Kanikataa kwa sababu ya Ufupi...!!

Kanikataa kwa sababu ya Ufupi...!!

Habari za majukumu wanajukwaa..!

Rejea kichwa ahapo juu, Nimemtongoza kwa zaidi ya miaka miwili kanikataa kwa sababu tu niko mfupi., Ingawaje hata yeye sio Ngongoti.,, Kama kanizidi basi ni cm 3-5...!! Nina 163cm ambazo ni sawa na futi 5.3

Anasema eti itakua kituko siku ya harusi yeye akivaa michuchumio, itabidi nipande juu ya stuli kumchumu ...!! Maneno hayo yote kampa rafiki yake ambaye ni rfk yangu pia hajaniambia mimi direct..!!

Nilipoyaskia yakanitia kichefuchefu kabisa...!! Na kiukweli hii sio mara yangu ya kwanza kukataliwa na wanawake ingawa wengine hawaniambii sababu lkn nahisi kabisa ni hiyo....!! Ingawa wapo wanaonitaka ila mi siwapendi.

Jamani mnataka mi nikaoe Nyani..?? Umri wenyewe ndo huo, na sina mashaka na sura yangu ingawa mwanaume hasifiwi sura ila wengine wanaogopwa zipo kama Ismigo na ni wafupi...!!!

Naombeni ushauri wadau hivi hawa wanawake nifanyaje...?? Kama ni swaga zipo, sijawahi kua domo zege kabisa, ni mchangamfu sana.,

Pessa zipo ila Siwapi na siwaoneshi kama ninazo.....!! Nna uhakika mtaani kwetu hakuna mtu ananikaribia hata kwa kujikosha kwa mpunga ingawa mauzo sipendi kwa hiyo maisha yangu nayaweka kawaida sana si rahisi mtu mwngine kujua wa nje.....!!

Au wafupi haturuhusiwi Kuchagua...???
Wewe kote mfupi au... muonyeshe urefu wako uliojariwa kama na huko basi tafuta mfupi mwenzio
 
Skujua kama ishu ya ufupi ni sensitive kiasi hiki....,, Wanawake mna mambo ya ajabu kweli yan..., Ila huko kote ni kujikosha tu kuna wengine mnaolewa na watu wafupi hadi tunawahurumia afu mshkaji mnamshadadia hapa..,,!!!
Oya jiamini na wew boya , mwanaume wew acha kuji inferiorize..!!! Wanawake hawa mbwembwe tu wanaolewa hadi na Mbilikimo kabsa....!!
 
We jamaa mi nina kimo hicho hicho ila im confident enough siogopi mademu.Mara nyingi natumia funny humour, nachangamka kuwin interest yao by putting smiles on their faces.

Kikubwa achana na kufata mademu warefu, wana madharau sana in nature.Komaa na short chasis za maana!

Mi nakomaa na escudo 3 door ila za ukweli mpaka warefu wananikong'otea!!!
 
Acha ujinga usijidharau ht cku moja kn wenzako hawana baadhi ya viungo vya mwili, na wengine wana matatizo mbalimbali lkn wameoa.
Ww kama mwanaume jiamini mtegemee Mungu
Utampata wakwako,usikatishwe tamaa na walimwengu maana hawana jema.
Yupo wakwako muda ukifikia Mungu atakuletea chamuhimu nikumuomba na kumtegemea.
 
Mkuu Blv Me utarefukaa half huyo demu atafupikaa
 
Hamna huku wanapakimbiaga.,, Nina hatari ya kuuwa mtu huko... sio tatizo kabsa
Haaaaaaaaaaaaahaaaaaaa hii comment yko hii ila mbona mi mfupi na cna hela naenda nao sawa tu? Heshma yng kubwa sana kwa hawa viumbe nimesugua sana mtaani baada ya kutoka chuo saa hz ndio nna kaajira ka kwanza so huwezi sema wananikubali kisa pesa mi siamini hz mambo zenu kuna sehem tu mnajikoroga wafupi wenzangu tatzo co kimo jmn laiti ungeona mashine nnazosukuma mm ungeshangaa!
 
Habari za majukumu wanajukwaa..!

Rejea kichwa ahapo juu, Nimemtongoza kwa zaidi ya miaka miwili kanikataa kwa sababu tu niko mfupi., Ingawaje hata yeye sio Ngongoti.,, Kama kanizidi basi ni cm 3-5...!! Nina 163cm ambazo ni sawa na futi 5.3

Anasema eti itakua kituko siku ya harusi yeye akivaa michuchumio, itabidi nipande juu ya stuli kumchumu ...!! Maneno hayo yote kampa rafiki yake ambaye ni rfk yangu pia hajaniambia mimi direct..!!

Nilipoyaskia yakanitia kichefuchefu kabisa...!! Na kiukweli hii sio mara yangu ya kwanza kukataliwa na wanawake ingawa wengine hawaniambii sababu lkn nahisi kabisa ni hiyo....!! Ingawa wapo wanaonitaka ila mi siwapendi.

Jamani mnataka mi nikaoe Nyani..?? Umri wenyewe ndo huo, na sina mashaka na sura yangu ingawa mwanaume hasifiwi sura ila wengine wanaogopwa zipo kama Ismigo na ni wafupi...!!!

Naombeni ushauri wadau hivi hawa wanawake nifanyaje...?? Kama ni swaga zipo, sijawahi kua domo zege kabisa, ni mchangamfu sana.,

Pessa zipo ila Siwapi na siwaoneshi kama ninazo.....!! Nna uhakika mtaani kwetu hakuna mtu ananikaribia hata kwa kujikosha kwa mpunga ingawa mauzo sipendi kwa hiyo maisha yangu nayaweka kawaida sana si rahisi mtu mwngine kujua wa nje.....!!

Au wafupi haturuhusiwi Kuchagua...???
Wew usimalize bandle zako KWA kumjadili huyo mwanamke.wengi hutaka wanaume wa kupiga nao picha sio ya KUISHI nao. WEW tulia maisha hayana ubishoo yakimpiga atakuja na miguu yake ingawa alikataa kwa kichwa chake.
"Everything is a number ,even Life is just a number ,and number never lie"
tarehe, siku ,mwaka,saa na dakika atazikumbuka BAADA YA number kubadilika!
 
Hakika umenena Mkuu.,, Chukua balimi ntalipia., Hii ndo comment ya kwanza yeynye akili wanaume wengine wote wamenisaliti na kuwatetea wakike,...!!

Inaonekana unaji under estimate sana,,, Acha hiyo kitu mbaya sana....
Wanawake wana akili ndogo sana miongoni mwa binadamu wasikuumize kichwa fuata mambo ya msingi yakifanikiwa hayo utaona watakavyomiminika...!! Wanapenda mno maigizo ya kifilipino na kuyaleta kwenye real life,, vitu visivyo na application kwenye maisha kbxa...
 
Habari za majukumu wanajukwaa..!

Rejea kichwa ahapo juu, Nimemtongoza kwa zaidi ya miaka miwili kanikataa kwa sababu tu niko mfupi., Ingawaje hata yeye sio Ngongoti.,, Kama kanizidi basi ni cm 3-5...!! Nina 163cm ambazo ni sawa na futi 5.3

Anasema eti itakua kituko siku ya harusi yeye akivaa michuchumio, itabidi nipande juu ya stuli kumchumu ...!! Maneno hayo yote kampa rafiki yake ambaye ni rfk yangu pia hajaniambia mimi direct..!!

Nilipoyaskia yakanitia kichefuchefu kabisa...!! Na kiukweli hii sio mara yangu ya kwanza kukataliwa na wanawake ingawa wengine hawaniambii sababu lkn nahisi kabisa ni hiyo....!! Ingawa wapo wanaonitaka ila mi siwapendi.

Jamani mnataka mi nikaoe Nyani..?? Umri wenyewe ndo huo, na sina mashaka na sura yangu ingawa mwanaume hasifiwi sura ila wengine wanaogopwa zipo kama Ismigo na ni wafupi...!!!

Naombeni ushauri wadau hivi hawa wanawake nifanyaje...?? Kama ni swaga zipo, sijawahi kua domo zege kabisa, ni mchangamfu sana.,

Pessa zipo ila Siwapi na siwaoneshi kama ninazo.....!! Nna uhakika mtaani kwetu hakuna mtu ananikaribia hata kwa kujikosha kwa mpunga ingawa mauzo sipendi kwa hiyo maisha yangu nayaweka kawaida sana si rahisi mtu mwngine kujua wa nje.....!!

Au wafupi haturuhusiwi Kuchagua...???

Mkuu funguka!
Kakukataa sababu HAUNA pesa,haya kuwa wewe ni mfupi ni mbinu tu!
Ungekuwa na hela hata ungekuwa MBILIKIMO angekubali tu umuoe
Tafuta pesa mkuu!
 
MDONKELA Mke au mume sio jambo la kujaribu. Ukikosea ni kosa kwelikweli. Kama mtu hakutaki mimi nadhani ni kitu positive; kuliko akukubali huku moyoni mwake amekufungia nje. Kama akikukubali kwa nje huku moyoni mwake haumo, hiyo ndoa itakuwa ndoa gani? Dunia hii ni kubwa sana tena sana. Ina kila kitu. Kwa kuwa wewe huhitaji wake mia (bila shaka) bali unahitaji mmoja tu, YUPO. Wala usipate presha. Kwa dada zetu mtihani ungekuwa mkubwa zaidi, lakini kwa mwanamume ni rahisi kwa kiasi kikubwa.
 
Skujua kama ishu ya ufupi ni sensitive kiasi hiki....,, Wanawake mna mambo ya ajabu kweli yan..., Ila huko kote ni kujikosha tu kuna wengine mnaolewa na watu wafupi hadi tunawahurumia afu mshkaji mnamshadadia hapa..,,!!!
Oya jiamini na wew boya , mwanaume wew acha kuji inferiorize..!!! Wanawake hawa mbwembwe tu wanaolewa hadi na Mbilikimo kabsa....!!

Kwani sisi hatuna haki ya kuchagua tumtakae kama ni mfupi au mrefu?
Ninyi kutwa kushadadia wanawake mara ooh flatscreen, mara tembo, mara simbadume
 
Mkuu na wewe ni mbaguzi sana,kwa nini usipende wafupi wenzio?hujui denge wafananao huruka pamoja??
 
Boss ufupi si sababu, hiyo inatumika kama kiini macho tu.

Angalia Dr. Regnald Mengi na Jacqueline Mengi. Yani Dr ni kaandunje vby.

Angalia Kevin Hart na Enikko Parrish. Angalia Chrissy Teijen na John Legend.
Angalia Helen Lasichanh na Pharrel
Waone Erica Menna na Bow wow.

Boss tafuta pesa uwe nazo za kumpa na kumpa tena.
Kwa mifano hiyo hapo nagundua sababu sio ufupi, sababu ni Pesa
 
Boss ufupi si sababu, hiyo inatumika kama kiini macho tu.

Angalia Dr. Regnald Mengi na Jacqueline Mengi. Yani Dr ni kaandunje vby.

Angalia Kevin Hart na Enikko Parrish. Angalia Chrissy Teijen na John Legend.
Angalia Helen Lasichanh na Pharrel
Waone Erica Menna na Bow wow.

Boss tafuta pesa uwe nazo za kumpa na kumpa tena.
Kwa kauli hizo.za dharau atafute pesa kwa.ajili.tu ya maisha yake na wala si kingine...a good woman with moral values wilo come his way wala asiwe na haraka. Lakini eti unamtafutia mtu pesa anayekudharau ...zikiisha je? Utaambiwa kwaheri nakuacha umefilisika naenda kwa mwengine mwenye hela.
 
Back
Top Bottom