CELLULAIRE
Member
- Mar 16, 2016
- 76
- 97
Uchunguzi rasmi umeanza kwa Watawa wawili wa Kanisa Katoliki ili kuweza kujua ni kivipi wameweza kupata Ujauzito wakati walipokuwa katika Ziara ya Kikanisa katika bara la Afrika.
Na Kanisa hilo Katoliki linashangaa pia kwamba kumetokea nini wakati hao Watawa walishafanya Ziara kadhaa katika Mabara mengine na hawakupata Ujauzito lakini walipokuja tu Afrika wote wawili wamepatwa nazo.