G.Jacob
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 3,618
- 3,475
Hebu kuwa muelewa basi, hao unaowazungumzia walikuwa dhehebu la Protestant wakabadili kuwa Catholic wakiwa tayari wameshaoa na baba mtakatifu J.Paul -2 akaagiza wasivunje ndoa zao kisa utumishi, wabakie na ndoa zao.Source?
Link?
Ila elewa mapadri sasa wameruhusiwa kuoa, wanapiga mashine kama kawaida.