndilo nililowaambia nilipokuwa bado pamoja nanyi: kwamba yote yaliyoandikwa kunihusu katika Sheria ya Mose, Manabii na Zaburi ni lazima yatimie.”

45 Kisha akawafungua akili zao ili waweze kuelewa Maandiko.

46 Akawaambia, “Imekuwa imeandikwa hivi: kwamba Kristo atateswa na kufufuka kutoka kwa wafu siku ya tatu,

47 na toba na msamaha wa dhambi vitahubiriwa kwa jina lake kwa mataifa yote, kuanzia Yerusalemu.

48 Ninyi ni mashahidi wa mambo haya.

Kuna udanganyifu mkubwa katika Luka 24:44-48!

Inasema kwamba imeandikwa kuwa Yesu atakufa na kufufuka siku ya tatu.

Je, ni wapi katika Agano la Kale ambapo jambo hili limeandikwa?!

Nionyeshe andiko moja tu katika Agano la Kale linalotabiri kuhusu Yesu kufufuka siku ya tatu?
 
Mimi sijamkosoa mwandishi wowote wa hizo injili , ni vizuri ukasoma tena bila jaziba

Sasa hebu na Tuangalie ni nani aliyesulubishwa kwa mujibu wa injili ya MARKO

21 Walipokuwa wakienda kumsulubisha, njiani walikutana na mtu mmoja aitwaye Simoni, raia wa Kirene. Yeye alikuwa baba yao Aleksanda na Rufas. Alikuwa anakuja mjini kutoka shamba. Wakamla zimisha abebe msalaba wa Yesu.

22 Kisha wakampeleka Yesu mpaka mahali palipoitwa Golgota, -yaani Mahali pa Fuvu la Kichwa.

23 Wakampa divai iliyochanganywa na manemane, lakini akaikataa.

24 Basi wakamsulubisha, wakagawana nguo zake kwa kuzipigia kura kuamua kila mtu achukue nini.

25 Ilikuwa yapata saa tatu asubuhi walipomsulubisha.

NINAKUULIZA huyo alikuja kubebeshwa msalaba wa yesu , Simon, jee ni wapi alimrudishia mwenyewe Yesu msalaba wake ??
Nafikiri jamaa aliufikisha hadi sehemu usika na kuwapa Askari waendelee na operation yao ya Kumtundika Yesu.

Na pia sio hili tu, kuna vitu vingi kwenye Marko wameandika, ila yohana hakuandika au Mathayo.
Utofauti ni kwasababu Muandishi alichukua na kuandika baadhi ya mambo na sio kila kitu.

Wakiandika kila kitu kitabu kisingetosha.
👇🏾👇🏾👇🏾

Yohana 21:25
Kuna na mambo mengi aliyoyafanya Yesu; ambayo yakiandikwa moja moja, nadhani hata ulimwengu usingetosha kwa vile vitabu vitakavyoandikwa.
 
Hizo ni fikra zako , tuletee aya inayosema haya maneno yako ,jamaa aliufikisha hadi sehemu usika na kuwapa Askari waendelee na operation yao ya Kumtundika Yesu.

Mbele ya mahakama maneno ya nafikiri hayakubaliki
 
Udanganyifu Mkubwa Katika Luka 24:44-48 Kuhusu "Ufufuo wa Yesu Siku ya Tatu" Ukidai Kuwa Ulibashiriwa Katika Agano la Kale – Lakini Haukuwahi!

Hebu tuangalie Luka 24:44-48 kutoka katika Biblia ya NIV:

Luka 24

44 Akawaambia, “Hili ndilo nililowaambia nilipokuwa bado pamoja nanyi: kwamba yote yaliyoandikwa kunihusu katika Sheria ya Mose, Manabii na Zaburi ni lazima yatimie.”

45 Kisha akawafungua akili zao ili waweze kuelewa Maandiko.

46 Akawaambia, “Imekuwa imeandikwa hivi: kwamba Kristo atateswa na kufufuka kutoka kwa wafu siku ya tatu,

47 na toba na msamaha wa dhambi vitahubiriwa kwa jina lake kwa mataifa yote, kuanzia Yerusalemu.

48 Ninyi ni mashahidi wa mambo haya.

Kuna udanganyifu mkubwa katika Luka 24:44-48!

Inasema kwamba imeandikwa kuwa Yesu atakufa na kufufuka siku ya tatu.

Je, ni wapi katika Agano la Kale ambapo jambo hili limeandikwa?!

Nionyeshe andiko moja tu katika Agano la Kale linalotabiri kuhusu Yesu kufufuka siku ya tatu?
😂😂😂😂 unataka biblia iandikwe unavyotaka wewe ???

Mungu sio mlopo lopo kama unavyofikiri.
Anaweza ongea kwa mafumbo na hakuna kitu utamfanya, Kwani wewe wayajua mafumbo yote ?
 
Hizo ni fikra zako , tuletee aya inayosema haya maneno yako ,jamaa aliufikisha hadi sehemu usika na kuwapa Askari waendelee na operation yao ya Kumtundika Yesu.

Mbele ya mahakama maneno ya nafikiri hayakubaliki
Kijana uelewi nini maana ya uandishi.
Sio kila kitu lazima kiandikwe ili ujumbe ufike.

watu wanacheza na code tu. 😁😅😂

Jambo la msingi sio msalaba ulifikaje Golgotha.
Jambo la msingi ni nani alitundikwa.

Marko 15:26
Palikuwa na anwani ya mashitaka yake iliyoandikwa juu, MFALME WA WAYAHUDI.
 
😂😂😂😂 unataka biblia iandikwe unavyotaka wewe ???

Mungu sio mlopo lopo kama unavyofikiri.
Anaweza ongea kwa mafumbo na hakuna kitu utamfanya, Kwani wewe wayajua mafumbo yote ?

Sasa mafumbo ili iweje ?? watu wasifahamu analotaka kuwaambia ??

Kuna mantiki gani hapo ??

Nionyeshe andiko moja tu katika Agano la Kale linalotabiri kuhusu Yesu kufufuka siku ya tatu? kuna fumbo gani hapa
 
Kijana uelewi nini maana ya uandishi.
Sio kila kitu lazima kiandikwe ili ujumbe ufike.

watu wanacheza na code tu. 😁😅😂

Code za nini na biblia ipi yenye code za uhakika

Lete aya zenye hiyo code inayosema Yesu kasulubiwa
 
Sasa mafumbo ili iweje ?? watu wasifahamu analotaka kuwaambia ??

Kuna mantiki gani hapo ??

Nionyeshe andiko moja tu katika Agano la Kale linalotabiri kuhusu Yesu kufufuka siku ya tatu? kuna fumbo gani hapa
mimi nataka nikuoneshe fumbo.
 
Code za nini na biblia ipi yenye code za uhakika

Lete aya zenye hiyo code inayosema Yesu kasulubiwa
usilazimishe ngonjera na miluzi isio ya lazima

Ujumbe mkuu umeupokea ???

Basi Yesu alikua hakwendi haja kubwa wala ndogo, wangeandika
 
Nafikiri jamaa aliufikisha hadi sehemu usika na kuwapa Askari waendelee na operation yao ya Kumtundika Yesu.

Na pia sio hili tu, kuna vitu vingi kwenye Marko wameandika, ila yohana hakuandika au Mathayo.
Utofauti ni kwasababu Muandishi alichukua na kuandika baadhi ya mambo na sio kila kitu.

Wakiandika kila kitu kitabu kisingetosha.
👇🏾👇🏾👇🏾

Yohana 21:25
Kuna na mambo mengi aliyoyafanya Yesu; ambayo yakiandikwa moja moja, nadhani hata ulimwengu usingetosha kwa vile vitabu vitakavyoandikwa.

mimi nataka nikuoneshe fumbo.

Anza na fumbo hili

Msingi wa Ukristo siku hizi ni kifo cha msalaba cha bwana Yesu a.s. Mayahudi na Wakristo wanadhani kwamba Bwana Yesu alifariki juu ya msalaba, kifo cha laana.

A. Mayahudi walidhani hivi kwa sababu ya kupata nafasi ya kumkataa Bwana Yesu, kuwa wa kweli, maana Torati inasema kwamba “Aliyetundikwa amelaaniwa na Mungu, (Kumbukumbu la Torati 21:23).

Kwahiyo Mayahudi walitaka sana kumfisha Yesu msalabani ili athibitike kuwa mlaaniwa na mlaaniwa hawezi kuwa Nabii wa Mungu.

B. Wakristo walikubali kwamba Yesu alikufa msalabani kwa sababu waliambiwa kwamba Yesu amebeba dhambi za watu kwa kufa msalabani. Hivi wavivu wote ambao hawataki kufuata sheria ya Mungu, mara moja walikubali kwamba damu ya Yesu imetuokoa. (Wagalatia 3:13).

Nitaeleza hapa hoja za Biblia moja baada ya moja, zinazothibitisha kwamba Bwana Yesu hakufia msalabani kabisa.
1. Kwani aliyetundikwa amelaaniwa na Mungu. (Kumb. 21:23, Wagalatia 3:13). Basi mtu ambaye anafariki juu ya mti wa msalaba ndiye maluuni na maluuni anakuwa mbali na Mungu hawezi kuwa karibu na Mungu. Na mtu ambaye yu mbali na Mungu hawezi kuwa Nabii wa Mwenyezi Mungu.

Tunaamini kwamba sawa na Qur'ani na Biblia Bwana Yesu alikuwa Nabii wa Mungu, tena kachanguliwa na kubarikiwa. Kwahiyo haiwezikani kwamba Bwana Yesu afe kifo cha laana cha msalaba.
 
usilazimishe ngonjera la miluzi isio ya lazima

Ujumbe mkuu umeupokea ???

Basi Yesu alikua hakwendi haja kubwa wala ndogo, wangeandika

UTABIRI WA KUSALIMIKA

Bwana Yesu mwenyewe katika uhai wake alitabiri kwamba atapata matatizo, lakini hatakufa kwa matatizo yale, bali atasalimika.

Alieleza habari kwa mfano. Bwana Yesu akajibu, akawaambia, kizazi kibaya na cha zinaa chataka ishara, wala hakitapata ishara, ila ishara ya Nabii Yona. Kwani kama vile Yona alivyokaa siku tatu mchana na usiku katika tumbo la nyangumi, hivyo ndivyo mwana wa Adamu atakavyokuwa siku tatu mchana na usiku katika moyo wa nchi. (Mathayo 12:39-40).

Aya hizi za Biblia zinaonesha kwamba Bwana Yesu hakuleta miujiza mingi bali wakati aliombwa kuonesha miujiza, aliwatayarisha watu na aliahidi kuwaonesha muujiza mmoja tu.

Aliahidi kuonesha mujiza sawa na mujiza wa Nabii Yona. Mujiza wa Nabii Yona ni huu kwamba aliingia katika tumbo la nyangumi akiwa hai, alibaki ndani ya tumbo la nyangumi siku tatu akiwa hai, na wakati alipotoka tumboni mwa nyangumi alikuwa hai. Yaani kuingia katika tumbo la nyangumi na kukaa kwa siku tatu ndani na kutoka humo akiwa mzima, si kawaida bali mtu anakufa katika hali hii. Lakini Nabii Yona alijaaliwa kubaki hai katika muda huu wote kwa msaada wa Mwenyezi Mungu. Maana katika tukio hili la kukaa katika tumbo la nyangumi kwa siku tatu usiku na mchana siyo muujiza bali muujiza ni kuendelea na uzima na uhai katika hali ile ngumu.

Hivyo ndivyo Bwana Yesu alitabiri kwamba atakuwa hai wakati akiingia na kukaa na kutoka katika tumbo ardhi / nchi.

Sasa tuchunguze kwamba Bwana Yesu aliwahi kutimiza ahadi yake au hapana. Ndugu Wakristo wanasema kwamba Bwana Yesu hakuweza kuonesha muujiza wake huu wa pekee. Kwa sababu wakati wa kuingia katika tumbo la radhi na muda wa kukaa humo alikufa.

Kwahiyo hakuweza kutimiza ahadi yake. Na wakati hakuweza kuonesha muujiza wake wa pekee basi akaondoka bila muujiza wowote.

Lakini sisi Waislamu tunaamini kwamba Bwana Yesu Kristo alionesha mujiza ule aliowaahidi kuonesha.

Maana aliingia katika tumbo la ardhi akiwa hai na alikaa huko siku tatu nzima. Sawa kabisa na hali ya Yona Nabii.
 
hili la kukaa katika tumbo la nyangumi kwa siku tatu usiku na mchana siyo muujiza bali muujiza ni kuendelea na uzima na uhai katika hali ile ngumu.
Kwani Yona hakuendelea na uzima na uhai katika hali ngumu ?

😅😅😁 kuna kitu kidogo hujaelewa na hapa.
 
UTABIRI WA KUSALIMIKA

Bwana Yesu mwenyewe katika uhai wake alitabiri kwamba atapata matatizo, lakini hatakufa kwa matatizo yale, bali atasalimika.

Alieleza habari kwa mfano. Bwana Yesu akajibu, akawaambia, kizazi kibaya na cha zinaa chataka ishara, wala hakitapata ishara, ila ishara ya Nabii Yona. Kwani kama vile Yona alivyokaa siku tatu mchana na usiku katika tumbo la nyangumi, hivyo ndivyo mwana wa Adamu atakavyokuwa siku tatu mchana na usiku katika moyo wa nchi. (Mathayo 12:39-40).

Aya hizi za Biblia zinaonesha kwamba Bwana Yesu hakuleta miujiza mingi bali wakati aliombwa kuonesha miujiza, aliwatayarisha watu na aliahidi kuwaonesha muujiza mmoja tu.

Aliahidi kuonesha mujiza sawa na mujiza wa Nabii Yona. Mujiza wa Nabii Yona ni huu kwamba aliingia katika tumbo la nyangumi akiwa hai, alibaki ndani ya tumbo la nyangumi siku tatu akiwa hai, na wakati alipotoka tumboni mwa nyangumi alikuwa hai. Yaani kuingia katika tumbo la nyangumi na kukaa kwa siku tatu ndani na kutoka humo akiwa mzima, si kawaida bali mtu anakufa katika hali hii. Lakini Nabii Yona alijaaliwa kubaki hai katika muda huu wote kwa msaada wa Mwenyezi Mungu. Maana katika tukio hili la kukaa katika tumbo la nyangumi kwa siku tatu usiku na mchana siyo muujiza bali muujiza ni kuendelea na uzima na uhai katika hali ile ngumu.

Hivyo ndivyo Bwana Yesu alitabiri kwamba atakuwa hai wakati akiingia na kukaa na kutoka katika tumbo ardhi / nchi.

Sasa tuchunguze kwamba Bwana Yesu aliwahi kutimiza ahadi yake au hapana. Ndugu Wakristo wanasema kwamba Bwana Yesu hakuweza kuonesha muujiza wake huu wa pekee. Kwa sababu wakati wa kuingia katika tumbo la radhi na muda wa kukaa humo alikufa.

Kwahiyo hakuweza kutimiza ahadi yake. Na wakati hakuweza kuonesha muujiza wake wa pekee basi akaondoka bila muujiza wowote.

Lakini sisi Waislamu tunaamini kwamba Bwana Yesu Kristo alionesha mujiza ule aliowaahidi kuonesha.

Maana aliingia katika tumbo la ardhi akiwa hai na alikaa huko siku tatu nzima. Sawa kabisa na hali ya Yona Nabii.
wala halikutumika neno Muujiza bali ni ishara.

Mathayo 16:4
Kizazi kibaya na cha zinaa chataka ishara; wala hakitapewa ishara, isipokuwa ishara ya Yona. Akawaacha, akaenda zake.
 
Back
Top Bottom